Artifact Collector
JF-Expert Member
- Mar 7, 2019
- 6,539
- 10,007
Hivi kuna surat al jin iliyotafsiriwa kiswahili mwenye nayo aitume huku kama pdf ili nasisi tuweke kuya-control hayo majini mazuri
"Majini ni viumbe kama sisi tena wanamuabudu Allah" alisikika ustadh mmoja akisemaJini tena yupo kwenye kitabu cha Allah ?
Ni sura ya jinsi ya kumshinda jini.Jini tena yupo kwenye kitabu cha Allah ?
"Majini ni viumbe kama sisi tena wanamuabudu Allah" alisikika ustadh mmoja akisema
Ni sura ya jinsi ya kumshinda jini.
Biblia na Quran zinadili na jinsi ya kupigana na majini.
Kwa maana majini ndio viumbe vyenye uwezo wa kuingiliana na mwanadamu katika viumbe vyote visivyoonekana
Biblia haina sura ya au kitabu cha majiniNi sura ya jinsi ya kumshinda jini.
Biblia na Quran zinadili na jinsi ya kupigana na majini.
Kwa maana majini ndio viumbe vyenye uwezo wa kuingiliana na mwanadamu katika viumbe vyote visivyoonekana
Na nimejaribu kumwambia biblia haina sura au kitabu kinachoelezea majiniJe biblia ni kitabu cha Allah ? Ama unatumia biblia kama excuse ya jini kuwekewa sura yake kwenye Quran ?
Pia tambua Biblia haijaandikwa na Mungu wala Allah.
Biblia ni muunganiko wa vitabu 66. Ambavyo vimeandikwa na waandishi tofauti tofauti zaidi ya 40.. kila mtu alijiandikia kwa muda wake.. Mungu hajashusha biblia na wala hajaandika biblia.
Hapana nataka tutumie hao majini wazuriHii vita uliyoanzisha
KWA JINA LA MWENYEZI MUNGU MWINGI WA REHEMA MWENYE KUREHEMU.Hivi kuna surat al jin iliyotafsiriwa kiswahili mwenye nayo aitume huku kama pdf ili nasisi tuweke kuya-control hayo majini mazuri
Usijihusishe na majini yatakupoteza , na nani alikuambia kuwa hiyo sura inaControl majini ?Hivi kuna surat al jin iliyotafsiriwa kiswahili mwenye nayo aitume huku kama pdf ili nasisi tuweke kuya-control hayo majini mazuri
Kosa la uzi ni lipi je kuna sehemu limekashfu dini yeyote ileMd futaa uziiii mtoa uzi ana hana ubongo ana mtindi
Nataka kuyatumia majini wazuriUsijihusishe na majini yatakupoteza , na nani alikuambia kuwa hiyo sura inaControl majini ?
Utumishi siku zote hauwezi ukawa bure lazima na yeye again something,kwa hiyo angalia wasije kukuomba kitu beyond your ability na watakudhalilisha sana hatimaye kukukufurisha.Nataka kuyatumia majini wazuri
Imezunguka kuhusu uovu Sasa uovu ni Nini kama sio katka majiniBiblia haina sura ya au kitabu cha majini
Ujaelewa madaJe biblia ni kitabu cha Allah ? Ama unatumia biblia kama excuse ya jini kuwekewa sura yake kwenye Quran ?
Pia tambua Biblia haijaandikwa na Mungu wala Allah.
Biblia ni muunganiko wa vitabu 66. Ambavyo vimeandikwa na waandishi tofauti tofauti zaidi ya 40.. kila mtu alijiandikia kwa muda wake.. Mungu hajashusha biblia na wala hajaandika biblia.