kitabu

Kitabu is an EPUB reading application for macOS, released in 2012.

View More On Wikipedia.org
  1. Infantry Soldier

    JamiiForums Tanzania PRESIDENTIAL MEMOIR: Rais Magufuli, baada ya kustaafu, ukipenda kuandika kitabu kama mzee Mkapa, tumia lugha ya wazalendo ya Kiswahili

    Habari zenu JamiiForums. Ninaomba kuanza kwa kunukuu maneno ya Balozi Mkuu wa lugha ya Kiswahili Mh. J.P Magufuli alipokuwa kwenye hafla moja jijini Dodoma. Mheshimiwa Rais alisema hivi “Nimefanya PHD bado wanasema sijui Kiingereza, na nikakaa mwaka mzima Uingereza, sijui nilikuwa nazungumza...
  2. Ellon

    JamiiForums Tanzania Kitabu gani cha kusoma baada ya Forex Bible na Candlestick Bible?

    Wadau wa Forex mimi Newbie katika FX, nimesoma vitabu viwili 1)Forex Bible 2)Candlestick Bible Naomba recommendation ya kitabu cha 3 na cha 4 cha kusoma kitachonijenga zaidi na kuendana na mfuatano mzuri wa knowledge. Na itakuwa vizuri ukiniambia humo nitajifunza nini zaidi. NB: Sihitaji...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Kila nikisoma Kitabu cha Mkapa namfananisha sana Jah People na Rostam Azim kama nyota wa mechi

    Aina ya siasa alizofanya Rostam Aziz enzi zake hazitofautiani sana na za mzee David Sanga aka Jah people mjukuu wa mganga maarufu pale Makete ambaye aliwapa sana utajiri Wakinga kabla hajaokoka. Ukiona Jah people anatetea jambo fulani ujue pana maslahi binafsi kama ilivyokuwa kwa Aziz...
  4. Dickson Edwin Mgaya

    JamiiForums Tanzania Msaada soft copy ya Kitabu Cha Essentials of Economics 1 Form Five & Six (Ambrose Othiambo)

    Kama kichwa kinavyojieleza ninaomba MSAADA wa kitabu tajwa hapo juu kwa yeyote mwenye nacho in soft copy. Mwandishi ni Mwl. Ambrose Odhiambo wa Bagamoyo.
  5. Red Giant

    JamiiForums Tanzania Wangekuambia andika title ya kitabu ya kushangaza ungeandika nini?

    ATTACH]
  6. Civilian Coin

    JamiiForums Tanzania Je, Don Nalimison ni raia wa Marekani au Tanzania, vipi maandalizi ya kitabu chake"AMERICAN LAND"

    Kuhusu Uraia wa Don Nalimison na maandalizi ya kitabu chake.
  7. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Wakuu wapi napata msaada wa kuchapisha kitabu changu

    Habari wakuu. Kuna mafunuo niliyapa na tayari nimeanza mchakato wa kukiandika kitabu. Natamani mwisho wa robo hii ya kwanza ya 2021 kitoke. Kinahusu umuhimu wa punctuality katika maisha. Sina mtaji Mkubwa natamani kuanza kuchapisha kidogo kidogo. Na ni Vitabu kidogo tu kitakachouzwa kati ya...
  8. D

    JamiiForums Tanzania Hongera Profesa Ted Mlyamkono na Profesa Hugh Mason kwa kitabu cha Game Changer -" Magufulis first term in office"

    Nimefurahishwa na wazo la Profesa Ted Malyamkono na mwenzake kwa kuandika kitabu kinachoelezea mchango wa Rais JP Magufuli na mabadiliko aliyoyaleta ya kijamii,kisiasa na kiuchumi nchini. Mwelekeo Mpya Kitabu hiki angalau kimejaribu kuonyesha sera na maono ya Rais Magufuli kimaandishi na...
  9. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Kitabu katika kumbukumbu ya Mapinduzi ya Zanzibar sehemu ya kwanza. Pitio la kitabu: Mimi, Umma Party na Mapinduzi ya Zanzibar

    KITABU KATIKA KUMBUKUMBU YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR SEHEMU YA KWANZA PITIO LA KITABU MIMI, UMMA PARTY NA MAPINDUZI YA ZANZIBAR MWANDISHI: HASHIL SEIF HASHIL Kuandika historia ya ukombozi katika nchi za Kiafrika kunahitaji ujasiri mkubwa sana na sababu yake ni kuwa Afrika ina historia rasmi...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Dkt. Kikwete: Ninaandika kitabu cha historia yangu ambacho ninaelezea mambo mengi hata yale msiyoyajua!

    Rais mstaafu wa awamu ya 4, Mh. Mrisho Jakaya Kikwete amesema kwa sasa anaandika kitabu cha historia ya maisha yake ambacho kitaelezea mambo aliyoshiriki, aliyoyashuhudia na aliyoyaona katika maisha yake binafsi na yale ya siasa. Kikwete amesema hayo wakati wa mahojiano na mwandishi Salama...
  11. E

    JamiiForums Tanzania Ni kitabu gani kinachosomwa zaidi kuliko vyote duniani na thamani ya ujumbe wake haijawahi kushuka?

    Habari za leo marafiki. Nimekutana na hili swali mahali; kwamba ni kitabu gani kinachosomwa zaidi kuliko vyote duniani na thamani ya ujumbe wake haijawai kushuka?
  12. Yericko Nyerere

    JamiiForums Tanzania Mtu baada ya Mtu, Kitabu kipya cha Yericko Nyerere

    Kitabu cha MTU BAADA YA MTU kinahusu mambo ya intelijensia na Usalama, msingi mkuu wa Kitabu hiki kinamuelezea mtu mmoja ambae ni Mtanzania aliyetajwa kwa jina la Kijana wangu, Kitabu kimeeleza chimbuko la Kijana wangu toka kizazi chake cha sita, kimeeleza kuzaliwa kwake kwa maajabu, ktabu...
  13. Makanyaga

    JamiiForums Tanzania Kitabu hiki hapa: Advanced Engineering Mathematics 10th Edition By ERWIN KREYSZIG (pdf)

    Ni kwa ajili ya watoto wote wanaosoma degree za B.Sc. Engineering.... na B.Sc. (Mathematics,....) MUBARIKIWE NA BWANA
  14. BAK

    JamiiForums Tanzania Malisa GJ: Kuhusu muswada wa Novatus Igosha

    Juzi nikiwa Dodoma nilimtembelea rafiki yangu ambaye ni afisa mwandamizi serikalini. Akanionesha muswada uitwao FINEST VALOR. Kwanza nikataka kumjua mwandishi. Nikaona ni Novatus Igosha. Japo hatujawahi kuonana lakini nafahamu umahiri wake katika masuala ya diplomasia na siasa za kimataifa. Ni...
  15. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Mlima Kilimanjaro kama ulivyosanifiwa katika kitabu ''Rajabu Ibrahim Kirama Jemadari wa Vita kuwa Jemadari wa Uislam''

    MLIMA KILIMANJARO KAMA ULIVYOSANIFIWA KATIKA KITABU ''RAJABU IBRAHIM KIRAMA JEMADARI WA VITA KUWA JEMADARI WA UISLAM'' ''Mlima Kilimanjaro unaonekana muda wote; ikiwa hakuna mawingu; tokea Moshi. Huu ni mfano wa alama ya kueleza kuwa chini ya mlima ndiyo nchi ya Wachagga. Mlima Kilimanjaro...
  16. Mlalamikaji daily

    JamiiForums Tanzania Natafuta mfadhili wa kunichapia kitabu changu

    Habari wakuu, Nina hadithi nzuri nimeandika ambayo 70% imebase kwenye kisa cha kweli katika maisha Yangu, Kwa yeyote atapenda kunisaidia ili kitabu kitoke tafadhali, tuwasiliane hapa nitakufuata PM Na nitakupa episodes chache Ili ujiridhishe na kazi hiyo... Natanguliza shukrani
  17. NostradamusEstrademe

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi tata duniani uliongia kwenye kitabu cha Guinness

    Uchaguzi huo ulifanyika nchini Liberia mwaka 1927. Ilikuwa ni uchaguzi wa raisi na mshindi akawa Charles D.B. King wa chama cha True whig ambapo alichaguliwa kwa kipindi cha tatu. Alimshinda Thomas J.Faulkner wa chama cha Peoples Party General elections. Uchaguzi huo ulichukuliwa na aliyekuwa...
  18. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Maisha ya Rajabu Ibrahim Kirama

    KITABU KIPYA: UISLAM ULIVYOINGIA UCHAGGANI Rajabu Ibrahim Kirama alikuwa mtoto mdogo wakati Wamishionari wanaingia Kilimanjaro baada ya Mkutano wa Berlin mwaka wa 1884 na Wajerumani wakaingia Uchaggani kuanza kutangaza Injili wakati huo jina alilopewa na baba yake lilikuwa Kirama Mboyo. Baba...
  19. Duniahadaa

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kutoka kitabu cha ilani ya CCM: 2010-2015 Uchumi ulikuwa kwa wastani wa 7%, 2015-2020 Uchumi ulikuwa kwa 6.9% Kumbe tumerudi nyuma!

    Ilani ya CCM 2015-2020 Ukurasa wa 7 Ilani ya ccm 2020-2025, Ukurasa wa 10 Hivi hizi kelele zote hasa huwa za nini wakati namba zinaonyesha jamaa na CCM mpya yake wame- drop? Kumbuka hizo ni mukuu kutoka ilani ya CCM yenyewe. NB: Moderator achia uzi ujitegemee, wala usiupotezee maana hizo...
  20. B

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tukiwanyima CCM kura tutaingia kwenye kitabu cha Historia ya Ukombozi

    Tunawasoma watu maarufu waliopingana na uonevu wa wakoloni wakatuletea ukumbozi. Waliofanya hayo walianza kwenye sanduku la kura 1958 na 1961 wakaingia ikulu na mzungu akafungasha virago. Toka 1961 Hadi leo kwanini tunawakumbuka na kuwashukuru? Ni kwa sababu watu waliamua kutotawaliwa, kuminywa...
Back
Top Bottom