kitabu

Kitabu is an EPUB reading application for macOS, released in 2012.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Naomba mwenye Nakala za Vitabu Cha Historia alivyo andaa Magufuli na Ndalichako!

    Waungwana niwatakie jumapiki njema! Mimi ni mojawapo ya waliokuwa wanasubiri Kwa shaukukubwa Vitabu vioya vya Historian alivyoekeza Mh.MAgufuli viandikwe...! Najua vilikuwa kwenye hatua ya mwishi! Naomba mwenye nacho hata kimoja yuone hiyo Historia moya ilikuwaje!
  2. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Kitabu cha Khamis Abdulla Ameir kipo tayari

    KITABU CHA KHAMIS ABDULLA AMEIR KIPO TAYARI Rafiki yangu mmoja katika uongozi wa juu Zanzibar na aliyeshuhudia yote yaliyotokea kabla na baada ya mapinduzi alipata kuniambia kuwa ili kuielewa historia ya Zanzibar inataka mtu apinde mgongo kuisoma. Akaendelea kusema na ubongo wako ufungue uwe...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Mwaka Mmoja Na Samia: Tumuombee andike kitabu chake

    "Rais Mwinyi aliwahi kusema, kila zama na kitabu chake. Tumuombee Rais Samia Suluhu aandike kitabu chake, kurasa 365 amezimaliza, tunaamini ataendelea vizuri", - Nape Nnauye, Waziri wa Habari #MamaYukoKazini #mwakammojawamama
  4. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Chato: Yaliyojiri katika Maadhimisho ya mwaka 1 wa kifo cha Hayati Magufuli. Kasala, tusimamie ukweli na haki. Samia kuendeleza Mema

    Leo ni Maadhimisho ya Mwaka mmoja tangu Rais wa awamu ya Tano Dkt John Pombe Joseph Magufuli atukote. Maadhimisho hayo yanafanyika mkoani Geita katika wilaya ya Chato. Maadhimisho hayo yatahudhuriwa na Rais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania Mh. Samia suluhu, Makamu wa Rais Dkt. Isdori Mpango...
  5. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Kumbukumbu za Balozi Mwapachu: Kitabu Kipya

    KUMBUKUMBU ZA BALOZI JUMA MWAPACHU Balozi Juma V. Mwapachu amechapa kumbukumbu zake.
  6. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Kitabu cha ''wanawake wa nguvu'' kimezinduliwa

    KITABU CHA ''WANAWAKE WA NGUVU'' KIMEZINDULIWA ''KATIKA kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani, wakurugenzi mbalimbali wanawake nchini wameungana na kuzindua Jukwaa la Pamoja la Wakurugenzi Wanawake wa Asasi za Kiraia. Jukwaa hilo linalenga kuwa na sauti za pamoja katika kusimamia haki za...
  7. U

    JamiiForums Tanzania Mfahamu kwa Picha Ndyanabo Balidisya mtunzi wa kitabu Cha Shida na Dadake na Mwanamuziki Patrick Balidisya

    Mungu azidi kumrehemu yeye na kakake Alikuwa mtunzi na Mhadhiri wa Chuo Kikuu Cha Dar es salaamf
  8. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Mdude Nyagali atunga kitabu kuhusu Mateso na unyama aliofanyiwa kwenye Utawala wa Awamu ya 5, kuzinduliwa Machi 5, 2022

    Kama ungependa kufahamu namna awamu ya 5 ilivyosigina HAKI ZA BINADAMU nchini Tanzania, basi hutakiwi kukosa nakala ya kitabu kilichotungwa na Mhanga namba 5 wa Utawala ule aitwaye Mdude Nyagali, ndani ya kitabu hicho mmefunuliwa kila unyama na uchafu wote uliofanywa katika kusigina katiba ya...
  9. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Mazungumzo ya Alfu Lela Ulela au Siku Elfu na Moja - Kitabu cha Pili

    Baada ya kitabu cha nne, sasa tuone kitabu cha pili. Fuatana nami hadi kitakapoisha, pia hivi vyote na vingine vingi unaweza kuvisoma bure ndani ya maktaba app. MAZUNGUMZO YA ALFU LELA ULELA AU SIKU ELFU NA MOJA KIMEFASIRIWA KWA KISWAHILI NA EDWIN W. BRENN KITABU CHA PILI YALIYOMO...
  10. Aliko Musa

    JamiiForums Tanzania Naomba utushirikishe mbinu wanazoweza kutumia waliojiriwa kumiliki nyumba ya kwanza

    Habari, Naitwa Aliko Musa. Ninaishi mkoani Mbeya. Mimi ni mwandishi na mshauri mbobezi kuhusu uwekezaji katika ardhi na majengo. Mejesho kutoka kwa wasomaji wa makala zangu kwenye mtandao wa UWEKEZAJI MAJENGO BLOG umeonyesha wengi hushindwa kumiliki ya kwanza kutokana na sababu mbalimbali...
  11. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Alfu lela ulela, kitabu cha nne

    Nitaweka hapa hadithi zote, kutoka vitabu vyote(vinne ) vya Alfu lela ulela. Fuatana nami kwenye safari hii ndefu. Pia vyote unaweza kuvisoma bure ndani ya maktaba app. Tuanze na kitabu cha nne. MAZUNGUMZO YA ALFU LELA ULELA AU SIKU ELFU NA MOJA KIMEFASIRIWA KWA KISWAHILI NA EDWIN W...
  12. CK Allan

    JamiiForums Tanzania Ombi: kesi ya mheshimiwa Mbowe itengenezewe kitabu

    Niungane na wenzangu kuwapongeza wale wote walikuwa wanaleta live updates za kesi hii Naomba sana ikiwezekana waunganishe sehemu moja kutoka pale na kutengeneza kitabu ambacho bila shaka kinaweza kusomwa vizazi na vizazi kwa wale waliofuatilia kesi hii wataungana na Mimi kuwa hata namna ya...
  13. Jackwillpower

    JamiiForums Tanzania Biblia, kitabu cha ajabu maishani mwangu

    “Mimi ni BWANA; ndilo jina langu; na utukufu wangu sitampa mwingine, wala sitawapa sanamu sifa zangu. Tazama, mambo ya kwanza yamekuwa, nami nayahubiri mambo mapya; kabla hayajatokea nawapasheni habari zake.” Isa. 42:8,9. “Kumbukeni mambo ya zamani za kale; maana mimi ni Mungu, wala hapana...
  14. C

    JamiiForums Tanzania Nashauri Jen. Venance Mabeyo asome kitabu "Army of None" cha Paul Scharre ili atuondolee aibu ya kubebesha magunia makomandoo kwenye sherehe za uhuru

    Shalom from Jerusalem, Imekuwa ni kawaida sasa kwenye kila sherehe za uhuru wa Tanganyika ama mapinduzi ya Zanzibar jeshi letu la ulinzi la wananchi wa Tanzania kutuonesha siraha na mbinu za kivita. Miongoni mwa mbinu hizo ni makomandoo wetu kubebeshwa mizigo na magunia mazito kuonesha maguvu...
  15. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Fungua kitabu na mohamed said TBC Jambo Tanzania

  16. bafetimbi

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kitabu cha KAMASUTRA nakipata wapi?

    Nakitafuta hicho kitabu mazee na je kimeandikwa na nani, mapenzi yatatuua mwaka huu maana huyu demu ni muarabu sasa nataka niipeperushe vyema bendera ya Tanzania. Naipenda sana nchi yangu na siko tayari kuidhalilisha kwa namna yoyote ile hasa katika nyanja ya papuching. Itakua machozi jasho na...
  17. Mag3

    JamiiForums Tanzania Lissu: Kila Mtanzania tarehe 1/1/2022, aanze kuandika ukurasa wa kwanza kwenye kitabu chenye kurasa 365

    Kila Mtanzania: Kila mkulima, kila mfugaji, kila mfanya biashara, kila mfanya kazi, kila machinga, kila kiongozi wa dini, kila kiongozi wa siasa, kesho ratehe 1/1/2022, aanze kuandika ukurasa wa kwanza kwenye kitabu chenye kurasa 365!
  18. J

    JamiiForums Tanzania Fedha za mauzo ya kitabu "Wewe ni Shahidi wa Kristo?" kilichoandikwa na CDF Mabeyo zakarabati Msikiti na Kanisa huko Msata!

    Wakazi wa Msata wamemshukuru Mkuu wa majeshi nchini Jenerali Venance Salvatory Mabeyo kwa kutoa sehemu ya fedha za mauzo ya kitabu chake kiitwacho "Wewe ni Shahidi wa Kristo?" ili kukarabati Msikiti na jengo la Kanisa Katoliki katika eneo lao Naye mkuu wa shule ya jeshi Msata ameahidi kusaidia...
  19. John Manoni

    JamiiForums Tanzania Namshauri Tundu Lissu aandike kitabu

    Heri ya X-Mas wanajamvi. Baada ya kumsikiliza mara nyingi na kuvutiwa na hoja anazoweka mezani, nimeona vema nimshauri Mhe. Tundu Lissu aandike kitabu.
  20. Deja vu27

    JamiiForums Tanzania Fahamu kuhusu kitabu cha "The set up" katika mbinu za kufanikiwa na kunasa mwanamke yeyote

    Mtumzi wa kitabu hiki ni Paul Bilzerian ni kitabu ambacho ametoa mbinu za kuwa maarufu, kufanikiwa na kunasa warembo. Kama ni mpenzi wa kusoma vitabu tafuta hiki bado cha moto tufunge mwaka na The Set Up, published 2021.
Back
Top Bottom