kiswahili

  1. W

    JamiiForums Tanzania Historia ya lugha adimu ya Kiswahili

    Lugha ya Kiswahili imeanza takriban miaka 1000 iliyopita kwenye pwani ya Afrika ya Mashariki. Neno Swahili lina asili ya Kiarabu: Sahil ina maana ya pwani; sawahil ’’ a-sawāhilī’’ ni wingi wake kwa kumaanisha yote yanayohusiana na pwani, watu au utamaduni na lugha ya eneo la pwani. Kiswahili...
  2. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Dkt. Abbas na Watendaji wengine mlioko Serikalini kama hatuna uhakika na Viingereza vyetu vya 'Ukubwani' na 'Uchochoroni' tutumie tu Kiswahili chetu

    Jana jioni wakati nikisikiliza Kipindi cha BBC Dira ya Dunia ( kama kawaida yangu ) nilishtushwa kidogo nilipoisikia 'insert' ya Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari 'Mwanazuoni' Dkt. Hassan Abbas na 'Kiingereza' alichokitumia. Wakati akizungumza kuhusiana na Masuala ya Habari, Wadau wa Habari huku...
  3. beth

    JamiiForums Tanzania Prof. Kabudi: Zoezi la kutafsiri Sheria kwa lugha ya Kiswahili linaendelea

    Waziri wa Katiba na Sheria, Prof. Palamagamba Kabudi amesema Wizara nyingine pamoja na Taasisi zinaendelea na zoezi la kutafsiri Sheria zinazosimamia ili ifikapo Desemba 2021 Sheria zote ziwe zimetafsiriwa kwa Kiswahili. Amesema Mahakama ipo katika hatua za mwisho kutafsiri Kanuni zaidi ya 50...
  4. MIXOLOGIST

    JamiiForums Tanzania Ipi ni hatma ya lugha yetu pendwa kiswahili katika awamu ya sita?

    Habari wana JF, Nimesikiliza hotuba ya muheshimiwa Raisi kwa uzuri kabisa nikamwelewa, lakini lugha hii yetu pendwa (kiswahili) hajazungumzwa mahala popote. Hapo awali kiswahili kilitiliwa mkazo kwa sababu zinazojulikana na utawala uliopita. Lugha ya kiingereza ilionekana ni anasa au kielelezo...
  5. S

    JamiiForums Tanzania CCM rudini shule mkasome Kiswahili. Rais Samia ni mwingi wa tafsida

    Maana ya neno tafsida ni utumiaji wa lugha ya adabu na heshima ili kuondoa ukali/ukakasi wa lugha na kuleta staha. Kundi fulani la wanaCCM limeshangilia sana mama Samia aliposema yeye na JPM ni kitu kimoja. Wanasahau kuwa huyu mama mtu wa Pwani ambako kiswahili ndiyo chimbuko. Angekuwa sawa...
  6. funaku

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ijue maana ya neno "Demka". Ni Kiswahili kutoka Zanzibar chenye asili ya lugha ya Kikae

    Hongera Mh Rais Samia Suluhu kwa kutuongezea msamiati kwenye lugha yetu. Katika kongamano na viongozi wa dini Rais Samia ametumia neno la kiswahili ambalo ni adimu kulisikia mitaani ingawa ni neno la kiswahili kutoka asili ya kusini mwa Zanzibar. demka Taz. demnga. demnga V cheza ngoma kwa...
  7. Elius W Ndabila

    JamiiForums Tanzania Hata katika lugha ya Kiswahili, Kenya wametudhibiti kimataifa

    Na Elius Ndabila 0768239284 Ni kweli kuwa lugha ya Kiswahili pamoja na historia yake kubwa, lakini ni ukweli kuwa inazungumzwa sana pwani ya Afrika Mashariki. Na Tanzania ndiyo nchi ambayo ni Mama wa Kiswahili. Tulimushuhudia Rais wa awamu ya Tano akitumia kila jitihada za kukuza na kueneza...
  8. Ikaria

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nini tafsiri ya 'socialite' kwa kiswahili?

    Masada JF. Hivi, socialite anaitwaje kwa KISWAHILI fasaha. Kuna tovuti moja ya Kenya imetohoa - mwanasosholati !
  9. Red Giant

    JamiiForums Tanzania Lugha ya kiswahili inaongelewa na watu wangapi duniani?

    Lugha ya kiswahili inaongelewa na watu wangapi duniani, ni ya ngapi kwa kuwa na waongeaji wengi?
  10. Ellymsgw

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri: Mdogo wangu kamaliza kidato Cha nne na kapata four ya 26 Ana "F" ya phs na math pia "C"ya history na kiswahili, yaliyobaki Ana "D"

    Naombeni ushauri mdogo angu kamaliza kidato Cha nne na kapata four ya 26 Ana "F" ya phy na math pia "C"ya history na kiswahili yaliyobaki Ana "D" Kama Ni kurudia arudie masomo gani? Naombeni ushauri
  11. Jacobus

    JamiiForums Tanzania Ombi: Viongozi wa dini wasioongea kiswahili wasialikwe Kitaifa

    Hapa nchini tuna dini kuu mbili kubwa, Wakristu na Waislam. Dini hizi zina lugha zao rasmi kwa mfano 1. Wakristu Wakatoliki wao ni Kilatini japo hapa kwetu ni majanga. 2. Waislam wote ni Kiarabu. Nimesema lugha rasmi kwa maana ya sala ila kwenye mahubiri hutumia lugha za Taifa au mama sasa...
  12. Mlenge

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Bandaling: Maneno yapi ya Kiswahili umekutana nayo yakawa Msamiati Mpya?

    Pana siku nilikutana na neno "Bandaling". Sikuwa nimewahi kulisikia. Mafundi paa walikuwa wakilitaja. Nini asili ya jina hilo? Neno lipi la Kiswahili ushawahi kukutana nalo ukabaki unashangaa?
  13. Z

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kiswahili kimetekwa! Asalaam aleykum na Bwana yesu asifiwe

    Kama kuna wakati kiswahili kimejishushia hadhi kimataifa, ni kipindi hiki kwa kuwa na salaam ya utata. Nilimuonea huruma Palamagamba Kabudi akihutubia wageni waalikwa wa nchini na wa-kimataifa wakiuga mwili wa marehemu Mh JPM, huku akianza kwa kuwasalimia " Asalaam aleykum na baadae Bwana yesu...
  14. Zakamwamoba

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mama Samia ni Amir jeshi Mkuu au Amirat Jeshi Mkuu?

    Wakuu, hii kitu imenichanganya, Marais wa kiume huitwa Amir jeshi mkuu. Msingi wa neno Amir ni neno la kiarabu ambalo lina maana kiongozi. Kwa kiarabu kiongozi wa kiume huitwa Amir na wakike huitwa Amirat .Je kwa mama Samia ataitwa Amir jeshi mkuu au Amirat? Wazee wa Itifaki naomba ufafanuzi...
  15. Mnabuduhe

    JamiiForums Tanzania Buriani Rais Magufuli - Kiswahili ni lugha ngumu

    Salaam! Tarehe 26/03/2021 Ni siku ya Kumpumzisha Aliyekuwa Rais wetu John Pombe Magufuli huko kwao Chato. Nawapongeza sana JamiiForums Facebook page kwa Kuelewa na Kumuenzi kwa Nukuuu Nkutu alizowahi kuzisema wakati wa uhai wake. Na moja ya nukuu hizo ina maneno haya "Siku moja mtanikumbuka...
  16. Mackanackyyy

    JamiiForums Tanzania Inakuwaje sasa: Mwigulu aendelee kuandika Sheria kwa Kiswahili na Ndalichako aendelee kuandika Upya Mtaala wa somo la historia?

    Nafikiri Mama Samia anapaswa kuwaondoa hawa kutoka Baraza la Mawaziri na asitishe pia kazi walizoelekezwa na Hayati Magufuli kuzifanya. Tunafahamu msukumo wa kutaka Sheria ziandikwe Kiswahili ni kwa sababu Lugha ya Kiingereza ilikuwa ni kama Mama Mkwe kwa Magufuli, na hivyo pengine ilikuwa...
  17. N'yadikwa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msamiati wa Kiswahili: "Baadaye" na sio baadae au badae

    Nimekuwa nikisoma kwenye machapisho mengi hasa magazeti ya kila siku kuna makosa sana ya uandishi wa neno hili BAADAYE. Wengi huandika BAADAE hayo kwa mujibu wa kamusi ya TUKI ni makosa. Neno sahihi ni 'Baadaye'. Poleni na Msiba ndugu watanzania wenzangu.
  18. Tajiri Tanzanite

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi utamuambiaje mtu nimekumis kwa Lugha ya kiswahili?

    Hapo vip!! Nimejaribu kutafuta neno la kiswahili lakutumia badala ya hili ya kingereza la nimekumis...ni neno gani la kiswahi utaliweka liwe mbadala ya nimekumiss..
  19. ryan riz

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nini husaidia wazungu wanaokaa miaka 3, kujua Kiswahili mpaka lugha za kikabila ila wahindi waliozaliwa hapa wasijue hata kiswahili vizuri?

    Hili swali huwa linanishangaza sana! Muhindi ana zaidi hata ya miaka 30 au amezaliwa na kuzeekea hapa ila kuongea kiswahili kwa ufasaha ni shida kubwa. Ila wazungu wanaokuja kwenye miradi au shughuli zingine kwa miaka mitano tu eneo analofanyia kazi ataijua lugha hiyo kwa muda mfupi, hata kama...
  20. Cannabis

    JamiiForums Tanzania Wasanii wa Bongofleva sasa kupewa misamiati kwa ajili ya kuitumia kwenye nyimbo zao ili kukuza lugha ya Kiswahili

    Dar es Salaam. Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Abdallah Ulega amesema watawapa wasanii misamiati mipya kwa ajili ya kuitumia kwenye nyimbo zao ili kukuza lugha ya Kiswahili. Miongoni mwa wasanii hao ni Daimond, Ali Kiba, Harmonize, Zuchu, Nandy, Maromboso, Rayvan na wengine...
Back
Top Bottom