Married to the Mossad: kitabu kilicholeta utata Mossad

CHIZI VITABU

JF-Expert Member
Jun 12, 2021
1,061
2,475
Kitabu ukikisoma unaweza ukadhani ni fiction hapana ni non fiction hata kama kuna sehemu imefichwafichwa na kupakwa rangi ila ni inspired by true events,kilipotoka kilikuwa the best seller huko israel

Kitabu hiki kilikaa miaka kumi ndipo kikachapishwa kwani mume wa mwanamama Shalva Hessel ambaye ndiye mwandishi wa kitabu hiki alikataa katakata kisichapishwe hata shirika la ujasusi al Israel yaani MOSSAD hawakutaka kichapishwe kwani kama unavyojua mashirika haya hu de classify documents na kuziachia kwa public baada ya miaka mingi kupita

haswa pale wahusika wanapikuwa wamefariki au mbinu zilizotumika kwenye operesheni husika ni za kizamani na hazitumiki tena au hata kama zinatumika basi zishajulikanaga siku nyingi kwa maadui,ukisoma hiki kitabu utagundua kwa nini kilipata msukosuko huo

Mossad walichukia sana kuchapishwa kitabu lakini mwana dada alipohojiwa akawauliza ninyo Mossad hamuoni aibu kwa mara ya kwanza katika historia yenu mmetoa tangazo kwenye magazeti kutafuta wanawake wa kufanya nao kazi? lakini baada ya kitabu chake kutoka kukawa na mwamnko wa wanawake wa kiisrael kuomba nafasi za kufanya kazi Mossad.

Chini ni picha ya shalva huyo wa upande wa kulia mwenye suruali ya blue. Kwa enquiries za books nicheki PM

unnamed-16-960x1440.jpg
unnamed.jpg
 
Attachments

  • Married to the Mossad by Hessel Shalva toka kwa chizi vitabu.pdf
    1.2 MB · Views: 38
Anaeleweka vizuri mbona nyie wenyewe longolongo. Kama nyie wajanja nendeni chimbo mpakue wenyewe.
 
Kitabu ukikisoma unaweza ukadhani ni fiction hapana ni non fiction hata kama kuna sehemu imefichwafichwa na kupakwa rangi ila ni inspired by true events,kilipotoka kilikuwa the best seller huko israel

Kitabu hiki kilikaa miaka kumi ndipo kikachapishwa kwani mume wa mwanamama Shalva Hessel ambaye ndiye mwandishi wa kitabu hiki alikataa katakata kisichapishwe hata shirika la ujasusi al Israel yaani MOSSAD hawakutaka kichapishwe kwani kama unavyojua mashirika haya hu de classify documents na kuziachia kwa public baada ya miaka mingi kupita

haswa pale wahusika wanapikuwa wamefariki au mbinu zilizotumika kwenye operesheni husika ni za kizamani na hazitumiki tena au hata kama zinatumika basi zishajulikanaga siku nyingi kwa maadui,ukisoma hiki kitabu utagundua kwa nini kilipata msukosuko huo

Mossad walichukia sana kuchapishwa kitabu lakini mwana dada alipohojiwa akawauliza ninyo Mossad hamuoni aibu kwa mara ya kwanza katika historia yenu mmetoa tangazo kwenye magazeti kutafuta wanawake wa kufanya nao kazi? lakini baada ya kitabu chake kutoka kukawa na mwamnko wa wanawake wa kiisrael kuomba nafasi za kufanya kazi mossad .

chini ni picha ya shalva huyo wa upande wa kulia mwenye suruali ya blue...kwa enquiries za books nicheki pm

View attachment 1825483View attachment 1825492
Shukrani
 
Natafuta kitabu
1. Son of Hamas
2. Once an Arafat Man

Nishavipata vyote hivyo na vingine kibao kwa mkali mmoja wa JF shukrani
 
Back
Top Bottom