kisheria

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Zakaria Maseke

    JamiiForums Tanzania Nani anaruhusiwa kisheria kusimamia kesi, kuandaa, kusaini na kuwasilisha nyaraka (documents) Mahakamani?

    Haya ni baadhi ya maswali ambayo utapata majibu yake kwa kusoma makala hii fupi. 1: Je, mtu ambaye sio Wakili anaruhusiwa kumuwakilisha (kumsimamia) au kumtetea mtu kwenye kesi Mahakamani? 2: Je, mtu ambaye sio Wakili anaweza kuandaa, kushuhudia na kusaini nyaraka (documents) za kisheria na...
  2. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Kampeni ya Rais Samia ya msaada wa kisheria kuleta usawa nchini

    Naibu Wakili Mkuu wa Serikali, Sarah Mwaipopo ameiwakilisha Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali (OWMS) kwenye uzinduzi wa Kampeni ya Mama Samia ya Msaada wa Kisheria iliyozinduliwa na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Philip Isdor Mpango mjini Songea yenye kauli Mbiu isemayo...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Upinzani unawavunja moyo Watanzania. Hili la bandari halitapita Bure bila kuleta ufa Kwa upinzani watanzania wakiujua ukweli wa adui yao wa maendeleo

    Wapinzani wanatumia ujinga wa watu kujieneza. Wanatambua nchi hii wenye uelewa wa mambo ni wachache na hao wachache wapo kimya Kwa sababu hawataki kuonekana ni wanasiasa. Kuhusu hili la bandari, ni uthibitisho tosha kundi la wasio na uelewa linaburuzwa na kukokotwa bila kujijua. Wanatumia mbinu...
  4. mtwa mkulu

    JamiiForums Tanzania Ninaomba nijibiwe, Waziri Mbarawa anao uhalali wa kushiriki maamuzi yanayoihusu bandari? (Kisheria)

    Nimefuatilia mjadala ulioandaliwa na serikali leo. Msemaji mmoja mwenye mlengo wa kiserikali alisema na naomba nimnukuu "Kasomeni katiba masuala ya viwanda na uwekezaji sio miongoni mwa mambo ya muungano" mwisho wa kumnukuu. Kauli hii inaonyesha dhahili ilivyo ngumu kwa mmatumbi kutoka...
  5. Chachu Ombara

    JamiiForums Tanzania Balozi Dkt. Slaa: Hoja za Jaji Feleshi kuhusu mkataba wa Bandari ni sawa hoja za mtoto wa darasa la saba

    Ingekuwa nchi zinazoheshimu taratibu na sheria, Serikali hii leo labda Rais tumsamehe, hatua zingechukuliwa kuwawajibisha baadhi ya watu. Sasa hilo linashindikana kwa sababu Rais mwenyewe amesaini. Katika miaka yangu 15 Bungeni sijawahi kuona Rais akitoa kitu kinachofanana na Power of Attorney...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Maeno "will" na "may" hayana maana sawa kisheria. Mwanasheria alipitiwa.

  7. Zanzibar-ASP

    JamiiForums Tanzania Makubaliano yaliyopitishwa bungeni ni makubwa kisheria kuliko mkataba wowote wa bandari utakaotengenezwa

    Kumekuwa na upotoshaji wa kimakusudi unaofanywa na spika, baadhi ya wabunge, viongozi wa serikali na wapiga debe wengine wa sakata la Bandari kupewa DP world. Wapiga debe hao wamekuwa wakisema kilichopitishwa bungeni ni makubaliano tu ya ushirikiano na sio mkataba, hivyo makubaliano hayo ni...
  8. ASadick

    JamiiForums Tanzania Nahitaji ushauri wa kisheria?

    Mke wangu alifariki baada ya kilio masheji zangu wamekatalia kwangu hawataki kuondoka kuwatoa kwa nguvu naambiwa sheria inanibana. Je, kisheria nahitajika kufanyaje waondoke? Matumizi yote ya kimsingi yanayoka kwangu.
  9. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu: Bandari imepewa DP-World kwa kuwa utendaji wa TICTS ni mdogo

    Akielezea suala linaloendelea kuhusu mkataba wa DP-World na Tanzania ametoa sababu kuwa ni utendaji kazi mdogo wa TICTS ambao umesababisha meli nyingi ziwe zinashushia mizigo Lamu, Mombasa au Afrika kusini hali ambayo imepunguza wateja wa Bandari ya Dar es salaam. Waziri Mkuu, Kassimu Majaliwa...
  10. U

    JamiiForums Tanzania Mkataba wa bandari: Tundu Lissu asema una "utukufu wa kikatiba". Kuhusu bandari, mkataba huu ndiyo sheria! Afafanua namna unavyoweza kuvunjwa

    Ni kwenye PC yake ya juzi kwa vyombo vya habari alipokuwa akijibu maswali ya waandishi wa habari.. Wasio na bundle, hizi hapa 👇👇👇ni baadhi ya quotes za kauli zake • "Haya makubaliano ndiyo mkataba. Kwa jinsi mkataba huu ulivyo haurekebishiki na ukabaki", Tundu Lissu • "Kwa jinsi mkataba huu...
  11. Mwesiga frolian

    JamiiForums Tanzania SoC03 Zijue taratibu za kisheria katika kudai malipo kutoka kwenye kampuni ya bima baada ya kumpoteza ndugu kwenye ajali

    UTANGULIZI Tumekuwa tukishuhudia ajali nyingi nchini Tanzania zinazokea mara kwa mara ambapo kupitia ajali hizo wapendwa wetu huweza kupoteza maisha, wengine huweza kupata vilema vya kudumu. Jambo la kusikitisha wengi wetu hatuna elimu au uelewa wa kisheria kuhusu hatua zipi zichukuliwe na...
  12. H

    JamiiForums Tanzania Sababu (10) tata za kisheria uuzwaji wa Bandari ya Tanganyika

    UTANGULIZI: Bila kugusia maudhuni yalivyoandikwa, au kukosoa kilichoandikwa, nimeandaa sababu 10 tata za kisheria ambazo zinatambainisha kwa nini mkataba wa uuzaji wa Bandari ya Tanganyika ni batili na ni wa aibu kwa nchi ambayo inawasomi wengi wa sheria; Katika sheria za kimataifa za...
  13. thetallest

    JamiiForums Tanzania Maridhiano ya CHADEMA na CCM yaonesha tobo la kisheria, hayafai hata kidogo

    Katika mjadala wa leo kuhusiana na bandari baadhi ya wachangiaji wengi, kuanzia wa kwanza professor Kitila Mkumbo walionyesha kutoridhishwa na kauli ya muheshimiwa Mbowe ,mwenyekiti wa Chadema taifa,japo hakumtaja jina. Hali Iliendelea kwa wachangiaji mpaka ikafikia kutajwa hadharani kwamba...
  14. President of China

    JamiiForums Tanzania Maswali ya mdau katika forum ya Katiba ya Watu kuhusu mikataba na mabadiliko ya Katiba katika mchakato wa kisiasa na kisheria

    Swali la kwanza Ni aina gani za mikataba ambayo inaweza kusababisha upungufu wa uhuru wa kitaifa? Majibu tota kwa mdau @G na wadau wengine Swali la kwanza. Kuna aina mbalimbali za mikataba ambazo zinaweza kusababisha upungufu wa uhuru wa kitaifa ni kweli. Hapa kuna baadhi ya mifano: 1...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kisheria tafadhali

    Nisiwachoshe wadau niende Moja Kwa Moja kwenye maada. Mimi ni mtumishi niliyewahi kunifaika na bodi ya mikopo elimu ya juu, nikiwa chuoni. Mara baada ya kumaliza masomo yangu ya chuo nilipata kazi kwenye taasisi ya binafsi nilikokuwa nakatwa makato ya bodi Kwa Kila mwezi. Baada ya mkataba wangu...
  16. chiembe

    JamiiForums Tanzania Kisheria, serikali ya kijiji inaweza kugawa chini ya ekari 50, Mpina alitoa rushwa akagawiwa ekari 1000?

    Kwa mujibu wa sheria ya ardhi ya Kijiji, (The Village Land Act, Cap 114) na kanuni zake, serikali ya Kijiji hairuhusiwi kugawa ardhi ambayo inazidi ekari 50. Mpina amegawiwa ekari 1000, kubwa zaidi mara 20 kuliko Ile ambayo Kijiji wanaruhusiwa. Ni wazi kwamba Mpina alihonga viongozi wa serikali...
  17. Amaizing Mimi

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kisheria katika hili jambo

    Habari za muda wana JF. Naomba nijikite kwenye mada moja kwa moja. Jana watoto wa kakaangu walikuwa wanachunga ng'ombe huko kijijini kwetu.sasa kuna wanafunzi wawili wakawa wanarudi nyumbani kutoka shuleni. Wale watoto wa kaka wakaanza kuwafukuza.(umri wa wale watoto wa kaka ni miaka 12 na...
  18. Tadeo Luzwili

    JamiiForums Tanzania Naomba kufaam soko kua soko kisheria linatakiwa kua na vigezo gani?

    Naomba kufaam soko kua soko kisheria linatakiwa kua na vigezo gani?
  19. Jimmie-19

    JamiiForums Tanzania Ninahitaji ushauri na muongozo wa kisheria, ninakabiliwa na kesi ya kutengenezewa

    Habari za leo ndugu zangu, Ninahitaji msaada wa ushauri na muongozo wa kujitetea ninakabiliwa na kesi ya kutengenezewa na inaaminika kama nimempiga ex wangu ambae na mtoto nae mmoja. Mwanamke amenifanyia vituko zaidi ya vituko na sasa nimeshakuwa mahakamani mara mbili tunaenda mara ya tatu...
  20. Jerry Farms

    JamiiForums Tanzania SoC03 Utumishi wa Umma: Je, muda umefika sasa wa mwananchi kuwa na nguvu ya kisheria kumtoa mtumishi asiyewejibika ipasavyo?

    Mei mosi oyee! Ajira katika utumishi wa umma imekua ni ndoto ya wasomi na wasio wasomi wengi hapa nchini, wengi wa watu hawa hulenga ama kupata kipato na wengine kuhudumu kwa kutoa huduma takwa na wananchi. Serikali kwa kulitambua hilo imekua ikitoa ajira za muda mrefu ama muda mfupi lengo...
Back
Top Bottom