First Gentleman anaitwaje kwa Kiswahili?

Simchezo

JF-Expert Member
Apr 10, 2012
445
345
Rais akiwa mwanamke, mume wake Waingereza wanamwita " First Gentleman" Kwa lugha yetu ya Kiswahili anaitwaje?
 
Raise akiwa mwanamke, mume wake Waingereza wanamwita " First Gentleman" Kwa lugha yetu ya Kiswahili anaitwaje?
Mume wa Taifa
"Mume wa Raisi"
1705568013308.png
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom