Tafsiri sisisi [ Literal translation]
Hii ni aina ya tafsiri ambayo maneno hufasiriwa yakiwa pweke pweke kwa kuzingatia maana za msingi katika lugha chanzi bila kujali sana muktadha (Mwansoko na wenzake 2006).
Mambo vipi bloggers
Kwa miaka kadhaa nimekuwa na blogs ninazoziandikia kimombo, sasa najikuta natamani kumiliki blog ya kiswahili.
Lengo langu nipate visitors 2M kwa mwezi kupitia SEO mana bongo competition ni ndogo
Swali ni je mnapataje mpunga kupitia hizi blog za kiswahili
Binafsi huwa nikikutana na movi za aina hii basi natafuta njia nyingine kuzikwepa. Walioweka kiswahili wananogesha hadi wanaharibu.
Angalau waweke subtitles.
Kwa anaye kielewa anijuze. Wakenya wanaharibu sana lugha yetu. Kurasa za mitandao ya kijamii ya bbc imegubikwa na Kishwahili kibaya sana(kisicho fasaha). Ili nalo likatazamwe!
Wakubwa nakuja tena kwenu kwa mara ya nne,naomba mtu anayejua mahala nakoweza kupata tamthiliya ya SIRI YA MTUNGI ikiwa imekamilika.
Youtube kuna episodes chache tu.
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Jamhuri ya Cuba zimesaini Hati za Makubaliano ya kushirikiana katika sekta ya elimu ya juu kwa kubadilishana wakufunzi na wanafunzi, kufundisha lugha ya kiswahili katika Chuo Kikuu cha Havana nchini Cuba pamoja na kutengeneza kamusi ya...
Wakiwa kwenye Mkutano mkubwa wa Jukwaa la Mifumo ya Chakula Afrika (AGRF), Rais Samia wa Tanzania na Rais William Ruto wa Kenya walitaniana kuhusu Matumizi Sahihi ya Lugha za Kiswahili na Kingereza
Swali la Utani: Kati ya Kenya na Tanzania, wapi Kingereza kinazungumzwa kwa ufasaha?
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema, Mfanyabiashara na Mwekezaji wa Kimataifa, mbunge wa zamani wa Mbeya Mjini , Bilionea Joseph Mbilinyi, jioni ya leo alikuwa Wilayani Chunya, akiwaelimisha wananchi kuhusu Umuhimu wa Katiba Mpya na Ubovu wa Mkataba wa Bandari.
Hapa ni Kata ya Makongorosi, ambapo...
Ngoja nitafute sasa Video Clips zake nione akiwa na Wazungu (Wenye Lugha yao hii ya Kiingereza) huongea nao kwa Kujiamini na Mikogo aliyonayo kama akiwa anasoma katika Karatasi kwa Kuandikiwa na huenda wanaoijua hiyo Lugha (Kiingereza) zaidi yake.
Binafsi nijiweke tu Wazi kuwa sijui Kiingereza...
Haya hapa ni majina ya Kiswahili ambayo herufi zake zote zinaumda maneno ya Kiswahili pia
NAOMI----MAONI
AMINA----AMANI
Tafadhalli ongeza maneno au majina mengine ya aina hii angalau mawili
Nimefanikiwa kupata Bachelor of Education, hivyo basi kwa yeyote mwenye uhitaji au connection itakayoniwezesha kupata kazi ya kufundisha au inayoendana na taaluma yangu.
Naomba kutanguliza shukrani.
Kitabu cha Rais Xi Jinping chenye jina la “The Governance of China” toleo la Kiswahili, kimetolewa kwa wasomaji kwenye hafla fupi iliyofanyika Agosti 14 mjini Nairobi. Hii ni juzuu ya kwanza ya mfululizo wa juzuu nne, kikiwa na mkusanyiko wa hotuba na maagizo mbalimbali ya Rais Xi Jinping katika...
Lugha ya kiswahili imetawaliwa.na herufi A tazama.
Uganda. Tanzania. Kenya.Botswana.
Kaka. Dada. Mama. Baba.
Chakula. Maisha....
Yaani karibia kila.kitu kimeishia na herufi a.
Hii ni Aburani na ahadi Iliyowekwa Siku za Nyuma na Umoja wa Mataifa, Kuwa Kutakuwa na Siku Maalumu ya Kusheherekea Lugha ya Kiswahili Duniani Kila Mwaka.
Hii ni Abra nzuri kwa sisi wazungumzao lugha hii Adhwimu ya Kiswahili kujadili Mustakabali mzima wa lugha yetu.
Basi na Sisi Waswahili Tuwe...
Akili Bandia ya Bard ambayo inamilikiwa na Google ili kushindana na Akili Bandia ya ChatGPT imefanya mabadiliko.
Google Bard imeongeza upatikanaji wake kwa lugha zaidi ya 40 ikiwemo lugha ya Kiswahili. Sasa hivi unaweza kuuliza akili bandia ya Google maswali yoyote kwa lugha ya kiswahili na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.