Alipandishwa, unaikumbuka ile ngeli?naye si alipandishwa?
Hebu tuwekee hapa mkuuAlipandishwa, unaikumbuka ile ngeli?
Hebu tuwekee hapa mkuu
Hahahahahaha kwahiyo akapewa ujaji nimecheka sana
Amesha stafu huyu Mteite mwana V/60Mnaikumbuka hukumu ya Sugu iliyotolewa na somebody Mteite?
Ina mambo hii nchi.Hahahahahaha kwahiyo akapewa ujaji nimecheka sana
Unaweza hisi ni nakala fake. Utafikiri yuko kwenye debate za education is better than money. Japo kiingereza siyo usomi lakini hii kwa jaji haikubaliki.Hahaha!
Huyu mdingi atakuwa kasoma Kantalamba....
Itakuwa alikuwa anawaza kwa Kiswahili halafu anaweka maandishi kwa Umombo...
🤣Kwa upuuzi huo Meko akampandisha cheo
... kwamba huu ni mwandiko wa mtukufu jaji? Acheni mizaha mazee!