Ukiwa kiongozi jihadhari na wanaokupamba, wapende wanaokukosoa

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,178
217,131
FB_IMG_1577518090577.jpg

Picha hii ya kukumbukwa inaeleza mengi sana, haijalishi nchi uliyopo iko wapi ama iko namna gani, jifunze jambo ili upate faida.
 
Huyo Abdel amekaa hapo kumbe mawazo yake yote yapo kwenye hicho kiti mneso cheusi, hakumchelewesha kamtoa hapo, kamfungulia kesi, kafa akiwa mahakamani akisikila mashtaka dhidi yake. Siasa za Afrika hizo.
 
Misri ni waarabu japo wanaishi Afrika!
 
Back
Top Bottom