Waziri Jafo: Joketi ndio kiongozi anayefanya kazi vizuri kuliko Wakuu wa Wilaya wote hapa Tanzania, afungua choo

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,958
141,951
Waziri wa TAMISEMI Mh. Jaffo amesema hatashangaa endapo mkuu wa wilaya ya Kisarawe mh Joketi atapandishwa cheo kwa sababu ndiye DC anayeongoza kwa kuchapa kazi kuliko wakuu wa wilaya wote Tanzania.

Mh Jaffo amesema ameamua kuyasema hayo kwa sababu yeye siyo mnafiki kwani wanafiki wana tabia ya kumsifia mtu akishakufa.

Jaffo amesisitiza kuwa yeye ndio Boss wa wakuu wa mikoa na wakuu wa wilaya wote hivyo pongezi anazotoa kwa DC Joketi ni za dhati kabisa kwa sababu anaujua vizuri utendaji wa watendaji wote katika wizara yake akiwa kama msaidizi wa Rais Magufuli pale TAMISEMI.

Source Ayo tv!

Maendeleo hayana vyama!

1577093241654.png
1577093257322.png
 
Back
Top Bottom