John Mnyika: Kiongozi aliyechelewa kuwa Katibu Mkuu wa CHADEMA. Yawezekana ilikuwa mipango ya Mungu

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,703
218,238
Bado sijajua kwanini Chadema ilichelewa kumpa cheo hiki , kwa muda mfupi sana alioingia ofisini ametenda makubwa mno , amefanikiwa kupenya kwenye vyombo vyote vya habari vyenye ushawishi , huu ni ushindi wa kwanza kabla ya ushindi mkubwa zaidi .

mapema sana kumsifia kwahiyo unataka kutuaminisha kwamba Dkt. W. SLAA hakuimudu nafasi hiyo !
 
Ndugu zangu niwaambie ukweli tena ukweli mtupu nchi yetu ni tajiri sana sisi sio maskini kila siku tunaombaomba tumechokwa tunataka ifike hatuwa wao ndio watuombe tena ikiwezekana na mitumba tuwauzie wao huu ndio ukweli usiopingika sio maneno yangu ya mkulu wenu 🤣🤣🤣
 
Bado sijajua kwanini Chadema ilichelewa kumpa cheo hiki , kwa muda mfupi sana alioingia ofisini ametenda makubwa mno , amefanikiwa kupenya kwenye vyombo vyote vya habari vyenye ushawishi , huu ni ushindi wa kwanza kabla ya ushindi mkubwa zaidi .
Mnyika aliletwa Chadema na mzee Malecela.......bwashee usisahau hilo!
 
Bado sijajua kwanini Chadema ilichelewa kumpa cheo hiki , kwa muda mfupi sana alioingia ofisini ametenda makubwa mno , amefanikiwa kupenya kwenye vyombo vyote vya habari vyenye ushawishi , huu ni ushindi wa kwanza kabla ya ushindi mkubwa zaidi .
Hiki chama kama TLP tuu ndo kishajifia hahahaaaaa yaani kinakufa kama kula tunda kimasila hahahaaaaa jamani Mbowe kala chama kisahala huku hahahaaaaaaa kama unabisha muite mkaguzi wa mahesabu 😆😆😆😆😅
 
unazo akili timamu ?
 
Bado kidogo mtamtukana kama mnavyomtukana slas lowada na wengine. Nyie chadomo hammjui mnyika. Jueni wazi ccm haitayoka madarakani mpaka waamue wenyewe. Mmewekewa spy wengi sana.poleni
Bado sijajua kwanini Chadema ilichelewa kumpa cheo hiki , kwa muda mfupi sana alioingia ofisini ametenda makubwa mno , amefanikiwa kupenya kwenye vyombo vyote vya habari vyenye ushawishi , huu ni ushindi wa kwanza kabla ya ushindi mkubwa zaidi .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom