Lakini kiswahili cha Tanzania hua vipi?
Kuna maneno hutumiwa pale hata ujaribu kutafuta maana kwenye internet huwezi pata. Kama mnabuni maneno basi pia muweka maana pale kwa internet tujue maana yake. Kuna maneno mengi natafuta maana lakini sipati kamwe🤷🏽♂️.
Ingekuwa nafuu hata tukisema 'Boni maro'. Yaani ndo UBOHO?! hivi aliyepitisha hili neno alikuwa mswahili kweli?
Jamani Uboho inatia ukakasi kutamka. Ni nani mwenye mamlaka atuangalizie jina mbadala?
Nilikuwa nasikiliza clip ya ya mwaka jana (Jul) ya Afisa mafao wa mkoa wa Mwanza (James Oigo)
akielezea ukokotoaji mpya wa mafao ya mstaafu na pension (33%).
Akatolea mfano kwa Mstaafu aliyekuwa na mshara wa shs milioni mbili (2000,000) kwa mwezi; Akasema ataishia kulipwa shs Milioni 30...
Matumizi sahihi ya maneno haya kwa kweli huwa yananitatiza sana? Huwa napata shida sana kujua ni wakati gani wa kutumia kwa mfano neno "Kwenye " au wa kutumia neno "Katika" kwenye kuongea au kuandika
Hebu wajuvi wa Lugha hii tupeni wengine darasa tuelewe jinsi ya kuyatumia maneno haya kwa usahihi!
UWEPO WA VITABU NA MAKALA KWA LUGHA YA KISWAHILI NA ONGEZEKO LA MAKTABA KATIKA KUKUZA MAENDELEO
Elimu ni ufunguo wa maisha ni kauli ambayo wote tumezoea kuisikia, ila unajua asilimia kubwa ya elimu inapatikana kwenye vitabu. Vitabu hubeba historia na mitazamo mbali mbali ya watu ulimwenguni...
nkukumbuka 2006 ndo naanza darasa la awali huku kati yetu wengi tukiwa hatujui kabisa kiswahili yaani zaidi ya ndiyo, hapana, naomba,
mpaka nafika darasa la pili nilikuwa napata sana shida maana nilikuwa nakubalika na vitoto vya kike vya walimu maana nilikuwa mtu wa hadithi nyingi ambazo...
Unapofungua kamusi ya kiingereza neno la kwanza kukutana nalo ni "Aardvark." Mnyama huyo ni huyu hapa chini na anapatikana Afrika yote kusini mwa jangwa la Sahara. Kwa kiswahili anaitwaje? Analiwa?
IDHAA YA KISWAHILI YA BBC 1991
Nimetanguliza picha ya Chama Omari Matata ambayo nimeipata kwenye Dira ya Dunia siku chache zilizopita.
Ilikuwa kwenye kipindi cha Dira ya Dunia ambacho Salim Kikeke alituaga wasikilizaji wake kuwa anaondoka BBC baada ya utumishi wa miaka 20.
Nilimjua Chama...
Napenda kuwashauri ndugu zangu Watanzania kujifunza Kiswahili kwa bidii na azma thabiti. Ingawa Kiswahili ni lugha yetu ya asili, ina faida nyingi ambazo hazipaswi kupuuzwa.
Kwanza kabisa, Kiswahili ni lugha inayotumiwa sana katika nyanja mbalimbali kama vile biashara, utalii na utamaduni. Kwa...
Je, kupitia hii taaluma ya Kiswahili na kingereza, nawezaje Kupata Kipato?
Hasa Kupata Kipato kupitia lugha yetu ya Kiswahili.
Najua ntapata msaada hapa JF panapo Majaliwa.
Mtu anayefanya kazi ya Mahakama ya kunyonga watu,anaitwa vipi? Jina lake limenitoka. Najiuliza miaka kumi sasa. (Kiswahili anaitwa vipi)." The hangman",siyo "assassin", just the hangman,anaitwa vipi Kiswahili?
Naona tafsiri hapa;"mchinjaji","mnyongaji". Certainly ni "mchinjaji" na...
Kiswahili kinakuwa sana na Tanzania tunapata heshima sana kwa lugha yetu hii. Hii naina maana tusifundishe watoto wetu kiingereza-English kuanzia darasa la kwanza. Inasikitisha sana viongozi wetu wana aminisha kwamba hakuna umuhimu wa kujua kufundisha English kwa elimu ya msingi wakati watoto...
Ni ukweli usiopingika kwamba dunia nzima inatambua lugha ya Kiswahili ina unasaba mkubwa na Tanzania. Kwa tafsiri fupi ni kwamba Tanzania tunaweza kuiita ardhi ya Kiswahili.
Sasa nataka niongee kidogo kuhusu lugha hii adhimu na wizara yenye dhamana ya lugha hii kwamba lazima itumie mbinu...
Rais mstaafu wa Msumbiji, Joachim Chissano amesema utoaji wa Tuzo ya Taifa ya Mwalimu Nyerere ya Uandishi Bunifu, ni matokeo ya juhudi za Rais Samia Suluhu Hassan kuthamini, kukuza na kuendeleza Lugha ya Kiswahili nchini.
Alitoa kauli hiyo akiwa mkoani Dares Salaam alipokuwa mgeni katika hafla...
Kwenye vyombo vya habari viongozi mbalimbali wamekua wakisifia kiswahili yakua sasa kinafundishwa nchi za mbalimbali marekani hata uchina.
Ona hapa kwenye tangazo la ajira la tamisemi kiingereza ndo kimepewa kipaumbele kiswahili hata kidogo
Hatimae chaneli za Kiswahili zaanza kupatikana katika king'amuzi cha Canal+ ambacho pia kinarusha mechi mbalimbali za soka za ulaya kwa lugha ya kifaransa.
King'amuzi hiko ambacho kinapatikana kwa connection hapa Tanzania, kimetokea kujizolea umaarufu mkubwa kwa wapenda kandanda.
Wikiendi iliyopita yaani tarehe 18 na 19 Machi, lilifanyika Kongamano kubwa visiwani Zanzibar nchini Tanzania ambalo limeshirikisha vyombo vya habari vya ndani na nje ya nchi vinavyotangaza kwa lugha ya Kiswahili.
Kongamano hilo lililofanyika kwenye ukumbi wa Sheikh Idriss Abdul-Wakil...
Unamuuliza Mwanamke au Mpenzi wako kuwa unapoenda Kumbandua au anapokuja Kubanduliwa Kwako angependa 'Umuweke' Bao / Goli ngapi anakushangaa au anaanza kuona aibu.
Wengine akina GENTAMYCINE tumetoka si tu Kanda ya Ziwa bali pia tumetoka Kanda Maalum Mkoa wa Wanaume wa Shoka wa Mara (Musoma)...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.