Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,537
- 217,803
Mwenye kufahamu atujuze ili twende sawa
Kinaitwa The power of positive thinking...nenda pdfdrive.com ka download Free
Nakushukuru sana! kwa manufaa ya JF na wengine wenye bando la mashaka kutokana na tozo za uchumi wa kati unaweza kuongeza nyama kidogo?Kinaitwa The power of positive thinking...nenda pdfdrive.com ka download Free
Mungu ibariki CHADEMA
AminaMungu ibariki CHADEMA
Mbowe kama Nelson Mandela yaani!
Kwa mara ya kwanza umeandika ukweli mtupu !Mbowe kama Nelson Mandela yaani!
Kitabu kina madini sana hiki!
Asante sana !
Hahahaaaa....... Siasa siyo uadui bwashee!
Aliyempelekea hicho kitabu Mbowe amefanya jambo la heri. Mbowe ana NEGATIVITY sana na utawala wa Samia. Hivyo basi akimaliza kusoma kitamsaidia kuishi kama raia mwema
Mbowe kama Nelson Mandela yaani!
Kuna ukweli fulaniMbowe ni zaidi ya Mandela
Unaapa bure jiana la ALLAHNinachoweza kusema ni kwamba: Wallah, wabillah Mbowe si gaidi.
kuna ukweli fulani