Walioandika Kitabu cha Biography ya Hayati Baba wa Taifa wamekosoa sana. Sidhani kama hiki kitabu kilihaririwa

N'yadikwa

JF-Expert Member
Aug 10, 2014
5,454
2,000
Mathalani ukisoma Ukurasa wa 70 na 71 wa Volume 1 kilichoandikwa na Saida kuna statements ngumu ambazo nawasihi mkasome wenyewe na nisingependa kuziweka hapa kwa sababu ya masuala ya Haki Miliki nk.

Kwa kweli nimekatishwa tamaa kwa sababu kitabu hakitasaidia kupasisha historia nzuri ya waasisi wa Taifa letu Baba wa Taifa na Mzee Karume. Waandishi hamkuwatendea haki hawa wazee.

Sio kila kitu ni cha kuandika. Kasome mwenyewe ukurasa wa 70 na 71 Vol. 1 kwa umakini.
 

nyalujama

Senior Member
Sep 4, 2020
105
250
Haya
JamiiForums-329143772.jpg


Sent from my Infinix X652 using JamiiForums mobile app
 

Lizzy

JF-Expert Member
May 25, 2009
23,692
2,000
Kumuita kiongozi wa Mapinduzi matukufu Dikteta sio sawa kabisa. Nimekereka na hiki kitabu. Na mbaya kimeandaliwa eti na waandishi wazawa wakijinasibu kwamba hii ni historia halisi ndio washindwe kuwastahi waasisi. Hivi tukimtaka Saida atoe ushahidi wa Udikteta wa Karume atatoa!?
Wamstahi vipi kama ndio ukweli??Na kwanini wamstahi???

Unless wanadanganya sioni sababu ya kuita limao chungwa.
 

N'yadikwa

JF-Expert Member
Aug 10, 2014
5,454
2,000
Wamstahi vipi kama ndio ukweli??Na kwanini wamstahi???

Unless wanadanganya sioni sababu ya kuita limao chungwa.
Wametumia lugha kali sana yaani kufikia kumuita kiongozi mtangulizi dikteta? duh!
 

Lizzy

JF-Expert Member
May 25, 2009
23,692
2,000
Wametumia lugha kali sana yaani kufikia kumuita kiongozi mtangulizi dikteta? duh!
Kuna ubaya gani kumuita mlevi , mlevi???

Shida inakuja pale tu kilichoandikwa kinapokuwa sio sahihi.

Binafsi niliwahi kuandika one of my IA on him hivyo nimemsoma soma na sioni ubaya iwapo wanaomjua zaidi wakitupa their side of the story. Hata kama hatutofurahia ila kama ni ukweli hatuna budi kuukubali.
Screenshot_20200924-220626_Docs.jpg
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom