kitabu

Kitabu is an EPUB reading application for macOS, released in 2012.

View More On Wikipedia.org
  1. Tanzania Nchi Yetu Sote

    JamiiForums Tanzania Wale mlioomba kazi ya Sensa ya Watu na Mmakazi naamini wote mlisoma kitabu cha Ngoswe

    WALE MLIOOMBA KAZI YA SENSA YA WATU NA MAKAZI NAAMINI WOTE MLISOMA KITABU CHA NGOSWE "Penzi kitovu cha uzembe" TUNAKUMBUSHANA. HATA MIMI NIMEOMBA😁😁🙈 👇🏽👇🏽👇🏽👇🏽👇🏽 MITOMINGI; nadhani sasa mgeni amekwisha kumaliza kula hebu nenda kaondoe vyombo MAMA_MAZOEA; Basi fanya haraka (Mazoea anatoka...
  2. Equation x

    JamiiForums Tanzania Kitabu cha maisha ya mwanadamu

    Utangulizi Maisha ya mwanadamu, yana sehemu kuu tatu:- Kuzaliwa Kuishi Kufa Sura 1: Kuzaliwa Mtu anazaliwa pale panapokuwa na uhusiano wa kimapenzi, kati ya mwanaume na mwanamke. Na uhusiano huo uleta ujauzito na baada ya miezi 9 mtoto uzaliwa. Na tukio hili hutokea mara moja Sura 2: Kuishi...
  3. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Pitio la kitabu cha Khamis Abdulla Ameir sehemu ya tatu na ya mwisho

    PITIO LA KITABU CHA KHAMIS ABDULLA AMEIR: ‘’MAISHA YANGU MIAKA MINANE NDANI YA BARAZA LA MAPINDUZI KHAINI AU MHANGA WA MAPINDUZI?’’ SEHEMU YA TATU NA YA MWISHO Kila msomaji atachokisoma katika kitabu hiki kinatoka kwa mtu wa kuaminika ingawa wakati mwingine unaweza kuona tofauti ya taarifa...
  4. Bangida

    JamiiForums Tanzania Kitabu kinachoitwa "LIFE'S LITTLE INSTRUCTION BOOK"

    Wapendwa habari zenu, Naomba kama kuna mtu humu ana hicho kitabu au hata jinsi ya kukipata in soft copy anisaidie. Nashukuru sana.
  5. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Nikutumie hivi vitabu viwili free

    1. Safari ya Bulicheka. 2. Tajiri wa Babeli. Nicheki whatsapp. Vingine vingi. Kwa Tsh 2,000 hadi 4,000 utapata softcopies, za vitabu hivi. Tunakutumia kwa whatsapp. 0715278384 Pia kuna bonasi ya vitabu kama nane. Hardcopy kipo kitabu kimoja cha Tajiri wa Babeli(12,000). List ya vitabu vyote...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Nakusudia kuandika kitabu kuelezea UDIKTETA wa Magufuli

    Niko ktk harakati za kuandika kitabu kitakachoelezea madhila ambayo Taifa letu limepitia kwa kipindi cha miaka 5 na miezi 5 (Novemba 2015-March 2021). Kitabu hiki kitaelezea mateso na ukandamizaji watanzania waliopitia ktk kipindi hiki chini ya utawala wa rais Magufuli. Na nikishauza kopi za...
  7. abudist

    JamiiForums Tanzania Kitabu cha Kingereza cha mtaala mpya kwa wanafunzi kuelewa kingereza kwa urahisi zaidi!

  8. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Kitabu cha baba wa taifa katika mjadala Chuo Kikuu cha Dar-es-Salaam 26 Mei, 2022

    Kulia Prof. Issa Shivji, Prof. Saida Othman Yahya, Dr. Ng’wanza Kamata katika mahojiano na Mohamed Said (out of sight) kuhusu Mwalimu Nyerere wakati wa utafiti wa kitabu chake.
  9. E

    JamiiForums Tanzania Kitabu cha "ushahidi kuwa Mungu hayupo na uchawi haupo" kiko njiani

    Ndugu zangu wana JF, mimi ni mtanzania na ninapenda kuwafahamisha kuwa ninaandika kitabu chenye kutoa ushahidi juu ya kutokuwepo mungu wala uchawi katika dunia hii. Najua wengi wenu mkisia mada kama hii mnapuuza na kucheka. Yawezeka vicheko vinatokana na kuelewa sana juu ya chimbuko la dhana...
  10. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Ofa ya masaa 48 ya kitabu cha mlio wa risasi harusini

    Kwema! Wadau wangu na wapenzi wa kusoma Riwaya, nimetoa Ofa ya Softcopy ya kitabu cha MLIO WA RISASI HARUSINI Kwa Tsh 3500/= PFA hii itadumu Kwa masaa 48 tuu, mpaka jumanne saa sita za usiku. Namba ya muamala 0693322300 Airtelmoney Robert Heriel 0758216209 M-PESA Robert Heriel
  11. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Mdude Chadema amtembelea Mbatia. Ampatia kitabu chake Miaka mitano ya mateso katika harakati. Ampomgeza kupangua mapinduzi

    Huyu Mdude yupo kiharakati kila mara. Mbatia nae anasema Aluta continua. Hapa ni harakati tupu
  12. DENG XIAOPING

    JamiiForums Tanzania Kitabu gani bora cha kimataifa/kitaifa unachosoma kwa sasa au ulichowahi kusoma?

    - Kwangu mimi kitabu Cha kimataifa ninachosoma kwa Sasa kinahusu MAGEUZI YA KISIASA NA KIUCHUMI CHINA CHINI YA DENG XIAOPING. “CHINA UNDER DENG XIAOPING POLITICAL AND ECONOMIC REFORM”.picha[emoji116] - Je wewe unasoma kitabu gani kwa Sasa au ushawahi kusoma kitabu gani.andika hapa chini pia...
  13. Aliko Musa

    JamiiForums Tanzania KITABU #2.02; Successful Real Estate Investing (Kuwekeza Kwenye Majengo Kwa Mafanikio Na Robert Shemin)

    Kwenye uchambuzi unaofuata nitakuwa nakushirikisha makosa matatu (3) au zaidi kila siku. Kitabu hiki hakina sura, hivyo nitakushirikisha namba za makosa hadi kufikie kosa la 75 kwenye kitabu hiki. KOSA #01; Kutokuanza Kuwekeza Mapema Kwenye Ardhi Na Majengo. Hili ni kosa kubwa sana ambalo...
  14. mgt software

    JamiiForums Tanzania Kitabu cha lawama kwenda kwa Mwendazake Kifungwe sasa. Kiongozi yeyote atakayelaumu tena afunguliwe mashitaka

    Wana JF Kumekuwa na lundo la viongozi wakitoa lawama nyingi kuzielekeza kwa mwendambinguni ikiwa ni sehemu ya kukwepea majukumu waliopewa wakashindwa kuyatimiza kwa wakati. Kwa sasa kila kukicha tunapata lawama mpya , jambo baya sana tangu JPM aondoke duniani yapata mwaka na miezi, hawa jamaa...
  15. Tumia akili

    JamiiForums Tanzania Kitabu kilichoanza kuandikwa kisha kikaachwa kitamaliziwa katika hesabu hii

    Wakuu 'The clinic' walikutana wakiwa wanne. Recrato, Logasto na Financo walikuwa ndio wajumbe. Upande wa pili alikuwa amekaa Director akiongoza. Alianza kuwaambia majukumu yao, "miaka miwili ijayo sitaendelea tena, mnatakiwa kusimamia ogani." Ingawa haipo, itahakikisha kwamba hakuna...
  16. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Muungano na Kitabu cha Watoto Kuhusu Zanzibar: The School Trip to Zanzibar

  17. M

    JamiiForums Tanzania Huku Kwetu Tanzania tuna Maprofesa Vyuo Vikuu hata Kuandika tu Kitabu cha Kurasa 10 wameshindwa, ila wanachojua ni Kujimwambafai tu

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, amezungumza na kusaini kitabu cha Mtoto wa Kitanzania Ada Marie Kemilembe (9) mkazi wa Columbia, Maryland, alipokutana nae Jijini Washington DC Nchini Marekani. Taarifa: Ikulu Tanzania Asikudanganye Mtu ukizaliwa au kuishi...
  18. C

    JamiiForums Tanzania Uzinduzi wa Kitabu cha Historia ya Muungano

    Leo Serikali ya JMT imezindua kitabu chenye historia mpya ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Kitabu hicho pia kimeeleza chimbuko la vuguvugu la kudai Uhuru wa nchi hizo tangu miaka ya 1920s Bila shaka Mzee wetu Mohamed Said ameshiriki ipasavyo. Hatutegemei kusikia malalamiko ya kupindishwa...
  19. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Kama utahitaji hardcopy ya tafsiri ya kitabu The richest man in Babylon nicheki

    Ni Pm au mcheki huyu jamaa whatsapp. 0759522257 Pia kuna hizi softcopies. Kwa Tsh 2,000 hadi 4,000 utapata softcopies za vitabu hivi. Whatsapp namba 0759522257. Pia kuna bonasi ya vitabu kama nane. Hardcopy ipo ya Tajiri wa Babeli(12,000). List ya vitabu vyote. ORODHA YA VITABU NA BEI...
  20. Bangida

    JamiiForums Tanzania Natafuta kitabu kinachoitwa "Why has Nobody Told me this Before"

    Habarini wanajukwaa, nina imani kila mtu ni buheri wa afya. Ninaomba kama kuna mtu anaeweza kuwa na pdf file ya kitabu cha "WHY HAS NOBODY TOLD ME THIS BEFORE - Dr. Julie Smith" anisaidie. Hata kama ni link ya kuweza kukidownload pia ni sawa. Natanguliza shukrani. Mbarikiwe sana.
Back
Top Bottom