kiongozi

Enjo Kiongozi (born 27 March 1990) is a Tanzanian cricketer. He played in the 2014 ICC World Cricket League Division Five tournament.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Paul Makonda ni kiongozi kijana jasiri/ energeticist

    Wakati kuna kundi nchini linapinga kila jambo ambalo linaonyeshwa kufanywa na mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mh. Makonda, leo ninajitokeza kumtetea na kuwaambia kuwa huyu ni kijana shujaa. Ifahamike ili mtu kuitwa shujaa lazima awe amefanya jambo ambalo linabeba kila nukta ya uzalenzo, weredi...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Kiongozi asie na maarifa ya katika siasa na kuendesha uchumi, ni mzigo mzito kwa chama chake na kwa wananchi wake kwa ujumla

    Kiongozi yoyote wa kisiasa asie na maarifa ya kawaida kabisa katika kuendesha uchumi na kufanya siasa,kiongozi wa aina hiyo ni mzigo kwa chama chake, na pia watu wote aliokabidhiwa jukumu la kuwaongoza. Sometimes ni bora ukamudu/ukafanya vizuri katika uchumi kwani uchumi unaweza kukubeba...
  3. JamiiForums Tanzania GE2020 TUJISAHIHISHE : Huu ni mjadala wa kutaja makosa yanayofanywa na kiongozi wa chama chako na chama kingine tuweze kupata viongozi bora mwaka 2020

    Nimehamasika kuandika uzi huu kutokana na kitabu cha baba wa Taifa Julius K. Nyerere cha mwaka 1962 kiitwacho TUJISAHIHISHE. Kitabu ni kirefu kuweza kuwekwa hapa kilichomo chote, lakini ni kifupi ukitaka kukisoma kwani kina kurasa 12 tu ktk mfumo wa kielektroniki wa PDF. Kwa muktadha wa mada...
  4. JamiiForums Tanzania Bukoba: Kiongozi UVCCM wilayani Muleba akutwa amefariki kando ya barabara

    Bukoba. Mwili wa Jaspar Jasson, aliyekuwa katibu wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) kata ya Katoke Wilaya ya Muleba Mkoa wa Kagera umekutwa pembeni mwa barabara ukiwa na alama shingoni. Akizungumza leo Jumanne Februari 18, 2020 Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kagera, Revocatus Malimi...
  5. JamiiForums Tanzania Ni kiongozi yupi aliyepisha kontena 70 bandarini bila kulipa ushuru?

    Heshima kwenu wanajamvi, Katibu Mwenezi wa CCM, Humphrey Polepole alinukuliwa akimtuhumu kiongozi mmoja aliyetaka kupitisha makontena 70 narudia makontena 70 bila kulipa kodi stahiki. Mbaya zaidi, eti kiongozi huyo kanuna, kakasirika, au ukipenda kasusa. Sasa najiuliza ni kwanini Kiongozi...
  6. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Baada ya Kikwete sasa kiongozi wa EAC ni Kenyatta

    Baada ya Kikwete kuondoka kiongozi wa EAC kwa wenzetu wanamwona ni Kenyatta. Magu jitahidi kuchukua nafasi hii Kenyatta akiondoka. Kikwete alijitahidi na kuheshimiwa sana. Sasa mambo ya nje tumebaki na vikwazo kila siku hakuna hata statement ya kinachoendelea
  7. JamiiForums Tanzania Kiongozi wa juu wa Al-Qaeda huko Yemen, Qassim al-Raymi auawa na Marekani

    Kiongozi wa Al-Qaeda katika Rasi ya Uarabuni AQAP ameuawa na vikosi vya Jeshi la Marekani. Rais wa Marekani Donald Trump amethibitisha. Qasim al-Raymi, ambaye ameongoza kundi hilo tangu mwaka 2015, ameuawa katika operesheni ya kijeshi ya Marekani huko Yemen, Ikulu ya White House imeeleza...
  8. JamiiForums Tanzania Tuandamane kumpinga Kiongozi Anayedhurumu haki za watu kuishi

    Marekani ni taifa kubwa duniani lililojikita katika kuamini kulinda haki za raia duniani na dunia inakuwa sehemu salama ya kuishi limeshatoa adhabu na kutuonyesha njia. Wanaopinga waje na data, marekani ametuonyesha njia tuchukue hatua dhidi ya kiongozi aliyetajwa na wote wengine watakao...
  9. JamiiForums Tanzania John Mnyika: Kiongozi aliyechelewa kuwa Katibu Mkuu wa CHADEMA. Yawezekana ilikuwa mipango ya Mungu

    Bado sijajua kwanini Chadema ilichelewa kumpa cheo hiki , kwa muda mfupi sana alioingia ofisini ametenda makubwa mno , amefanikiwa kupenya kwenye vyombo vyote vya habari vyenye ushawishi , huu ni ushindi wa kwanza kabla ya ushindi mkubwa zaidi .
  10. JamiiForums Tanzania Kiongozi Kundi la IS akamatwa Iraq

    Ni Abu Abdul Bari ambaye alikamatwa nchini Iraq na kubebwa na lori kutokana na kuwa na uzito mkubwa wa kilo 250. Mosul, Iraq. Kiongozi wa kundi la wapiganaji la Islamic state (IS), Abu Abdul Bari amekamatwa nchini Iraq. Kiongozi huyo amekamatwa leo Jumatatu Januari 20 na kubebwa na lori...
  11. P

    JamiiForums Tanzania Mapinduzi ya Zanzibar: Mchango wa John Okello (Che Guevara wa Afrika Mashariki) umefutwaje?

    Mwaka 1964 siku thelathini baada ya uhuru wa bandia wa Zanzibar, wanamapinduzi kumi na nne wakiongozwa na mpigania uhuru John Okello aliwaongoza kwenye mapinduzi ya Zanzibar yaliyokuwa na umwagaji mkubwa wa damu. Baada ya mapinduzi kufanikiwa John Okello [kiongozi wa mapinduzi] alichukua jukumu...
  12. JamiiForums Tanzania Wiki 1 ya kifo cha Kamanda Soleiman: Kiongozi wa Hezbollah aapa kuwarudisha wanajeshi wa Marekani nchini kwao wakiwa kwenye majeneza

    Kiongozi wa Hezbollah Hassan Nasrallah amesema kutakuwa na operesheni mbalimbali dhidi ya vikosi vya Marekani katika kanda ya mashariki ya kati, ili kulipiza kisasi Marekani kuwaua makamanda wa Iran na Iraq mapema mwezi huu. Bw. Nasrallah ameyasema hayo katika hotuba ya televisheni kwa ajili ya...
  13. JamiiForums Tanzania Kiongozi wa wajane aolewa

    Rose Sarwatt ambaye ni kiongozi wa Shirika la Wajane Tanzania (TAWIA), amefunga pingu za maisha na mchumba wake Haron Mpole kwenye kanisa la SDA Magomeni Jijini Dar es Salaam. Amekaa upweke kwa miaka 11 baada ya kufiwa na mumewe.
  14. JamiiForums Tanzania Ukiwa kiongozi jihadhari na wanaokupamba, wapende wanaokukosoa

    Picha hii ya kukumbukwa inaeleza mengi sana, haijalishi nchi uliyopo iko wapi ama iko namna gani, jifunze jambo ili upate faida.
  15. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Jafo: Joketi ndio kiongozi anayefanya kazi vizuri kuliko Wakuu wa Wilaya wote hapa Tanzania, afungua choo

    Waziri wa TAMISEMI Mh. Jaffo amesema hatashangaa endapo mkuu wa wilaya ya Kisarawe mh Joketi atapandishwa cheo kwa sababu ndiye DC anayeongoza kwa kuchapa kazi kuliko wakuu wa wilaya wote Tanzania. Mh Jaffo amesema ameamua kuyasema hayo kwa sababu yeye siyo mnafiki kwani wanafiki wana tabia ya...
  16. JamiiForums Tanzania Wanawake Tanzania ni Duni/Dhaifu Kiongozi, Kama Si Duni/ Dhaifu na Wana Uwezo Sawa na Wanaume, Viti Maalum vya Nini?

    Wanabodi, Nimeiangalia hii picha ya wanawake hawa wa wenzetu, na age zao, nikajiuliza sana kuhusu sisi Tanzania na wanawake wetu katika nafasi za uongozi wa kisiasa, tatizo ni nini?. Jee wanawake wetu Tanzania ni duni au dhaifu Kiongozi wa siasa?. Kama wanawake wetu si duni na si dhaifu na...
  17. JamiiForums Tanzania Katika taifa la 'Kidemokrasia' na lenye 'Hazina Kubwa' ya Viongozi, kuna ulazima gani wa Kiongozi wa taifa hilo kuongezewa muda wa madaraka?

    Salamu! Katika taifa linalo jinasibu kuwa ni la 'Kidemokrasia' na pia lenye 'Hazina Kubwa' ya viongozi (wa kila rika na jinsia), kuna ulazima ama umuhimu gani kwa kiongozi wa taifa hilo kuongezewa ukomo wa muda wa kukaa madarakani? Nafahamu kuna watakaosema kuwa "kama wananchi wanahitaji...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…