kiswahili

  1. Faana

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mkalimani wa Movie kwa Kiswahili kwenye Mabasi

    Hivi hakuna mamlaka inayosimamia na kuchuja kiasi cha uongo kilichomo kwenye movie ya kiingereza zinazotafsiriwa kwa Kiswahili humo kwenye mabasi nimemsikia akisema? My pleasure = hamna shida Let us go = nenda nyumbani How! = Wapi sasa
  2. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Tanzania Kuwasilisha Ombi CAF Matangazo ya Kiswahili

    TANZANIA KUWASILISHA OMBI CAF MATANGAZO YA KISWAHILI Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro amesema Serikali ya Tanzania kwa kushirikiana na Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) inatarajia kuwasilisha ombi la kurusha matangazo ya mechi zitakazochezwa katika...
  3. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Makosa ya kuunganisha maneno katika lugha ya kiswahili

    Kuna makosa mengi yanajitokeza katika uandishi ambayo ni makosa ya kuunganisha maneno kana kwamba ni neno moja ilhali ni maneno mawili tofauti na yenye uamilifu tofauti. Mfano wa maneno hayo ni kama; Nakadhalika badala ya Na kadhalika. Halikadhalika badala ya Hali kadhalika. Kwanini badala ya...
  4. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Waziri Dkt. Ndumbaro: Mikutano ya Kimataifa Inayofanyika Nchini ni Fursa Kukuza Kiswahili

    WAZIRI DKT. NDUMBARO: MIKUTANO YA KIMATAIFA INAYOFANYIKA NCHINI NI FURSA YA KUTANGAZA KISWAHILI Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro amesema mikutano ya Kimataifa inayofanyika hapa nchini ni fursa ya kutangaza lugha adhimu ya Kiswahili ambayo ni mojawapo ya Lugha Rasmi...
  5. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Zifahamu zaidi sababu za utata katika lugha ya kiswahili

    Utata (Ambiguity) ni hali ya neno au sentensi kuwa na maana zaidi ya moja. Mfano; Kima, kombe, meza, zama, barabara, kanda na katika sentensi "kaka zangu wote wana wake". SABABU ZA UTATA (i) Neno kuwa na maana zaidi ya moja mfano; Mbuzi, paa, tupa, pasi, Mswahili n.k. (ii) Kutozingatia alama...
  6. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Makosa yatokanayo na tafsiri ya moja kwa moja (SISISI) katika Lugha ya Kiswahili

    Tafsiri sisisi [ Literal translation] Hii ni aina ya tafsiri ambayo maneno hufasiriwa yakiwa pweke pweke kwa kuzingatia maana za msingi katika lugha chanzi bila kujali sana muktadha (Mwansoko na wenzake 2006).
  7. Artifact Collector

    JamiiForums Tanzania Surat al jini iliyotafsiriwa kiswahili

    Hivi kuna surat al jin iliyotafsiriwa kiswahili mwenye nayo aitume huku kama pdf ili nasisi tuweke kuya-control hayo majini mazuri
  8. djwakibajaji

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Blog ya kiswahili ni rahisi lazima niifungue

    Mambo vipi bloggers Kwa miaka kadhaa nimekuwa na blogs ninazoziandikia kimombo, sasa najikuta natamani kumiliki blog ya kiswahili. Lengo langu nipate visitors 2M kwa mwezi kupitia SEO mana bongo competition ni ndogo Swali ni je mnapataje mpunga kupitia hizi blog za kiswahili
  9. Kiplayer

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Movies za kizungu, kichina, kihindi, kifilipino zilizowekwa kiswahili ni mizinguo

    Binafsi huwa nikikutana na movi za aina hii basi natafuta njia nyingine kuzikwepa. Walioweka kiswahili wananogesha hadi wanaharibu. Angalau waweke subtitles.
  10. LIKUD

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sho Madjozi: Msanii kutoka South Africa anae zungumza kiswahili kwa ufasaha

    Am so proud of my language Kiswahili. We must promote kiswahili . Kiswahili the language of Africa.
  11. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wajuvi wa kiswahili, maana ya neno "bosheni" ni nini?

    Nimeona likitumika mahali kadha wa kadha, asili ya ili neno bosheni ni nini? Na maana yake ni nini?
  12. Mbute na chai

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kiswahili cha bbc baada ya Zuhura Yunus & Salim Kikeke kuondoka

    Kwa anaye kielewa anijuze. Wakenya wanaharibu sana lugha yetu. Kurasa za mitandao ya kijamii ya bbc imegubikwa na Kishwahili kibaya sana(kisicho fasaha). Ili nalo likatazamwe!
  13. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada kupata hii tamthilia ya Kiswahili

    Wakubwa nakuja tena kwenu kwa mara ya nne,naomba mtu anayejua mahala nakoweza kupata tamthiliya ya SIRI YA MTUNGI ikiwa imekamilika. Youtube kuna episodes chache tu.
  14. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Lugha ya Kiswahili kufundishwa Chuo Kikuu Cha Havana Nchini Cuba

    Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Jamhuri ya Cuba zimesaini Hati za Makubaliano ya kushirikiana katika sekta ya elimu ya juu kwa kubadilishana wakufunzi na wanafunzi, kufundisha lugha ya kiswahili katika Chuo Kikuu cha Havana nchini Cuba pamoja na kutengeneza kamusi ya...
  15. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Utani wa Rais Samia na Ruto kuhusu lugha ya Kiswahili na Kingereza

    Wakiwa kwenye Mkutano mkubwa wa Jukwaa la Mifumo ya Chakula Afrika (AGRF), Rais Samia wa Tanzania na Rais William Ruto wa Kenya walitaniana kuhusu Matumizi Sahihi ya Lugha za Kiswahili na Kingereza Swali la Utani: Kati ya Kenya na Tanzania, wapi Kingereza kinazungumzwa kwa ufasaha?
  16. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Chunya: Sugu apeleka Mkataba wa Bandari kwa Wananchi, awasomea kwa Kiingereza na kutafsiri kwa Kiswahili

    Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema, Mfanyabiashara na Mwekezaji wa Kimataifa, mbunge wa zamani wa Mbeya Mjini , Bilionea Joseph Mbilinyi, jioni ya leo alikuwa Wilayani Chunya, akiwaelimisha wananchi kuhusu Umuhimu wa Katiba Mpya na Ubovu wa Mkataba wa Bandari. Hapa ni Kata ya Makongorosi, ambapo...
  17. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kuna Mtanzania natamani kujua kama Kiingereza chake cha Kuongea ni Kizuri kama kile anachokisoma kwa Kujiamini na Mikogo kwa Kuandikiwa?

    Ngoja nitafute sasa Video Clips zake nione akiwa na Wazungu (Wenye Lugha yao hii ya Kiingereza) huongea nao kwa Kujiamini na Mikogo aliyonayo kama akiwa anasoma katika Karatasi kwa Kuandikiwa na huenda wanaoijua hiyo Lugha (Kiingereza) zaidi yake. Binafsi nijiweke tu Wazi kuwa sijui Kiingereza...
  18. Makanyaga

    JamiiForums Tanzania Maneno na majina ya Kiswahili yenye herufi zinazofanana

    Haya hapa ni majina ya Kiswahili ambayo herufi zake zote zinaumda maneno ya Kiswahili pia NAOMI----MAONI AMINA----AMANI Tafadhalli ongeza maneno au majina mengine ya aina hii angalau mawili
  19. HEARTZ

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya kufundisha masomo ya History na Kiingereza

    Nimefanikiwa kupata Bachelor of Education, hivyo basi kwa yeyote mwenye uhitaji au connection itakayoniwezesha kupata kazi ya kufundisha au inayoendana na taaluma yangu. Naomba kutanguliza shukrani.
  20. L

    JamiiForums Tanzania Kitabu cha Rais Xi Jinping kuhusu “Utawala wa China” toleo la lugha ya Kiswahili chatolewa

    Kitabu cha Rais Xi Jinping chenye jina la “The Governance of China” toleo la Kiswahili, kimetolewa kwa wasomaji kwenye hafla fupi iliyofanyika Agosti 14 mjini Nairobi. Hii ni juzuu ya kwanza ya mfululizo wa juzuu nne, kikiwa na mkusanyiko wa hotuba na maagizo mbalimbali ya Rais Xi Jinping katika...
Back
Top Bottom