Mkalimani wa Movie kwa Kiswahili kwenye Mabasi

Faana

JF-Expert Member
Dec 12, 2011
31,881
33,319
Hivi hakuna mamlaka inayosimamia na kuchuja kiasi cha uongo kilichomo kwenye movie ya kiingereza zinazotafsiriwa kwa Kiswahili humo kwenye mabasi nimemsikia akisema?

My pleasure = hamna shida
Let us go = nenda nyumbani
How! = Wapi sasa
 
Una moyo aisee
Sijawahi weza kuangalia hizo movie 🙌😅
 
Sijui wala sijaangalia hio tafsiri ila kuna kitu kinaitwa context.....

Ukitafsiri word by word utakuwa unasound kama google - Hakuna vionjo; hence kama context inabaki sawa sometimes tafsiri inapendenza kuliko hata actual drama (jargon za huku na kule tofauti, msemo unaofurahisha kwa kingereza huenda kwa kiswahili ikawa kichekesho) Case in Point ; angalia hii dialogue kwenye one of my favourite movies Casablanca......

Ilsa: A franc for your thoughts.
Rick: In America they'd bring only a penny, and, huh, I guess that's about all they're worth.
Ilsa: Well, I'm willing to be overcharged. Tell me.
Rick: Well, I was wondering...
Ilsa: Yes?
Rick: Why I'm so lucky. Why I should find you waiting for me to come along.
Ilsa: Why there is no other man in my life?
Rick: Uh-huh.
Ilsa: That's easy: there was. And he's dead.
 
Hivi hakuna mamlaka inayosimamia na kuchuja kiasi cha uongo kilichomo kwenye movie ya kiingereza zinazotafsiriwa kwa Kiswahili humo kwenye mabasi nimemsikia akisema?

My pleasure = hamna shida
Let us go = nenda nyumbani
How! = Wapi sasa
lakini si wasikilizaji wanaona tafsiri inapishana na actions? au nimepotea
 
My pleasure = hamna shida
My pleasure" is an idiomatic response to “Thank you.” It is similar to "You're welcome," but more polite and more emphatic. Use it in formal conversation when someone thanks you for doing a favor, and you want to respond in a way that tells them that you were very happy to help and that you enjoyed it.
 
Kama umeweza kung'amua hizo movie zilivyo kichefuchefu mshukuru Mungu kwa kukupa ufahamu na upeo. Kuna watu akili zao zilipoishia ni kwenye hizi movie 🤣🤣🤣
 
Sijui wala sijaangalia hio tafsiri ila kuna kitu kinaitwa context.....

Ukitafsiri word by word utakuwa unasound kama google - Hakuna vionjo; hence kama context inabaki sawa sometimes tafsiri inapendenza kuliko hata actual drama (jargon za huku na kule tofauti, msemo unaofurahisha kwa kingereza huenda kwa kiswahili ikawa kichekesho) Case in Point ; angalia hii dialogue kwenye one of my favourite movies Casablanca......

Ilsa: A franc for your thoughts.
Rick: In America they'd bring only a penny, and, huh, I guess that's about all they're worth.
Ilsa: Well, I'm willing to be overcharged. Tell me.
Rick: Well, I was wondering...
Ilsa: Yes?
Rick: Why I'm so lucky. Why I should find you waiting for me to come along.
Ilsa: Why there is no other man in my life?
Rick: Uh-huh.
Ilsa: That's easy: there was. And he's dead.
Inaitwa localization. Ndio maana ndiyo maana katika Kiingereza kwa mfano tafsiri ya kiingereza cha mmarekani haiwezi kuwork kwa muaustralua au mwingereza. Kama ulivyosema kuna vitu kama misemo, methali haziwezi make sense because language is culture.
Mfano juzi nilipewa kazi ya kulocalize marketing and media content za UE kwa ajili ya project fulani Kenya, ilibidi nitafte mkenya maana kuna vitu as a Tanzania vingemiss mle.
 
My pleasure" is an idiomatic response to “Thank you.” It is similar to "You're welcome," but more polite and more emphatic. Use it in formal conversation when someone thanks you for doing a favor, and you want to respond in a way that tells them that you were very happy to help and that you enjoyed it.
Sijaona kama amekosea kusema hamna shida. We don't do word to word translation. Ukifanya hivyo context haiwez kumake sense at all.
Kama ulifuatilia saga la subtitles za Kiimgereza za Squid game, wakorea walikuwa wanalalamika kuwa subtitles za kiingereza zinapotosha mazungumzo ya ile series. But there was no way subtitlers wangefanya word to word ika make sense kwa english viewers maana language is culture.
 
Back
Top Bottom