Balqior JF-Expert Member Jun 8, 2021 1,709 5,697 Sep 19, 2023 #1 Nimeona likitumika mahali kadha wa kadha, asili ya ili neno bosheni ni nini? Na maana yake ni nini?
Offshore Seamen JF-Expert Member Mar 9, 2018 4,957 12,551 Sep 19, 2023 #3 Bosheni ni kitu fake Ila kuna bosheni, jamaa ya Yake Nyandu Tozee
Hyrax JF-Expert Member May 20, 2023 604 1,534 Sep 19, 2023 #4 Balqior said: Nimeona likitumika mahali kadha wa kadha, asili ya ili neno bosheni ni nini? Na maana yake ni nini? Click to expand... utajua mwenyewe
Balqior said: Nimeona likitumika mahali kadha wa kadha, asili ya ili neno bosheni ni nini? Na maana yake ni nini? Click to expand... utajua mwenyewe
Accumen Mo JF-Expert Member May 15, 2022 15,026 32,718 Sep 19, 2023 #5 Mbona neno la kawaida sana haswa mikoa ya pwani. Sisi bosheni ni kitu kama hakina uhalisi, kitu fake ...Mfano viatu vya special vile vya mabox sio og tunaita bosheni .. Bosheni na geresha yanafanana kwa mbali .... yaani yanamaanisha kitu kipo pale ila sio halisia na hakina ubora ,yanatumika kweny mazingira tofauti.
Mbona neno la kawaida sana haswa mikoa ya pwani. Sisi bosheni ni kitu kama hakina uhalisi, kitu fake ...Mfano viatu vya special vile vya mabox sio og tunaita bosheni .. Bosheni na geresha yanafanana kwa mbali .... yaani yanamaanisha kitu kipo pale ila sio halisia na hakina ubora ,yanatumika kweny mazingira tofauti.
Maleven JF-Expert Member Sep 8, 2019 624 2,774 Sep 19, 2023 #6 Bosheni unaweza sema kitu feki lakini bado sio maana sahihi, boshen ni kitu kinachoundwa kianane na kitu halisia, kwa lengo maalum, Kingereza kizuiri cha bosheni ni decoy au dummy. Mfano unaweza sema. Wa Ukraine walipiga bosheni ya submarine ya Russia.
Bosheni unaweza sema kitu feki lakini bado sio maana sahihi, boshen ni kitu kinachoundwa kianane na kitu halisia, kwa lengo maalum, Kingereza kizuiri cha bosheni ni decoy au dummy. Mfano unaweza sema. Wa Ukraine walipiga bosheni ya submarine ya Russia.
SYLLOGIST! JF-Expert Member Dec 28, 2007 7,101 6,707 Sep 19, 2023 #7 FaizaFoxy Bosheni? #Nimekumaindinleo