kisheria

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. President of China

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Uzinduzi wa kampeni ya msaada wa kisheria ya mama Samia - Singida, 10 Januari, 2024

    Kampeni hii ni mahususi kwaajili ya kuwafikia na kutoa msaada wa kisheria kwa Wananchi wote buree, Kampeni hii itahusisha utoaji wa Elimu ya kisheria na kusikiliza migogoro yote ya kisheria ikiwa ni pamoja na mirathi, ardhi, ndoa na usajili pamoja na utoaji wa vyeti vya kuzaliwa na mengineyo kwa...
  2. President of China

    JamiiForums Tanzania Kampeni ya Masaada wa Kisheria ya Mama Samia

    KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA YA MAMA SAMIA NI NINI? Kampeni ya Masaada wa Kisheria ya Mama Samia (Mama Samia Legal Aid Campaign #MSLAC ) imejikita katika kutoa elimu ya kisheria kwa wananchi hususan katika masuala ya ukatili wa kijinsia, migogoro ya ardhi, mirathi, usuluhishi wa migogoro kwa...
  3. President of China

    JamiiForums Tanzania Ni kwa namna gani wananchi wanaweza kupata msaada wa kisheria

    Nchi nyingi huwa na ofisi za huduma za kisheria zinazotoa msaada wa kisheria kwa wananchi wasio na uwezo wa kulipia huduma za mawakili binafsi. Huduma hizi zinaweza kujumuisha ushauri wa kisheria, usuluhishi wa migogoro, na hata uwakilishi kisheria kwa mahakamani. Kuna mashirika mengi ya...
  4. Reptilia

    JamiiForums Tanzania Wanaotunza pesa ndani wachukuliwe hatua za kisheria

    Moja kwa Moja kwenye mada rejea headline hapo juu. Kuna raia wanaweka pesa ndani kiwe kiasi kikubwa au kidogo inabidi serikali itengeneze kifungu cha kuweza kuwa bana hawa watu kwasababu wanapunguza mzunguko wa fedha mitaani. Ndiyo maana hali inaonekana kuwa ngumu kitaani, tukirejea pale...
  5. JITU BANDIA

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kisheria: Namna gani nita-file Shauri la kuomba tafsiri ya mahakama kuhusu mgawanyo halali wa Mali ya mirathi?

    Anaandika Nyemo.H Nyemo toka Facebook Habari za usiku huu, Naombeni msaada wa kisheria. Leo nimeingia kwa pilato! Iko hivi wakuu, mzazi wangu wa kiume (baba) alipofariki miaka kadhaa iliyopita nikiwa na miaka mitatu(3). Kulitokea kashkash za ndugu upande wa baba kutaka kumdhulumu nyumba...
  6. D

    JamiiForums Tanzania Mtu akiacha kazi bila sababu utumishi wa umma kisheria anastahiki alipwe mafao yake?

    Habari wanajamvi nilikua nauliza je mtu akiacha kazi utumishi wa umma bila sababu yoyote na kutoa taarifa anastahili kulipwa mafao yake
  7. M

    JamiiForums Tanzania Video: Zitto Kabwe akiunga mkono faragha za watu hata kama ni ushoga ulipigwa marufuku kisheria

    Zitto Kabwe akihojiwa na Edwin Odemba katika kipindi cha medani za siasa, amesema anaheshimu faragha za watu wote. Hii ni baada ya kuhojiwa kama yupo tayari kuitangazia dunia kuwa anaupinga ushoga. == Yaliyozungumzwa ktk video hiyo. Edwin Odemba alimuuliza Zitto Kabwe kama yupo tayari...
  8. endagulda

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hii kisheria ipoje? Simba haiwezi kutafuta tafsiri ya kisheria kwa Yanga kutumia Logo ya Simba kujinufaisha kibiashara?

  9. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Somo la Historia ya Tanzania na Maadili liwekewe sura maalumu kwenye katiba ili kulipa msisitizo wa kisheria

    Wasalaam, Taifa likiwa katika mchakato wa kuandaa sera ya mtaala mpya ya Elimu na mtaala huo kupendekeza kuwepo kwa Somo la Historia ya Tanzania na Maadili ni jambo jema kwa kizazi Cha Sasa na kijacho kulilinda Taifa dhidi ya mmomonyoko wa maadili. Huu ni mtazamo wangu juu ya uwepo wa Somo...
  10. Zakaria Maseke

    JamiiForums Tanzania Kufoji barua ya uteuzi wa kusimamia mirathi ni kosa kisheria na chochote utakachofanya kupitia hizo barua za kufoji ni batili

    Hii ni kwa mujibu wa uamuzi wa Mahakama Kuu kwenye kesi kati ya Juma Sylvester Mfumia dhidi ya Antony Adabu Mmasy, Rufaa ya Ardhi Namba 68 ya mwaka 2022, kesi ilisikikizwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Tanga (nitakwambia baadaye kwa nini nimeita uamuzi wa “Mahakama Kuu” wakati ilisikilizwa Mahakama...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Je, prem number ya wanafunzi darasa la pili kwenye shule ya English Medium ambayo bado haijakamilisha usajili zina kubalika kisheria?

    Watoto walikuwa wanasoma kwenye shule ya English Medium nikawapeleka kwenye shule ya kiswahili. Shule ya English Medium hawakunipa uhamisho kwa sababu walikuwa bado wananidao so nikawa nalipa deni lao taratibu ili nikikamilisha wajue prem number za watoto. Now Mungu ameniinua tena kiuchumi...
  12. N

    JamiiForums Tanzania Bima ya Afya kwa wafanyakazi wa viwandani iwe lazima kisheria

    Habari wana JF! Ndugu zangu nimefanya kazi katika baadhi ya viwanda mkoa wa Pwani nimegundua wapo Watanzania wanafanyakazi maeneo hatarishi sana. Ndugu zangu kama mnavyojua viwandani kuna kemikali na emissions nyingi mno. Ingawa kwenye sheria zetu kuna taratibu nyingi zimewekwa kwa ajili ya...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kisheria please

    Sasa ni miaka 62 tangu MORTGAGOR a- mortgage eneo lake la ardhi kwa mtu (mortgagee) kwa kiasi pesa ambaye ana miaka 44 amekufa . Mortgagor amekufa some 27 years back . Watoto wa Mortgagor leo 2023 wanadai eneo hilo. Watoto wote wako above 45 yrs..... Sheria inasemaje. je wanaweza kulikomboa...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Kamati ya Ulinzi na usalama wilaya na Mkoa ina mamlaka ya kisheria kugawa ardhi?

    Je, sheria ya ardhi kuna Sehemu inamtaka mkuu wa Mkoa au Wilaya na kamati zao za ulinzi na usalama wana mamlaka yakumilikisha watu ardhi? Je, kuna mjumbe wa kamati hizi ambaye ni mtaalam wa ardhi? Je, sheria inatamka kwamba migogoro ya ardhi itatatuliwa na hizo kamati za ulinzi na usalama au...
  15. Msanii

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya CAG, je jeshi la Polisi, TAKUKURU wanatimiza wajibu wao?

    Mdhibiti na mkaguzi wa fedha za umma amekuwa anatoa ripoti za ukaguzi wa matumizi na mapato ya serikali na matumizi ya serikali. Kila ripoti imejaa ushahidi tena wa kitaalam namna ambavyo fedha ya umma imetumika ama kuchezewa kupitia vote mbalimbali zilizopitishwa na Bunge. Jambo la kushangza...
  16. Jokia

    JamiiForums Tanzania Msaada wa Kisheria unahitajika tafadhari

    Habari zenu wakuu, Mnamo tarehe 09/07/2023 nilifanya muamala kutoka simu yangu kwenda kwenye kampuni moja ya michezo ya kubahatisha 'kubet'. Ni kampuni kubwa tu kwa hapa Tz. Hiyo fedha haikuingia kwenye akaunti yangu ambayo ipo kwenye hiyo kampuni. Nilifanya nao mawasiliano wakasema kuna...
  17. Annalito

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kisheria tafadhali

    Ninaomba msaada wenu wakuu. Kwenye makaburi ya kinondoni alipokua amelazwa marehemu mama yangu kuna kaburi la mtu mwingine na limejengelewa haswa. Nini nifanye nipate haki ya sehemu ya mama yangu? Mama yangu alifariki mwaka 2001 na hatujakuta hata msalaba. Na huyo waliyemzika amezikwa 2021.
  18. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Serikali imchukulie hatua kali za Kisheria huyu aliyemtesa Mtoto kwa staili hii

    Haijalishi hata kama atakuwa Mtoto ana makosa kiasi gani, hii sio namna sahihi ya kumuadhibu Mtoto. Tafadhali Waziri Dkt. Gwajima D tunataka kuona huyu aliyefanya hivi anafikishwa kwenye vyombo vya sheria Pia soma: Jeshi la Polisi linamsaka aliyemfanyia Mtoto Kitendo cha Ukatili na...
  19. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi lapiga marufuku Kamchape (Lambalamba), kuwasaka wote wanaohusika ili hatua za kisheria zichukuliwe dhidi yao

    / Hivi karibuni kumejitokeza wat wanajulikana kama Kamchape au Lambalamba wanaoendekeza imani potofu za kishirikina wakiidai wanao uwezo wa kufichua wachawi kitendo ambacho ni uhalifu.Watu hawa wameitokeza na kufanya uhalifu huo katika Mikoa ya Katavi, Kigoma, Rukwa na Songwe. Mbinu wanayotumia...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Je, JWTZ linaruhusiwa kisheria kufanya msako kwenye nyumba za watu Tanzania?

    Hivi karibuni kumekuwa na taarifa ya JWTZ kusema litafanya msako kwenye nyumba za wananchi kutafuta wenye mavazi yanayofanana na za kwako. JWTZ hawajasema kama kuna mali zao zilizoibwa, hivyo hizo wanazotaka kutafuta ni za nani? Kama kuna yanayomilikiwa na watu yanayofanana na za kwako, nani...
Back
Top Bottom