kisheria

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Street Hustler

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Mkuu majukumu yake Kikatiba ni yapi? Wafahamu waliowahi kuwa Manaibu Waziri Wakuu nchini

    Jamani hili Taifa letu tunaendaje? Vyeo vinakuwa vingi Sana. Ina maana ofisi ya Waziri Mkuu imekuwa kubwa sana mpaka utendaji unakuwa Mdogo na kuamua kuiongeza nguvu kumpa msaidizi vipi? Vipi wizara zilizo chini yake? Ningependa kujua majukumu ya Naibu Waziri Mkuu yatakuwa yapi kwa mujibu wa...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Msaada wa Kisheria

    Jirani yangu alifungua kesi kuwa nimeingia kwenye shamba na kukata miti analodai ni lake ( ambalo nililinunua toka kwa mwanae aliyerithi kutoka kwa baba yake na huyo aliyenishitaki . Mahakama ikasema kwa vile kuna ubishani juu ya umiliki, Mahakama ikatoa amri kuwa aende mahakama ya ardhi itoe...
  3. ndiuka

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kisheria kwa wanawake

    Wakuu kuna mwanamke anahitaji msaada wa kisheria juu ya masuala ya talaka, je ni taasisi gan ya kisheria inayotoa msaada wa kisheria kwa wanawake ambayo ipo effective. Kimsingi mume kavunja ndoa mahakamani bila mke kua na taarifa kama mume kafungua kesi ya talaka, kesi imesikilizwa upande...
  4. I

    JamiiForums Tanzania Mkataba unaotambulika kisheria inabidi uwe na sifa gani?

    Habarini wadau, Ebana mimi nataka kuingia ubia na biashara flan ya mtu mwingine kama mwekezaji. Sasa makubaliano tiyari tunayo hivyo tupo kwenye hatua ya mkataba. Naomba kuuliza je mkataba huo inabidi uwe umepitiwa na kusainiwa na mtu mwingine yeyote kama mwanasheria au mtendaji wa eneo...
  5. Dalton elijah

    JamiiForums Tanzania Je serikali imebadili nembo ya taifa kimyakimya bila kufuata utaratibu wa Kikatiba na kisheria?

    Na Yericko Nyerere Rais wetu Samia anatumia hii nembo ya taifa gani katika nchi ya TANZANIA? Je watu wanaelewa kweli hatari ya jambo hili? Nani katwaa Urais wa Rais Samia? Tunamtaka aliye twaa Urais wa Samia aurejeshe haraka sana! Kwamjibu wa Sheria ya Nembo ya Taifa ya Mwaka 1971 na Katiba...
  6. Hismastersvoice

    JamiiForums Tanzania Kati ya Assad na Paskal nani anatakiwa amuunge mkono mwenzake kwenye jambo la kisheria?

    Kati ya Post zilizomo humu leo nimemuona Paskal akimuunga mkono Assad, Paskal ni mwanasheria mzuri Assad tunamfahamu kwa umahili wake kwenye mahesabu ya ndululu sijui kama naye ni mwanasheria. Leo Assad amejitokeza na kuelezea mambo ya kisheria kuhusu uwekezaji wa bandari na kuungwa mkono na...
  7. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Huduma ya msaada wa Kisheria kuwa endelevu

    Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Damas Ndumbaro amekutana na kufanya mazungumzo na Uongozi wa Mtandao wa Watoa Huduma ya Msaada wa Kisheria (TANLAP) na Menejimenti ya Legal Services Facility “LSF” jijini Dar es Salaam. Mhe.Ndumbaro amekutana kujadili masuala ya msaada wa kisheria na ufahamu wa...
  8. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Je, mtu akiandika comment mbovu mtandaoni akiwa amelewa, anawajibika kisheria?

    Mfano mtu akaweka comment ya kumdhalilisha Rais akiwa katika hali ya kulewa, anakuwa responsible au anakuwa exempt?, sheria inasemaje?
  9. Zakaria Maseke

    JamiiForums Tanzania Nani anaruhusiwa kisheria kusimamia kesi, kuandaa, kusaini na kuwasilisha nyaraka (documents) Mahakamani?

    Haya ni baadhi ya maswali ambayo utapata majibu yake kwa kusoma makala hii fupi. 1: Je, mtu ambaye sio Wakili anaruhusiwa kumuwakilisha (kumsimamia) au kumtetea mtu kwenye kesi Mahakamani? 2: Je, mtu ambaye sio Wakili anaweza kuandaa, kushuhudia na kusaini nyaraka (documents) za kisheria na...
  10. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Kampeni ya Rais Samia ya msaada wa kisheria kuleta usawa nchini

    Naibu Wakili Mkuu wa Serikali, Sarah Mwaipopo ameiwakilisha Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali (OWMS) kwenye uzinduzi wa Kampeni ya Mama Samia ya Msaada wa Kisheria iliyozinduliwa na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Philip Isdor Mpango mjini Songea yenye kauli Mbiu isemayo...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Upinzani unawavunja moyo Watanzania. Hili la bandari halitapita Bure bila kuleta ufa Kwa upinzani watanzania wakiujua ukweli wa adui yao wa maendeleo

    Wapinzani wanatumia ujinga wa watu kujieneza. Wanatambua nchi hii wenye uelewa wa mambo ni wachache na hao wachache wapo kimya Kwa sababu hawataki kuonekana ni wanasiasa. Kuhusu hili la bandari, ni uthibitisho tosha kundi la wasio na uelewa linaburuzwa na kukokotwa bila kujijua. Wanatumia mbinu...
  12. mtwa mkulu

    JamiiForums Tanzania Ninaomba nijibiwe, Waziri Mbarawa anao uhalali wa kushiriki maamuzi yanayoihusu bandari? (Kisheria)

    Nimefuatilia mjadala ulioandaliwa na serikali leo. Msemaji mmoja mwenye mlengo wa kiserikali alisema na naomba nimnukuu "Kasomeni katiba masuala ya viwanda na uwekezaji sio miongoni mwa mambo ya muungano" mwisho wa kumnukuu. Kauli hii inaonyesha dhahili ilivyo ngumu kwa mmatumbi kutoka...
  13. Chachu Ombara

    JamiiForums Tanzania Balozi Dkt. Slaa: Hoja za Jaji Feleshi kuhusu mkataba wa Bandari ni sawa hoja za mtoto wa darasa la saba

    Ingekuwa nchi zinazoheshimu taratibu na sheria, Serikali hii leo labda Rais tumsamehe, hatua zingechukuliwa kuwawajibisha baadhi ya watu. Sasa hilo linashindikana kwa sababu Rais mwenyewe amesaini. Katika miaka yangu 15 Bungeni sijawahi kuona Rais akitoa kitu kinachofanana na Power of Attorney...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Maeno "will" na "may" hayana maana sawa kisheria. Mwanasheria alipitiwa.

  15. Zanzibar-ASP

    JamiiForums Tanzania Makubaliano yaliyopitishwa bungeni ni makubwa kisheria kuliko mkataba wowote wa bandari utakaotengenezwa

    Kumekuwa na upotoshaji wa kimakusudi unaofanywa na spika, baadhi ya wabunge, viongozi wa serikali na wapiga debe wengine wa sakata la Bandari kupewa DP world. Wapiga debe hao wamekuwa wakisema kilichopitishwa bungeni ni makubaliano tu ya ushirikiano na sio mkataba, hivyo makubaliano hayo ni...
  16. ASadick

    JamiiForums Tanzania Nahitaji ushauri wa kisheria?

    Mke wangu alifariki baada ya kilio masheji zangu wamekatalia kwangu hawataki kuondoka kuwatoa kwa nguvu naambiwa sheria inanibana. Je, kisheria nahitajika kufanyaje waondoke? Matumizi yote ya kimsingi yanayoka kwangu.
  17. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu: Bandari imepewa DP-World kwa kuwa utendaji wa TICTS ni mdogo

    Akielezea suala linaloendelea kuhusu mkataba wa DP-World na Tanzania ametoa sababu kuwa ni utendaji kazi mdogo wa TICTS ambao umesababisha meli nyingi ziwe zinashushia mizigo Lamu, Mombasa au Afrika kusini hali ambayo imepunguza wateja wa Bandari ya Dar es salaam. Waziri Mkuu, Kassimu Majaliwa...
  18. U

    JamiiForums Tanzania Mkataba wa bandari: Tundu Lissu asema una "utukufu wa kikatiba". Kuhusu bandari, mkataba huu ndiyo sheria! Afafanua namna unavyoweza kuvunjwa

    Ni kwenye PC yake ya juzi kwa vyombo vya habari alipokuwa akijibu maswali ya waandishi wa habari.. Wasio na bundle, hizi hapa 👇👇👇ni baadhi ya quotes za kauli zake • "Haya makubaliano ndiyo mkataba. Kwa jinsi mkataba huu ulivyo haurekebishiki na ukabaki", Tundu Lissu • "Kwa jinsi mkataba huu...
  19. Mwesiga frolian

    JamiiForums Tanzania SoC03 Zijue taratibu za kisheria katika kudai malipo kutoka kwenye kampuni ya bima baada ya kumpoteza ndugu kwenye ajali

    UTANGULIZI Tumekuwa tukishuhudia ajali nyingi nchini Tanzania zinazokea mara kwa mara ambapo kupitia ajali hizo wapendwa wetu huweza kupoteza maisha, wengine huweza kupata vilema vya kudumu. Jambo la kusikitisha wengi wetu hatuna elimu au uelewa wa kisheria kuhusu hatua zipi zichukuliwe na...
  20. H

    JamiiForums Tanzania Sababu (10) tata za kisheria uuzwaji wa Bandari ya Tanganyika

    UTANGULIZI: Bila kugusia maudhuni yalivyoandikwa, au kukosoa kilichoandikwa, nimeandaa sababu 10 tata za kisheria ambazo zinatambainisha kwa nini mkataba wa uuzaji wa Bandari ya Tanganyika ni batili na ni wa aibu kwa nchi ambayo inawasomi wengi wa sheria; Katika sheria za kimataifa za...
Back
Top Bottom