Kiongozi wa wajane aolewa

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,627
218,057
Subpost 1 - KIONGOZI WA WAJANE TANZANIA AOLEWA.  Mkurugenzi wa Shirika la Wajane ( 640 X 640 ).jpg
Subpost 2 - KIONGOZI WA WAJANE TANZANIA AOLEWA.  Mkurugenzi wa Shirika la Wajane ( 640 X 640 ).jpg


Rose Sarwatt ambaye ni kiongozi wa Shirika la Wajane Tanzania (TAWIA), amefunga pingu za maisha na mchumba wake Haron Mpole kwenye kanisa la SDA Magomeni Jijini Dar es Salaam.

Amekaa upweke kwa miaka 11 baada ya kufiwa na mumewe.
 
Nimesoma kuwa kiongozi, huenda alihusika kuratibu zaidi akisubiri kuolewa.
Ni kweli hakuw na hadhi ya kuitwa mjane kwani ni mjane kijana anaruhusiwa na anafasi ya kuolewa
Paulo anatuambia; Tusimwite mwanamke yeyote "Mjane" hadi afikishe miaka 60. Huyo mlimchagua kuwa m/kiti sasa chagueni mwingine haraka lakini awe zaidi ya 60

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom