Blog ya kiswahili ni rahisi lazima niifungue

djwakibajaji

Member
Mar 2, 2023
22
17
Mambo vipi bloggers
Kwa miaka kadhaa nimekuwa na blogs ninazoziandikia kimombo, sasa najikuta natamani kumiliki blog ya kiswahili.

Lengo langu nipate visitors 2M kwa mwezi kupitia SEO mana bongo competition ni ndogo

Swali ni je mnapataje mpunga kupitia hizi blog za kiswahili
 
Dah haya mambo nayataman kweli maana nina Computer kali yenye uwezo na bundle la kumwaga WiFi ila sielewi hata nije na content gani..mwenye ako na idea wapi nianzie na mimi nisife kabla sijala hela za online..

Note:uwezo wa kununua camera nzuri ninao..msaada ni wazo yaani sina wazo la kimtandao zaidi ya kujiachia jf
 
Angalia ni kitu gani unachopenda sana kukifatilia mtandaoni, afu icho kitu kifanye wewe watu wakifatilie.

Embu oredhesha vitu unavopenda sana kuvitembelea, au ambavyo uko interested navyo afu nikupe Idea kutokana na ivyo vitu
 
Tiba kupitia lishe
Cartoon hasa Tom and jerry na popped
Video za wasichana wakitwerk
Video za ndege kwenye kiota wakilishwa
Tuseme tu Video zote za maajabu ya viumbe duniani

Pia na war footage
Na mwisho Video za kuonyesha karma let's say robberies wanapigwa risasi au wamefail kuiba
 
Andaaa content za Maudhui ya lishe, watu wengi sana wanafatilia maswalaa ya lishe.

Channel zinazofanya izo content naona ziinakimbiza sana, sema uwe na consistency na production nzuri ili watu washawishike kukufatilia.
 
Dah haya mambo nayataman kweli maana nina Computer kali yenye uwezo na bundle la kumwaga WiFi ila sielewi hata nije na content gani..mwenye ako na idea wapi nianzie na mimi nisife kabla sijala hela za online..

Note:uwezo wa kununua camera nzuri ninao..msaada ni wazo yaani sina wazo la kimtandao zaidi ya kujiachia jf
Nenda beach andika makala weka na video watu wakila bata
 
Dah haya mambo nayataman kweli maana nina Computer kali yenye uwezo na bundle la kumwaga WiFi ila sielewi hata nije na content gani..mwenye ako na idea wapi nianzie na mimi nisife kabla sijala hela za online..

Note:uwezo wa kununua camera nzuri ninao..msaada ni wazo yaani sina wazo la kimtandao zaidi ya kujiachia jf
Naimani umepata mwanga teyari
 
Angalia ni kitu gani unachopenda sana kukifatilia mtandaoni, afu icho kitu kifanye wewe watu wakifatilie.

Embu oredhesha vitu unavopenda sana kuvitembelea, au ambavyo uko interested navyo afu nikupe Idea kutokana na ivyo vitu
Nikiwasha Data katika Simu yangu first of all naanza Kufuatilia Blog maarufu za Kiswahili na Kiingereza na kiukweli nakua interested sana na baadhi ya uandishi unanipa motivation na kutaka nije na content Zingine tofauti Japo Style ya Ku-Delive ni hio hio
 
Back
Top Bottom