kitanzania

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Thailand

    JamiiForums Tanzania SoC01 Serikali iwekeze katika Muziki, Michezo na Kilimo ili kukuza Uchumi kwa Vijana wa kitanzania na Taifa kwa ujumla

    Nipende kuwasalimu ninyi nyote, habari za muda huu! Niende kwenye mada moja kwa moja. Tanzania ni kati ya nchi maskini duniani japo ina rasilimali muhimu na nyingi karibia kila mkoa. Je tatizo linatokea wapi mpaka ongezeko la vijana wasio na ajira kuendelea kuwa kubwa? Katika uchumi kuna kitu...
  2. funaku

    JamiiForums Tanzania Mitaala inayoelezea safari za Carl Peters inasaidiaje kijana wa Kitanzania?

    Hivi mnaosoma somo la historia kwa sasa bado mnafundishwa kuhusu safari za carl peters?? Is this the history we praise and teach?
  3. MALCOM LUMUMBA

    JamiiForums Tanzania Wahitimu wengi wa Vyuo Vikuu vya Kitanzania hawawezi kufanya mjadala kama huu wa watoto wa shule

    Nimeangalia kwa makini sana huu mjadala na kama mtu niliyewahi kufundisha chuo nimeshangazwa sana na uwezo wa hawa wanafunzi wa Kiafrika. Kipindi wanafanya huu mjadala walikuwa ni wenye umri mdogo sana, lakini uwezo wao wa kujenga na kujibu hoja, kuzungumza lugha ngeni kwa ufasaha, ujasiri...
  4. toplemon

    JamiiForums Tanzania Dola bilioni 400 ni sawa na shilingi ngapi za kitanzania?

    Dola bilioni 400 ni sawa na shilingi ngapi za kitanzania?
  5. The Assassin

    JamiiForums Tanzania Wadada acheni ushamba kwenye Dating Apps

    Kusema kweli nashindwa kuwaelewa mabinti/wadada wa Kitanzania (sio wote) kwenye mitandao ya kutafta mahusiano ama dating apps. Sijui ni ushamba ama ugumu wa kuelewa. Mitandao kama Tinder, Badoo, Hitwe, Tantan, Match.com, na mingineyo ni mitandao mahususi kwa datings na inaitwa kabisa dating...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini Wizara ya Michezo isiweke idadi ya wanasoka wa kigeni? Maelfu ya vijana wa Kitanzania wanakosa nafasi

    Nimeamua kuandika habari za mpira wa miguu kwa sababu nyingi lakini za msingi ni kuwa soka ni ajira,biashara,n.k lakini pia ina mipaka yake.mpira wa miguu (Football or soccer) ni biashara kubwa sana sio Kwetu bali duniani kote. Sasa timu zetu kubwa ni mbili tu yaani Yanga na Simba. Hakuna nchini...
  7. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Mnaoshindana na Diamond na ninyi basi anzeni kukata viuno ili mshindane vizuri

    Nimekua nikishangaa sana baadhi ya wanasiasa badala ya kufanya kazi ambayo Watanzania wamewatuma kufanya sasa wamegeuka kushindana na Diamond. Kijana wa watu anajituma kwa akili na uwezo wake sasa kuna wanasiasa wameibuka mitandaoni na kuanza kumsemasema kijana wa watu. Sasa mimi naona ili...
  8. Makirita Amani

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, zungumza mambo haya 10 na vijana wa Kitanzania

    Rais wa Jamhuri ya Muungano Wa Tanzania, Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan ameahidi kuzungumza na vijana wote wa Tanzania kupitia vijana wa mkoa wa Mwanza. Hii ni fursa kubwa kwa Raisi kuweza kusikia kutoka kwa vijana, lakini pia kuwashirikisha vijana wa Tanzania mwelekeo wake na mategemeo yake...
  9. Red Giant

    JamiiForums Tanzania Ni mambo gani ambayo wazee wa kitanzania hujutia na hawataki vijana nao yawatokee?

    Habari wakuu. Kawaida ya binadamu umri ukienda huanza kutathmini maisha yao na kuanza kujutia baadhi ya mambo na kusema ninge. Ni mambo gani ambayo wazee wa kitanzania hujutia sana na wangependa vijana wawe tofauti? Si wazee tu, hata wewe kama kunajambo unafikiri ulitakiwa kulifanya tofauti...
  10. MR.NOMA

    JamiiForums Tanzania Claudio-Kijana wa Kitanzania aliyepasua 99% mtihani wa Hesabu Havard

    Kijana huyu mwenye amri mdogo ana akili iliyotulia kinoma, miaka ya hivi karibuni alifanya kazi katika Shirika la Twaweza akiwa kama Assistant data analyst alibahatika mwaka jana Mwanzoni kupata ajira nyingine huko ughaibuni - barani ulaya katika shirika kubwa la masuala ya utafiti ambapo...
  11. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kuna muda huwa nashindwa kabisa 'Kuwaelewa' Dada zetu ( Wanawake ) hasa wa Kitanzania ( Kiswahili )

    Kila ukikutana nao utawasikia wakiisema hii Kauli yao wanayoipenda kuwa Wanaume wote ni Waongo ( Matapeli ) na kwamba Baba yao ni Mmoja. Kinachonishangaza sasa pamoja na Kuisema Kauli hiyo lakini Wakiendelea tena 'Kutongozwa' na Wanaume hao hao Matapeli ( Waongo ) bado tena huwa wanawakubalia...
  12. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Makampuni 49 ya Tanzania yaruhusiwa kuuza maharage soya China

    Ubalozi wa China nchini Tanzania umetangaza makampuni 49 ya Tanzania yaliyoruhusiwa kuuza maharage soya nchini China. Hatua hiyo ya Mamlaka ya forodha kuruhusu maharage soya ni fursa kwa wakulima wa Tanzania kwa kuwa sasa wana soko la uhakika.
  13. E

    JamiiForums Tanzania Mwenye kitabu kinachoelezea utamaduni wa kitanzania (Tanzanians Culture values and Traditions) naomba anisaidie

    Habari za leo ndugu zangu, Naomba mwenye kitabu kinacho elezea utamaduni wa kitanzania anisaidieni. Maana nasearch mtandaoni kwakweli sioni yeyote aliye andika mambo ya maana kuhusu utamaduni wetu. Mwenye kitabu kinachoelezea utamaduni wa kitanzania (Tanzanians Culture values and Traditions)...
  14. Naton Jr

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni 1% tu ya Wakenya wanaoweza kumiliki Milioni 40 za Kitanzania

    Report mpya ya ukwasi wa mtu mmoja mmoja katika mataifa tofauti duniani imetoka ikionesha hali ya utajiri katika taifa. Aidha report hii inaonesha ni kiasi gani cha fedha unapaswa kuwa nacho ili uingie kwenye country's millionaire club au uwe regarded as a wealth man au uwemo katika kundi dogo...
  15. Red Giant

    JamiiForums Tanzania Ni android applications gani za kitanzania zilizokuwa intalled kwa wingi zaidi?

    Katika pitapita nimeona JF, millardy ayo na Muungwana zikiwa zimepita 1m. Zingine ni zipi?
  16. M

    JamiiForums Tanzania Wahandisi wa Kitanzania ujenzi wa bwawa la Stiegler's Gorge!

    Nimepata fursa ya kuandika haya Muda huu! Nimekusikia Mh. JPM ukitangaza nia ya kujenga bwawa hilo kubwa la umeme. Kwakweli hilo ni jambo jema sana, na kwa namna ninavyokufahamu ukishatamka jambo kinachofata ni utekelezaji! Nataka nikuhakikishie kwamba wahandisi wa kitanzania hawajashindwa...
Back
Top Bottom