kitanzania

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Steve Knows

    JamiiForums Tanzania Phone4Sale Nauza simu aina ya Nokia C10 ikiwa na kila kitu Ilichokuja nacho (Fullbox), nimeitumia kwa miezi 2 ruksa kuikagua

    Technical specificationsNokia C10 Shoot HDR photos and admire them on the HD+ screen. Colors Light Purple Display Aspect ratio: 20:9 Cover glass: Toughened glass Features: Brightness 400 nits (typ.) Size:6.5 inch Resolution: HD+ (720 X 1600) 6.5 inch Imaging Features: Night mode, HDR...
  2. Gotze Giyani

    JamiiForums Tanzania Kama kijana wa kitanzania kuwa na mawazo yenye tija na maendeleo ya baadae

    Wadau habarini za muda huu nimeleta hii mada mbele zenu tujadili. Nimekua nikiona maada mbali mbali humu watu wenye uwezo mkubwa kufikiri wakizileta huku na watu wamekuwa wanazipondea mfano mtuu anaweza kuuliza kwa mtaji wa 10m nifanye biashara gani watu wanaishia kumuambia oo sijui anunue...
  3. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Wanawake wa Kiswahili (Kitanzania) kwanini mkiulizwa hili Swali Kuntu na Wanaume huwa mnalishangaa na kuona aibu kulijibu?

    Unamuuliza Mwanamke au Mpenzi wako kuwa unapoenda Kumbandua au anapokuja Kubanduliwa Kwako angependa 'Umuweke' Bao / Goli ngapi anakushangaa au anaanza kuona aibu. Wengine akina GENTAMYCINE tumetoka si tu Kanda ya Ziwa bali pia tumetoka Kanda Maalum Mkoa wa Wanaume wa Shoka wa Mara (Musoma)...
  4. T

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini marefa wa Kitanzania hawaheshimiki kimataifa?

    Inaniuma sana kuona licha ya kuwa na ligi inayotajwa kuwa miongoni mwa ligi bora afrika lakini marefa wa hapa nchini hawajapata nafasi ya kuchezesha kimataifa. Tumekuwa na mashindano mengi hapa juzi kati lakini kama nchi hatujapeleka refa hata mmoja kulikuwa na chan, watoto wa kike kule India...
  5. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mbunifu wa mavazi wa Kitanzania ampata Afisa aliyemuibia Begi la Nguo

    Mbunifu wa kike wa Kitanzania anayeishi Houston nchini Marekani amedai kuwa nguo zinazovaliwa na afisa wa zamani wa Wizara ya Nishati (DOE) Sam Brinton zilikuwa kwenye mzigo wake uliopotea katika uwanja wa ndege huko Washington, D.C. mnamo 2018. Asya Khamsin, ambaye ametengeneza brand yake ya...
  6. C

    JamiiForums Tanzania Serikali yapiga marufuku matumizi ya vitabu 16 vikiwemo Wimpy Kid ili kulinda mila, desturi na tamaduni za Kitanzania

    Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa Adolf Mkenda leo February 13, 2023 kwa Mamlaka aliyopewa chini ya kifungu cha 59 cha sheria ya Elimu Sura 353 amepiga marufuku matumizi ya vitabu 16 vya ziada katika Shule za umma na binafsi nchini. Vitabu vya 16 vilivyopigwa marufuku vimekutwa...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Naishauri Serikali ya Rais Samia kuwawezesha Wafanyabiashara wa Kitanzania kuwa mabilionea, Ili Uchumi wetu uwe Mikononi Mwetu Watanzania

    Ndugu zangu watanzania, Huo Ni ushauri wangu kwa serikali ya Rais Samia kuhakikisha kuwa inawapa kipaombele wafanyabiashara wakubwa wa kitanzania katika kila aina ya fursa ya kibiashara,Tenda katika miradi ya serikali na maeneo mengine makubwa makubwa yanayogharimu kiasi kikubwa Cha fedha...
  8. Gama

    JamiiForums Tanzania Hawa ndiyo akina mama wa Kitanzania

    Nami ngoja nilete bandiko langu kuhusu hawa akina mama zetu wa Kitanzania, hasa, ni kuhusu suala la mikado. Akina mama hawa wanaweza weka rehani nyumba ya familia wakakopa mafweza na pande kubwa ya fweza ikapelekwa kwao na wakati huohuo, huko kwao hutumia pande hilo kujisherehesha, na...
  9. Zanzibar2014

    JamiiForums Tanzania London hakuna Migahawa ya Vyakula vya Kiswahili

    Habari zenu nyote, Natafuta Migahawa ya Vyakula vya Kiswahili London au mtu anayepika nyumbani na kuuza chakula kwa mtu mmoja mmoja. Napika lakini siyo siku zote kutokana na majukumu ya kazi. Waswahili wa London tafadhali nijuzeni, ahsanteni sana.
  10. tpaul

    JamiiForums Tanzania Msichana wa Kitanzania akipata mchumba na kufunga ndoa anajiona amepata degree (Hons)!

    Hodi humu jamvini wana MMU, Naingia kwenye mada moja kwa moja na kwa ufupi bila kuwachosha. Najua mnahangaika na utafutaji wa maji na mkate kwa familia wakati huu. Kwa sababu ya suala la kuolewa kuwa gumu siku hizi binti akiolewa anajiona kama amepata degree (Hons) ya first class. Siyo siri...
  11. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Wanawake wa Kitanzania jitahidini tukiwa 'tunawatongoza' na Kuwauliza Majina yenu mtutajie na ya Ukoo Wenu

    Kuna wengine tuna Asili ya Uwoga ( Unyali ) hivyo pale tukiwa tunawatongozeni msiwe tu mnaishia Kututajia kwa Mikogo Majina yenu ya mwanzo lakini pia muwe mnatutajia na ya Ubini ( Ukoo ) sawa? Wanawake wenye Majina Kamili kama haya yafuatayo usitegemee hata kama GENTAMYCINE nimekutongoza na...
  12. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania Dewji: Ni ndoto ya kila kijana wa Kitanzania kufanya kazi MeTL

    Nafuatilia mahojiano aliyofanya mfanyabiashara tajiri kijana Mo Dewji na Bloomberg. Mo anadai anapata furaha kubwa pale inapokuwa ni ndoto ya kila kijana wa Kitanzania kufanya kazi na Kampuni yake, amedai watu wengi wameacha kazi mitandao ya simu na Kampuni za uchimbaji madini na kuamua kujiunga...
  13. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Filamu ya Kitanzania yatajwa kuwania Tuzo ya Oscar, ni ya pili tangu mwaka 2002

    Filamu ya Kitanzania imeorodheshwa kuwania Tuzo hiyo, na hivyo kuhitimisha subra ya takriban miongo miwili kwa nchi hiyo kushiriki katika tuzo hiyo. Filamu ya Vuta N'kuvute - inayomaanisha "Mapambano Makali" kwa Kiswahili - imeorodheshwa katika kitengo cha "Filamu Bora ya Kimataifa" katika Tuzo...
  14. C

    JamiiForums Tanzania SoC02 Mapendekezo yatakayoleta mabadikiko chanya katika elimu ya kitanzania, Hasa kuifanya elimu iwe ya kufurahia na isiyo chosha kwa wanafunzi

    Elimu ni mfumo wa mafunzo yanayopatikana shuleni , vyuoni , na maishani .(nukuu kutoka kamusi ya kiswahili sanifu). Elimu huwasilishwa kwa njia mbili; nazo ni elimu rami na elimu isiyo rasmi . Elimu rasmi kutolea na walimu wenye sifa na juzi wa kufundisha wakati elimu isiyo rasmi ipo nje ya...
  15. E

    JamiiForums Tanzania SoC02 Dimbwi la ajabu lisilo na mipaka wala eneo maalum linaloangamiza vijana wa Kitanzania

    Ilikua ni mapema sana majira ya saa 2 Asubuhi katika kijiji cha Hatuchekani mkoa wa Magharibi nikiwa katika mazungumzo na mzee Haambiliki, Niliweza kubaini vyanzo vya maji tiririka yanayoelekea katika dimbwi la Ajabu na linalotisha,sikuwahi tambua kama katika nchi ya Tanzania kuna Dimbwi...
  16. R

    JamiiForums Tanzania SoC02 Elimu ya kujitambua kwa Binti wa Kitanzania

    ELIMU YA KUJITAMBUA KWA BINTI WA KITANZANIA. Pamoja na juhudi za serikali kuwekeza zaidi katika kumpatia mtoto wa kike elimu ya darasani (shuleni ) lakini bado tunaona kuwa namba ya mabinti walioishia njiani na kukatisha masomo yao kwa miaka kadhaa iliyopita imekuwa ikiongezeka siku baada ya...
  17. CIA mgumu

    JamiiForums Tanzania SoC02 Kijana mwenzangu wa Kitanzania jibiidishe katika kutafuta maarifa mwenyewe usisubiri kutafutiwa

    Shikamoni wakubwa na wadogo zangu habarini za mda huu. Naomba niende kwenye mada tajwa hapo juu kuwa "kijana mwenzangu wa kitanzania usisubiri kutafutiwa maarifa zaidi bila mwenyewe kuweka bidii katika kuongeza maarifa". Kwanza kabisa nataka kuongea na vijana ambao wamebahatika kusoma kozi za...
  18. Moronight walker

    JamiiForums Tanzania Masama home design, Sijaona kampuni ya Kitanzania zahidi ya hii

    Ukienda Instagram andika "Masama home design" ni kampuni ya kitanzania inahisika na kusanifu majengo ya kisasa, ujenzi na interior design, mimi binafsi sijaona bado kampuni Tanzania zaidi ya hii kama ipo Tuzitaje tushindanishe na hii.
  19. Colly 7

    JamiiForums Tanzania SoC02 Elimu ya sasa haimkomboi kijana wa Kitanzania

    Tanzania ni moja kati ya nchi ambazo mpaka sasa elimu yake kwa kiasi kikubwa ni ya kinadharia. Tangu shule ya awali na ya msingi, mwanafunzi hupimwa zaidi uwezo wake wa kuelewa masomo husika kwa nadharia zaidi na sii kwa vitendo, ambapo akimaliza darasa la saba, na hata kidato cha nne, hawezi...
  20. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Mabenki ya kitanzania, madirisha 5 ya kutoa huduma, Wahudumu Wawili tu, mmoja yupo muda wote mwengine anaingia na kutoka muda wote

    kuna benki zina madirisha hadi 8 ila hali ipo hivi hivi Yaani kwenye mabenki yetu haya uje kukuta madirisha yote yana tellers ni kama muujiza hivi, Nakumbuka zamani nikiwa chuoni nimetumiwa ada usiku niende kulipia asubuhi niliponea chupu chupu nisifanye mtihani isingekuwa huruma ya waliopanga...
Back
Top Bottom