kitanzania

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Melki Wamatukio

    Uhaba wa tendo la ndoa kwenye ndoa za Kitanzania

    Ipi ni sababu ya msingi inayowapelekea wanawake kuwanyima waume zao tendo la ndoa? Mmelalamika sana, tena sana, zaidi ya sana. Mimi mwenyewe ni mhanga wa hilo. Kama ningelijua hili kabla ya ndoa, nisingelioa kabisa huyu mdudu • Wanakuwa wamechoka sana na majukumu ya hapa na pale!? • Wanahisi...
  2. Wakili wa shetani

    Majina ya kitanzania yanayosound kimamlaka na nguvu

    Kuna majina ukiyasikia tu unaona hili linawakilisha mamlaka. Yaani jina linakuwa na nguvu ndani yake. Umewahi sikia jina gani la mtanzania ukasema hili linasound kimamlaka na nguvu hasa? 1. Jidula Mabambasi 2. Kaselabantu 3. Fundikira 4. Kunjakuwili 5........
  3. Nyani Ngabu

    Kwa mnaoeneza uzushi dhidi ya kijana wa Kitanzania aliyeuawa na Hamas

    To all of you inventing and spreading calumnies against Joshua Mollel: 1. You are suckers. 2. You are all stupid people. 3. You are all idiots. And if you believe everything that is being spread around by these people, then you are also a sucker, a stupid person, and an idiot all in one bag...
  4. FaizaFoxy

    Makamba na Bashe semeni ukweli kuhusu vijana wa Kitanzania mliowapeleka Israel

    Tusihangaike kusaka mchawi, Makamba na Bashe wanaujuwa ukweli. Ninaamini na mama Samia kwa sasa atakuwa anaujuwa ukweli. Januari jana kasema wazazi wa kijana aliyeuliwa watakwenda Israel. Tujiulize toka lini wazazi wa mfiwa yeyote yule Tanzania wakapelekwa nje alipokufa? Siri hii anayo Makamba...
  5. Mkyamise

    Biashara za Kitanzania ni za ajabu sana

    Yaani nimeona sendozi aina ya Teva inauzwa instagram 250,000! Nimepita huku mtaani nikazikuta kwa mmachinga, mpya kabisa. Nimempa elfu ishirini akapokea kiroho safi maisha yanaendelea!
  6. Mwiba1

    Namna elimu ya chuo ya Tanzania ni kupoteza muda kwa kijana wa kitanzania hususa ni karne hii.

    Ni matumaini yangu mko poa ndugu zangu wana jf and happy independence day ndugu zangu watanzania. Majobless endeleeni kupambana mechi bado halftime, mahustlers endeleeni kusaka tonge hakuna kukata tamaa. Wasomi endeleeni kutafuta kazi n.k Ninajua juu ya uzi huu basi wasomi na wanazuoni wazee wa...
  7. Njanga Tz

    Kwanini utajiri wa familia za Kitanzania sio endelevu vizazi kwa vizazi? Je chanzo ni Siasa na Utawala au ulozi?

    Hili swali kila siku najiuliza sipati majibu sahihi. Utajiri wa mababu zetu umeenda wapi? Uhakika ni kwamba walifanya kazi na walikuwa na mali za kutosha lakini kwa sasa hazionekani tena.
  8. GoldDhahabu

    Unaiona wapi Tanzania ya kesho kupitia malezi ya watoto wa leo?

    Mwandishi maarufu wa vitabu, Robert T. Kiyosaki, kaandika kuwa mahali sahihi pa somo la mafanikio kufundishwa ni nyumbani. Kwa msingi huo, makuzi ya mtoto yatakuja kumwathiri si yeye peke yake tu, bali pia familia yake, Jamii yake na Taifa lake kwa ujumla. Je! Malezi yetu ya Kitanzania...
  9. sky soldier

    Kati ya nchi zinazotuzunguka, ipi ina mazingira rafiki kwa Mtanzania kuishi kitanzania?

    Nchi ambayo hata mtanzania akitoka huishi kijamaa (japo kiukweli hata Tanzania kuna ukabila kwa mbali). Nchi ambayo angalau kuna amani kama Tanzania Nchi ambayo waweza kuanzisha hata duka la mahitaji ya nyumbani bila bugudha nyingi endapo ukilipa kodi. Nchi ambayo suala la uchumba ama kuoana...
  10. KENGE 01

    App gani za Tanzania unazo kwenye simu yako?

    Na Bwn Kenge! "Entire third world shall change when consumers turn into producers" Ni Maneno ya mwalimu mmoja aliyekua akijibu swali la Mwanafunzi aliye Uliza "Ni lini Africa(Dunia ya 3) itaacha kutegemea Dunia ya kwanza...Mwalimu huyo alijibu ni ile siku watumiaji(Consumer) wageukapo...
  11. Objective football

    Rais Samia akikupa mualiko Ikulu wa dakika 5 utamshauri nini kama kijana wa kitanzania?

    Awamu ya sita ya mama Samia tumeona mengi yakifanyika ikiwemo utekelezaji wa miradi ya umwangiliaji ya kilimo, BBT, Ruzuku ya mbolea, Afya, Ajira, Veta, kupandishwa madaraja kwa watumishi nk Lakini pia zipo changamoto kadha wa kadha ambazo watanzania wanatamani wamfikishie Rais wao, nao wajione...
  12. M

    Utafiti: Asilimia 21 ya wanawake Tanzania wamechepuka

    Kwa mujibu wa ripoti ya Utafiti wa Afya ya Uzazi na Mtoto na Viashiria vya Malaria wa Mwaka 2022, asilimia 21 ya wanawake wameshiriki ngono na wanaume ambao sio wenza wao na wala hawaishi nao. Kati ya hao, asilimia 22 walitumia kinga mara ya mwisho waliposhiriki ngono na watu hao. Kwa upande wa...
  13. Morning_star

    Vyakula vya kitanzania ambavyo huwezi kupata majina yake kwa lugha ya kigeni

    Hizi ni 'brand zenye hati miliki ya kitanzania' Vitumbua, chapati, makange, ugali, kachumbali, mtori, "ebyenshoro(wahaya)", "enumbu", "ensharazi", "amakongo", "entutunu", "ebila", "ebitomasi", "amasoma", udaga, kisusio(wachaga), n.k. EBU NA WEWE ONGEZEA KWA LUGHA YA KWENU
  14. D

    Wanawake wa kitanzania hawafai, wacha nitafute another race or culture

    marriage is actually dead. married people are the most low intelligent human beings ever. kwa sasa. and IF you are planning to get married hold on. MEN BENEFIT NOTHING FROM MARRIAGES STORY SHORT 7 years of being a long term relationship , which is over now. NA nilisema she will be my last girl...
  15. BICHWA KOMWE -

    "Maadili ya Kitanzania" yameandikwa wapi nikayasome?

    Huwa nasikia tu, ati umevunja maadili ya kitanzania, mara sijui jambo hili limekiuka maadili ya kitanzania! Hata ukikata uno la mayenu unaambiwa umevunja maadili ya kitanganyika! Ukivaa mabuti kama ya JAY Z unaambiwa umekiuka sijui MILA ZA KITANGANYIKA! Kuna wale watu wenye fikra za ujima...
  16. FaizaFoxy

    Sababu zangu za kuwaunga mkono Wapalestina ni za jadi ya Tanzania na Watanzania wote wanaojielewa

    Palestina, Julius Nyerere na mshikamano wa kimataifa Rosalynn Carter, Rais Julius Nyerere wa Tanzania na Jimmy Carter, tarehe 4 Agosti 1977 [Wikipedia] Binafsi huwa sikubaliani na Nyerere katika mambo mengi, lakini hili la palestina na la ukombozi wa Afrika nililiunga mkono 100%. "Ninaamini...
  17. GENTAMYCINE

    Watangazaji wa Kitanzania waliokoa BBC hasa Kipindi cha Asubuhi cha 'Amka na BBC' acheni huu Unafiki wenu na hi Chuki yenu

    Yaani Klabu ya Yanga ikifanya vyema katika Mechi zake zozote zile huwa mnatangaza tena kwa Bashasha zote. Ila Yanga SC hiyo hiyo ikifungwa (kama ilivyofungwa jana na Ihefu FC huko Highland Estates Mbarali) hamtangazi na huwa mnajifanya hamjayapata Matokeo. Lakini Klabu ya Simba hata ikifungwa...
  18. Exile

    Hii akili ya kitanzania ya kumiliki gari kuona wenzako ni mbwa inatesa vijana

    Wacheni watoto wazuri wapende wanaume wenye magari, kwa maana jua huko nje ni kali. Wewe unamtembeza mtoto wa kike kwenye bodaboda mishkaki tena anapanda na jua kali halafu anakuja kwako anachoka na jua kabla ya kumchosha halafu bado unataka akupende the way jinsi ulivyo. Hakuna mwanamke...
  19. PakiJinja

    Mkimbizi wa kitanzania kutoka Ukrain kurudishwa Afrika

    Zimedondoka kutoka huko Udachi kuwa mwamba ni miongoni mwa wakimbizi Jero kati ya buku mbili na jiti tatu waliokimbia vita nchini Ukraine. Hawa jero hawana vinyago vya Ukraine, yaani ni raia kutoka nchi nyingine ambao mambo yaliposanuka huko Ukraine, wakaona hii ni golden chance, harudi mtu...
  20. cupvich

    SoC03 Nchi ya kusadikika ambayo kila mwalimu wa kitanzania anaitamani

    "Baba Wande amka unachelewa kazini" ilisikika sauti ya Mke wa mwalimu Matinyi ambaye ni mwalimu wa somo la hisabati katika shule ya sekondari MAPWE. Kwa haraka mwalimu Matinyi aliangalia saa yake na kugundua kuwa ni saa kumi na moja na dakika kumi alfajiri,alikumbuka kuwa yuko zamu kwa wiki...
Back
Top Bottom