kitabu

Kitabu is an EPUB reading application for macOS, released in 2012.

View More On Wikipedia.org
  1. Petro E. Mselewa

    JamiiForums Tanzania Nimeamini, kila zama ina kitabu chake. Leo Polepole ni Musiba 'aliyechangamka'. Siasa si mchezo!

    Alipata kusema Rais Mstaafu wa Tanzania wa awamu ya pili Mzee Ali Hassan Mwinyi kuwa 'kila zama ina kitabu chake'. Nami sasa nimeamini baada ya 'kuweka' tafsiri yangu binafsi kwenye msemo huo uliojaa hekima na busara kubwa. Binafsi nimetafsiri kuwa 'kila awamu ina wake wa 'kutrend''. Yaani...
  2. ommytk

    JamiiForums Tanzania Tumkumbushshe tu ndugu yetu mh pole pole kila kitabu na zama zake

    Akubali tu kama walivyokubali wengine kipindi cha kitabu ambacho yeye alikuwa anasoma na wengine walikosa kukisoma wakakaa pembeni sasa kitabu iki nayeye aangalie tu juu kwenye cover ndio ilivyo.kipindi yeye anasoma na kukielezea kitabu kilichopita kuna watu walikuwa pia wanatamani nawao...
  3. ommytk

    JamiiForums Tanzania Tumkumhushe tu my pole pole kila kitabu na zama zake

    Akubali tu kama walivyokubali wengine kipindi cha kitabu ambacho yeye alikuwa anasoma na wengine walikosa kukisoma wakakaa pembeni sasa kitabu iki nayeye aangalie tu juu kwenye cover ndio ilivyo.kipindi yeye anasoma na kukielezea kitabu kilichopita kuna watu walikuwa pia wanatamani nawao...
  4. Chukwu emeka

    JamiiForums Tanzania Naomba Msaada anayejua Bookshop ninayoweza kupata kitabu "Urban Geography ",A Global Perspective, 3rd Edition...kimeandikwa na Michael Pacione

    Habari wanaJF, kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nimepita Bookshops kadhaa hapa Dsm nimekosa hicho kitabu,kama kuna mtu anaweza kunisaidia sehemu nikakipata nitashukuru. Asante kwa msaada wako
  5. Makirita Amani

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi wa kitabu: The Third Door (Jinsi watu waliofanikiwa sana walivyoanza safari zao za mafanikio)

    Karibu kwenye uchambuzi wa kitabu kinachoitwa The third door : the wild quest to uncover how the world’s most successful people launched their careers ambacho kimeandikwa na Alex Banayan. Alex alichagua kuwafuatilia watu waliofanikiwa sana kwenye yale wanayofanya kwa lengo la kujua kule...
  6. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Kitabu alichoonyesha Freeman Mbowe Mahakamani kina ujumbe gani?

    Wakuu kwanza hongereni kwa neema ya mvua kubwa popote mlipo nchini Tanzania, wacha inyeshe ili tuone panapovuja. Leo kama ilivyo kawaida ya siku za wiki, habari kubwa ni ile ile ya siku zote ya Mh Mbowe kufikishwa Mahakamani na kuteka vyombo vyote vya habari vya dunia, sasa jambo kubwa leo ni...
  7. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Binti mweusi zaidi aingia kwenye kitabu cha rekodi cha Guinness

    Mkazi wa Gambele nchini Ethiopia ambaye kwa uasili ni mtu wa Sudan Kusini kutoka kabila la Dinka bi Nyakim Gatwech mwenye umri wa miaka 27 ndio kwa sasa mtu mweusi zaidi duniani. Nyakim anajulikana kwa ngozi yake yenye weusi asilia. Makofi kwake
  8. Kasomi

    JamiiForums Tanzania Fahamu kuhusu Kitabu Cha Malleus Maleficarum Maarufu kama Nyundo ya Wachawi

    FAHAMU KUHUSU KITABU CHA MALLEUS MALEFICARUM MAARUFU KAMA NYUNDO YA WACHAWI Hiki ni kitabu ambacho kiliandikwa na Heinrich Kramer na kuchapishwa kwa mara ya kwanza katika mji wa Speyer nchini Ujerumani mnamo mwaka 1486. Kitabu hicho kimebeba ujumbe kuhusu wachawi ambapo ndani yake kuna...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Yu wapi aliyesigina Kitabu cha Andiko la Katiba huko nyuma?

    Nakumbuka niliwahi kusikia kuna Bwana MMoja aliwahi kuisigina Kitabu cha Katiba huko nyuma. Pia vyombo taasisi na watu mbali mbali walikuja juu na kutaka "anyongwe hadharani". Sijui Kashfa hii iliishia wapi na huyo Bwana yu wapi?
  10. D

    JamiiForums Tanzania Funua kitabu na Ismail Jussa

    Kwa kweli hichi kipindi kimekua ni cha kuvutia sana tokea nilipoanza kukifuatilia, ndugu Ismail Jussa amekua akichambua vitabu mbali mbali vya kisiasa, kuna mengi ya kujifunza ndani yake. Erythrocyte TODAYS Shocker Mohamed Said Sky Eclat Marco Polo johnthebaptist bagamoyo Missile of the Nation...
  11. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Uzinduzi wa kitabu ''Mwanamke Mwanamapinduzi''

    UZINDUZI WA "MWANAMKE MWANAMAPINDUZI" GOLDEN TULIP Ikiwa ulipitwa na yaliyoelezwa kuhusu kitabu hiki: Hiki ni kitabu kinachohusu maisha ya Biubwa Amour Zahor kilichoandikwa na Zuhura Yunus. Kitabu hiki kinahusu maisha yake Biubwa akiwa msichana mdogo wa Kiarabu katika mapinduzi ya Zanzibar ya...
  12. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Kitabu kimpya: Mwanamke Mwanamapinduzi

    MWANAMKE MWANAMAPINDUZI Hiki ni kitabu kinachohusu maisha ya Biubwa Amour Zahor kilichoandikwa na Zuhura Yunus. Kitabu hiki kinahusu maisha yake Bi. Ubwa akiwa msichana mdogKio wa Kiarabu katika mapinduzi ya Zanzibar ya mwaka wa 1964. Nilipoanza kukisoma kitabu ghafla ikanijia filamu fupi...
  13. Z

    JamiiForums Tanzania Kwanini kitabu cha Muongozo wa Utoaji Haki za Wanawake kimeandikwa kwa Kiingereza

    Jana Mhe .Rais Samia alizindua Kitabu cha muongozo kwa Majaji na Mahakimu kinachohusu jinsi ya utoaji wa Haki za wanawake na watoto ktk kesi za mirathi ndoa na talaka n.k. Sisi wananchi tunashukuru kwa hatua hiyo lakini tumeshangaa sana kuona kitabu hicho kuandikwa kwa lugha ya kizungu wakati...
  14. Red Giant

    JamiiForums Tanzania Kitabu Mzingile cha Kezilahabi kinahusu nini hasa?

    Habari wandugu. Nimemaliza kusoma kitabu cha muandishi Euphrase Kezilahabi; Mzingile. Naona kama nimekielewa nusunusu. Kama kuna aliyewahi kukisoma naomba anielezee kinahusu nini hasa.
  15. B

    JamiiForums Tanzania Gertrude Mongella: Kitabu cha Mwalimu Nyerere kilifichwa

    13 October 2021 Chato, Geita Tanzania KITABU CHA NYERERE CHAFICHWA / MONGELA AFUNGUKA SABABU ZA KUFICHWA KITABU HICHO Gertrude Mongella akemea siasa za ubaguzi zinazoendekezwa na jamii iwe kisiasa, kijamii, kijinsia, rika n.k Ametoa hotuba moja ikigusia mfano kuwa mwanamke ni anasifa zote...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Sabaya ukiwa jela andika kitabu kitachosaidia wateule wenzako yasiwakute yaliyokukuta

    Kama sheria na taratibu zinaruhusu wafungwa kuandika kitabu, nakushauri utumie muda wako wa kuwa kifungoni uandike kitabu kitachoeleza kila kitu yakiwemo yale ambayo hukuyasema mahakamani (kama yapo) ili usaidie wenzako yasiwakute yaliyowakuta. Kwasababu umeshaenda jela(unless unataka kukata...
  17. Makirita Amani

    JamiiForums Tanzania Kitabu Kipya: Mwongozo wa Maisha ya Mafanikio

    Rafiki yangu mpendwa, Huwezi kutoka nyumbani kwako na kwenda popote kama huna mwongozo unaoufuata. Hata kama haujauandika mahali, unajua kabisa utapita wapi na wapi ndiyo ufike kule unakotaka. Na hata unapokuwa njiani na kukutana na njia nyingine, hutahangaika nazo kwa sababu unajua njia...
  18. Civilian Coin

    JamiiForums Tanzania Mwanamuziki Mashonda (Marekani) ndio Mwanaharakati wa kwanza kutoa Kitabu Cha Talaka baada ndoa.Na kuachika, leo Ni Mpweke.

    Kitabu chake Mashonda tifrere Mwanamuziki wa kike Nchini Marekani, kimejikita zaidi katika changamoto za ndoa na jinsi ya kutuliza nafsi unapopewa Talaka ndani ya ndoa. Nimetambulisha video yenye sura yàke. Kitabu Ni Kama unavyoona kava. Nitakiwasilisha TANZANIA.
  19. Ileje

    JamiiForums Tanzania Kwa nini ofisi zote za ma-RPC na OCD mezani kuna kitabu cha Ilani ya CCM na hakuna PGO?

    Nimeingia ofisi nyingi za ma-RPC na OCD hapa nchini, kitu utakachokiona kwa haraka na uwazi kabisa juu ya meza zao ni Ilani ya CCM. PGO ambayo ndiyo inayotoa mwongozo wa utendaji wao wa kazi za kila siku utaiona kwenye shelf. Ni kwa bahati mbaya au kutokujua kwa viongozi hawa wa askari kuwa...
  20. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Kitabu alichoonesha Freeman Mbowe alipokuwa anaingia Mahakamani kina ujumbe gani?

    Mwenye kufahamu atujuze ili twende sawa
Back
Top Bottom