Diwani aliyeandika kitabu cha Rais Magufuli ameihama Chadema kwenda NCCR

jingalao

JF-Expert Member
Oct 12, 2011
35,052
28,242
download.jpeg-2.jpg

Diwani machachari wa Chadema Arumeru ambaye aliandika kitabu kinachoelezea mafanikio ya Rais Magufuli ameachana na Chadema na kujiunga na NCCR Mageuzi.

Amechukizwa na siasa chafu za kuponda maendeleo zinazofanywa na Chadema.

Huyu Diwani Mrembo kuliko wote huko Arumeru na ni mwanathiolojia anaitwa Eva Kaaya
 
siasa ni sanaa

na kwenye siasa za bongo kuna kitu kinatokea

aidha upinzani wana nafasi kubwa ya ushindi maana..

..kwa mafanikio makubwa na ya kutukuka ya awamu hii;diwani mwenye akili zake hawezi acha kusajili MAN U (CCM)..badala yake eti anaenda chezea Watford FC (NCCR)
 
na mvimbe mpasuke endeleeni kulewa kule royal na pestanar kwa vyangudoa
 
Kama alimsifia magufuli NCCR kafata nini?

Ndio watu wasio na fikra wasichoweza kugundua. Conventional wisdom inaonesha dada huyu asingekuwa mpinzani wa Magufuli, hasa baada ya kuandika kitabu. Angeamini katika CCM. Lakini katoka Chadema na kwenda NCCR.

Ni au anataka kufaidi maslahi ya kinachoitwa upinzani kwa kupitia NCCR (CCM anahitaji upinzani usiokuwa na nguvu ya uwakilishi katika vyombo vya maamuzi) AU mwandishi anafahamu hana nafasi CCM kwa sababu hatoaminiwa AU roho inamsuta (huenda aliwahi kuapa) kuonekana ni CCM.

Ametimiza haki yake ya kuchagua anachotaka kufanya na hajavunja sheria yoyote. Bravo!!
 
Mrembo kafanya maamuzi sahihi. CHADEMA sio tena chama cha siasa bali ni kikundi cha wahuni
 
Back
Top Bottom