kiswahili

  1. Victor Mlaki

    Mhadhara wa Uprofesa: Machungu ya MV Bukoba, Dola na soko

    Katika tukio la kipekee ambalo linakipa Kiswahili nafasi iliyopokwa siku nyingi ni tukio la muhadhara wa uprofesa kuendeshwa Kwa lugha ya Kiswahili. Mchango mkubwa wa Profesa Mkandala katika hili siyo jambo dogo. Ni dhahiri kuwa ana mchango mkubwa yeye binafsi na kupitia historia yake ya...
  2. Mstahiki Mea

    SoC04 Tanzania inavyoweza kunufaika na Lugha ya Kiswahili kama raslimali nyingine

    Katika makala hii tutajadili jinsi ya kukufanya kiswahili kuwa bidhaa, jinsi ya kukufanya kuwa na mashiko kiuchumi, mbinu mpya ya kukiendeleza na kuwavutia zaidi wazungumzaji na jinsi tunavyoweza kunufaika na Lugha hii katika muktadha wa kiuchumi. Ubidhaishaji wa lugha ya kiswahili tunaweza...
  3. UMUGHAKA

    Watanzania tujifunze Kiswahili tuache ujanja ujanja!

    Nsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane! Nimekuwa nikishangazwa na maneno haya mawili (2) ambayo yamekuwa yakitumika sana na jamii mbalimbali ya watanzania!. Maneno hayo ni :- 1.Uzuri 2.Urembo Haya ni maneno mawili tofauti,lakini watanzania wengi wamekuwa wakidhani ni neno moja...
  4. Kitotole

    Wimbo: Cavalier solitaire mwimbaji: JB Mpiana ft Papa Wemba tafsiri: Sule Mkandarasi

    𝙒𝙄𝙈𝘽𝙊 : Cavalier Solitaire 𝙈𝙒𝙄𝙈𝘽𝘼𝙅𝙄 : J.B MPIANA ft PAPA WEMBA 𝙏𝘼𝙁𝙎𝙄𝙍𝙄: 𝙎𝙐𝙇𝙀 𝙈𝙆𝘼𝙉𝘿𝘼𝙍𝘼𝙎 𝙒𝙖𝙨𝙬𝙖𝙝𝙞𝙡𝙞 𝙬𝙖𝙣𝙖𝙨𝙚𝙢𝙖 "𝙐𝙢𝙗𝙖𝙡𝙞 𝙣𝙞 𝙨𝙬𝙖𝙡𝙖 𝙙𝙤𝙜𝙤 𝙨𝙖𝙣𝙖 𝙠𝙬𝙖 𝙬𝙖𝙬𝙞𝙡𝙞 𝙬𝙖𝙣𝙖𝙤𝙥𝙚𝙣𝙙𝙖𝙣𝙖" 𝙃𝙞𝙞 𝙞𝙣𝙖𝙢𝙖𝙖𝙣𝙖 𝙮𝙖 𝙠𝙬𝙖𝙢𝙗𝙖 𝙞𝙠𝙞𝙬𝙖 𝙬𝙖𝙬𝙞𝙡𝙞 𝙬𝙖𝙣𝙖𝙥𝙚𝙣𝙙𝙖𝙣𝙖 𝙠𝙬𝙖 𝙙𝙝𝙖𝙩𝙞 𝙗𝙖𝙨𝙞 𝙝𝙖𝙬𝙖𝙩𝙤𝙬𝙚𝙯𝙖 𝙠𝙪𝙩𝙚𝙣𝙜𝙖𝙣𝙖 𝙠𝙪𝙩𝙤𝙠𝙖𝙣𝙖 𝙣𝙖 𝙨𝙖𝙗𝙖𝙗𝙪 𝙮𝙖 𝙠𝙪𝙞𝙨𝙝𝙞 𝙢𝙗𝙖𝙡𝙞 𝙢𝙗𝙖𝙡𝙞...
  5. KENZY

    Tujuzane maneno sahihi ya Kiswahili...

    Mada hii itakuwa ni mada maalum ya kujulishana usahihi wa maneno yakiswahili,sanasana uandishi wa maneno hayo au maana n.k Yapo maneno yanayotutatiza ama katika uandishi au matumizi yake,hapa pawe uwanja wakuchambua,kurekebisha nakuelimishana juu ya maneno hayo. Nikianza namimi binafsi maneno...
  6. L

    Natafuta shule ya msingi ya bweni ya binafsi inayotumia mtaala wa Kiswahili

    Naombeni msaada kwa anaefahamu shule ya msingi ya binafsi inayotumia Kiswahili. Nitafurahi nikioata mawasiliano ya shule husika. Natanguliza shukrani.
  7. Stephano Mgendanyi

    Serikali Imeahidi Kufanya Jitihada za Kuhakikisha Mtandao wa Google Unakuwa na Tafsiri Sahihi na Sanifu kwa Lugha ya Kiswahili

    Serikali Imeahidi Kufanya Jitihada za Kuhakikisha Mtandao wa Google Unakuwa na Tafsiri Sahihi na Sanifu kwa Lugha ya Kiswahili "Lugha ya Kiswahili kwa sasa ni Lugha rasmi katika Jumuiya ya Afrika Mashariki(EAC), Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) na Umoja wa Afrika (AU). Kila tarehe...
  8. GENTAMYCINE

    Tafadhali mwenye Ktabu chochote au Chapisho lolote la Kumfundisha Mtu vyema Lugha ya Kiswahili aniwekee hapa ili 'Nikidanlodi' haraka sana

    Huyu Mrembo wa Kinyankole hapa Uganda sitaki nimkose na anapenda sana Kujua Kiswahili hivyo nisaidieni nisimkose.
  9. DeepPond

    Maana ya baadhi ya maneno ya kiingereza

    Hii misamiati yenu huwa mnaibuni kutoka wapi aisee 1. Charger – kimemeshi 2. Appetizers –vihamuzi 3. Simcard – kadiwia/mkamimo 4. Memory card –kadi sakima 5. Business card – kadikazi 6. Microwave –tanuri miale 7. Cocktail party – tafrija mchapalo 8. Lift – kambarau 9. Toothpick – kimbaka 10...
  10. Arnold Kalikawe

    Watu wengi wa Pwani hawajui kuzungumza kiswahili Fasaha

    Licha ya kiswahili kuzaliwa katika pwana ya Afrika mashariki, na kuzungumzwa zaidi Tanzania kuliko Mataifa yote. Kiswahili fasaha bado ni changamoto katika ukanda wa pwana ya Tanzania na visiwa vya Zanzibar. Leo katika harakati zangu za pimbi katika mkoa wa pwani, nikapita katika duka moja la...
  11. Pascal Mayalla

    Katika Kukuza Lugha Yetu Adhimu ya Kiswahili Kimataifa, Mnaonaje Rais Samia, Atumie Kiswahili, Kulihutubia Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa?

    Wanabodi, Leo nimetembelea kurasa fulani za website ya UN, nikakutana na neno fulani la Kiswahili kwenye moja ya program za UN, neno Hii inaonyesha Kiswahili kinazidi ku gain momentum. Neno hilo linatumika kwenye program ya usajili ya UN. Niliwahi kuandika Usiyoyajua Kuhusu Samia UN: Kumbe...
  12. Yoda

    Kuhemea, Kujumua na Kuingiliwa ni misamiati sahihi ya Kiswahili?

    Wataalamu wa Kiswahili, haya ni maneno au misamiati sahihi ya lugha ya Kiswahili? " Kujumua" kwa maana ya kununua vitu kwa jumla. Huu msamiati unatumika sana Iringa, Njombe na Mbeya. "Kuingiliwa" kwa maana ya kupunjwa pesa unayostahili au kulipa pesa zaidi ya unavyostahili. Huu msamiati...
  13. Lycaon pictus

    Audiobooks za kiswahili. Safari ya Bulicheka na mkewe

    Safari ya Bulicheka na mkewe sehemu ya kwanza.
  14. S

    Namba prison break season zote iliyotafsiriwa kwa kiswahili

    Mwenye prison break iliyotafsiriwa kwa kiswahili naomba Niko dar nakuja na flash yangu mkononi popote ulipo DAR ES SALAAM
  15. CONSISTENCY

    Serikali na Hatima ya Tamthilia za kigeni zilizo lugha ya Kiswahili kwa Kizazi Chetu

    Binafsi nasikitika kuona Tamthilia hizi za Kituruki, kihindi, kikorea, kichina, kiarabu n.k zilizotafsiriwa kwa lugha yetu ya Taifa kiswahili zinazooneshwa sana muda mwingi katika chanel zetu maarufu nchini hasa Azam kila nikiingia nyumbani, saloon, bar, hotel n.k. Serikali hasa Wizara ya sanaa...
  16. Robert Heriel Mtibeli

    Ni lini lugha za kikabila zitakuwa somo kama ilivyo kwa Kiarabu, Kiswahili, Kingereza na Kichina?

    Kwema Wakuu! Ni lini lugha mama zetu, nazungumzia lugha zetu za kikabila zitaingizwa kwenye mitaala kama moja ya masomo ya lugha kama ilivyo kichina, kingereza, kiswahili, kiarabu. Tunampango gani wa kuhifadhi lugha zetu za asili au elimu ya kigeni itafanikiwa kuzifuta Lugha zetu za asili...
  17. Trainee

    Ushauri na msaada; Je asomee kitu gani? Ana D kwa masomo yote kasoro Math's F na Kiswahili C

    Binti ana Four ya 28 (arts pure) sasa anataka kujua anachoweza kusomea >>>Ameambiwa aingie humu achague kozi zinazoendana na ufaulu wake>>> NIT DIT NACTE
  18. Technophilic Pool

    Baraza la Kiswahili nini kimewashinda kuweka Kamusi ya digitali hadi leo ikiwa ndio taifa tuliokishikiria Kiswahili?

    Nimekua nikipata tabu sana kujua maana ya maneno mengi ya kiswahili na nikisearch google siyapati napata mitandao ya nje kama wikipedia wakitafsiri ambayo mara nyingi siwaamini kulingana na aina na ufasaha wanaoandika. Kwanini Baraza la kiswahili mnashindwa kuweka KAMUSI YA KISWAHILI ONLINE...
  19. Chamoto

    Kumbukumbu: Soma la Kiswahili la Rais Ali Hassan Mwinyi

    Namkumbuka Rais Mwinyi kwa mengi, moja wapo ni pale alipoanzisha kipindi chake cha kiswahili RTD (Radio Tanzania Dar es salaam). Moja ya somo alilofundisha lilihusu tarakimu. Alisema, "katika tarakimu za kiswahili, kuna baadhi zina maneno yenye asili ya kibantu na nyingine kiarabu. Tofauti na...
  20. Jimena

    Fursa ya kwenda kufundisha Kiswahili Marekani

    Habari wana jamvi, Serikali ya Marekani kwa mara nyingine tena imetoa fursa kwa watanzania kwenda kufundisha lugha ya kiswahili nchini Marekani kwa kipindi cha mwaka mmoja, ukipata nafasi hii basi utaenda kufundisha katika chuo kikuu, Hii ni njia nzuri kwa wale wanaopenda kutoka nje ya...
Back
Top Bottom