Je umesoma kitabu gani kizuri mwaka huu?. Please share nasi tupate maarifa pia

The richest man in babylon by George S. Clason

Hiki kitabu kimenisaidia sana kunikubusha kuhusu kuweka AKIBA pamoja na mambo kadhaa ya kufanya ili kuwa financially stable.
 
WHO MOVED MY CHEESE

Nahisi hichi ni kitabu cha muhmu sana kusomwa na kila mtu hasa wale wanaokutana na mabadiliko mbalimbali ya ghafla kwny maisha yao,, Kitabu kina pages chache sana almost 40 pages
 
Back
Top Bottom