kinondoni

Kinondoni District is a district in north west of Dar es Salaam's central business district, Tanzania, others being Temeke (to the far Southeast) and Ilala (downtown Dar es Salaam). To the east is the Indian Ocean, to the north and west the Pwani Region of Tanzania. The area of Kinondoni is 531 km2 (205 sq mi).
The 2002 Tanzanian National Census showed that the population of Kinondoni was 1,083,913. The census of 2012 showed that the population of Kinondoni was 1,775,049: 914,247 female and 860,802 male. There are 446,504 households in Kinondoni with an average of 4 people per household.The original inhabitants of Kinondoni were the Zaramo and Ndengereko, but due to urbanization the district has become multi-ethnic.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Vigogo waanza kujitokeza kugombea uongozi wa CHADEMA Mkoa wa Kinondoni

    Aliyepuliza kipyenga huyu hapa , aliwahi kuwa Diwani , anaitwa Joel Mwakalebela , Diwani wa zamani wa Kata ya Wazo
  2. JamiiForums Tanzania Kinondoni Makaburini: Mazishi ya Mwana JF, Mzalendo Sanctus Mtsimbe

    Wana JF Niko hapa Kinondoni Makaburi, kuwaletea pumziko la milele la mwana JF, Mzalendo Sanctus Mtsimbe. https://www.youtube.com/live/PA4ndBZNpIE?si=EeOI7LGNCd2OU0J2 Tangu nimejiunga JF ile 2006, hii ndio mara yangu kwanza kuja kumzika mwana jf makaburi ya Kinondoni. Kwa jinsi makaburi ya...
  3. JamiiForums Tanzania Meya wa Kinondoni alalamika hakuna maji, hakuna sukari, Umeme unakatika katika

    Meya wa Kinondoni alalamika hakuna maji, sukari na Umeme unakatika katika, mambo hayo yalikuwa hayapo wakati wa Magufuli na wahusika hawatoi majibu wanachengachenga na viongozi hao wapo kwa ajili ya Wananchi jee kwanini hawatoi majibu?
  4. JamiiForums Tanzania Unafiki: Aliyemdhalilisha Chongolo Kinondoni leo kawa Mtetezi wake!

    Humu JF uko ushahidi wa video ya Makonda akimkoromea Chongolo , wakati huo Chongolo akiwa na cheo cha chini na Makonda akiwa RC au DC. Sasa angalia sarakasi zake za sasa , Hivi huyu jamaa anadhani Watanzania ni wajinga kiasi gani?
  5. JamiiForums Tanzania Manispaa ya Kinondoni imefanya jambo kubwa sana kuongeza English medium primary school za ada nafuu

    Habari wadau. Ukweli nampongeza sana mkurugenzi wa manispaa ya kinondoni kwa kuamua kubadili shule za msingi zilizokuwa swahili medium na kwenda english medium. Hii inawaokoa wazazi kwa kuwapunguzia gharama za ada kubwa kulipa private schools wakati elimu ni hiyo hiyo. Na pia shule za olimpio...
  6. JamiiForums Tanzania Wazazi kuweni makini na watoto/vijana wadogo kutembea Usiku mitaa ya Sinza na Kinondoni

    Wasalaam Wataalam wa Darisalaam, Sinza na kinondoni sio mitaa ya kuruhusu kijana wako atembee usiku, kwanini? Ngoja niwarudishe nyuma miaka kadhaa nilipokuwa kijana mdogo tu aliyemaliza form four. Ndevu Bado zinaota ota. ilikuwa wikendi moja tukufu ya sikukuu, Mimi na rafiki yangu tumetòroka...
  7. JamiiForums Tanzania Yuko wapi Benjamin Sitta, Meya wa Zamani wa Kinondoni?

    Ni swali tu jamani , huyu jamaa alikuwa Meya wa Kinondoni , ni mtoto wa Samuel Sitta aliyekuwa Spika wa Bunge la Tanzania . Baada ya ccm kuangukia pua 2015 , kwenye Halmashauri ya Kinondoni na UKAWA kutwaa madaraka , kukaundwa zengwe ili kuigawanya Halmashauri hiyo huku wakichomekwa wabunge wa...
  8. JamiiForums Tanzania Wanawake ni hatari anayebisha nipo Kinondoni

    Kupita pita mitandaoni nikaiona hii story imeniuma sana,ogopa sana wanawake ukipata muda kaa chini na kuogopa Mwanamke. Mwanamke ni Andazi. Kuna Tukio limetokea kitaa hapa almost 2 weeks Kuna demu alikua anadate na men wawili mmoja ni broke and thug man almost kama 24yrs alafu Kuna men...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Hakuna Maji Kinondoni kwa mwezi sasa

    Nikisema ni zaidi ya Mwezi sasa Kinondoni hatupati maji ya Dawasa unaweza usiamini. Hatujui kama ni mgawo, au ni tatizo gani. Hakuna taarifa yoyote. Mimi naishi Kambangwa, ni Mwananyamala japo wengi tumezoea kupaita Kinondoni. Mara ya mwisho maji ya bomba kutoka ni zaidi ya wiki 4 zilizopita...
  10. JamiiForums Tanzania Kinondoni Real Estate Workshop Namba 1

    District Real Estate Workshop ni kozi maalumu kwa wanachama wa makundi yetu ya TZ REAL ESTATE TEAM (TRT) kwa ajili ya kuchambua taarifa na maarifa kuangazia fursa zipatikanazo katika wilaya husika. Siri ya kukutana na bahati ya fursa kwenye uwekezaji wa ardhi na majengo inatokana na uelewa wa...
  11. JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe ahudhuria Ibada Maalum katika Kanisa la TAG Kinondoni

    Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba , Mwenyekiti wa Chadema , Freeman Mbowe , mtu anayetajwa kama muasisi wa siasa za Kisasa kwenye eneo la maziwa Makuu , leo tarehe 14/10/2023 amehudhuria Ibada maalum kwenye kanisa la TAG REVIVAL CHURCH , Kinondoni . Ibada hiyo Maalum ina lengo la kuweka Jiwe...
  12. JamiiForums Tanzania Kinondoni Hospital na Madaktari Bingwa wa India kushirikiana kutoa huduma kwa Wagonjwa wa Saratani

    Kinondoni Hospital imetangaza programu ya siku mbali kuwa itashirikiana na wataalamu kutoka Hospitali ya HCG ya nchini India katika kutoa huduma za kitaalamu kwa wagonjwa wa Saratani. Akizungumzia programu hiyo leo Oktoba 3, 2023 Kinondoni Jijini Dar es Salaam, Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya...
  13. JamiiForums Tanzania Ukweli ni kwamba, mkuu wa wilaya ya Kinondoni hafiti kabisa kuongoza wilaya yetu

    Habari zenu wanaJF wenzangu, Wakubwa leo sina mengi ya kuelezea, ila ukweli ni kwamba mkuu wa wilaya yetu ya Kinondoni aliepo ofisini sasa hafai hata robo kuongoza wilaya yetu. Kila mtu anafahamu kwamba wilaya ya Kinondoni ndio wilaya inayoongoza kuwa na wasomi wengi nchini, ndio wilaya...
  14. JamiiForums Tanzania Nataka kufungua mgahawa ambao utakuwa maalum kwa kuuza Biriani tu maeneo ya Kinondoni

    Salaams wana jamvi. Mimi ni mdau wa miaka mingi humu ila sio mara nyingi kuwa active lakini huwa napitia sana baadhi ya thread zinazohusu biashara na ujasiriamali. Mimi naishi maeneo ya Kitunda relini na by profession ni Graphics designer ila tangu nikiwa kijana mdogo (teenager) miongoni mwa...
  15. JamiiForums Tanzania Gideon Kasozi, Mwalimu wa kwaya ya SDA Kinondoni hivi sasa yuko wapi?

    Wakuu humu ndani nakumbuka miaka ya tisini kuna Mwalimu wa kwaya ya SDA Kinondoni alifanya kwaya hii kuwa maarufu sana hivi sasa hivi yuko wapi?
  16. R

    JamiiForums Tanzania Taa ya kuongozea magari Kinondoni Biafra inakaribia kuanguka, kodi kubwa tunazolipa zitumike vizuri!

    Wakuu, Hizi ni taa zipo Kinondoni Biafra, Dar. Moja imejishikilia vizuri wakati nyingine inakaribia kuanguka. Naamini kufanyiwa maboresho sasa ni bora na itakuwa gharama nafuu kuliko kusubiri ianguke iharibike zaidi. Kodi zetu ndio zinawezesha ukarabati huo kufanyika na kama ikiachwa ikaanguka...
  17. JamiiForums Tanzania Natafuta chumba master Kinondoni b au studio au Sinza

    Habari Wana jamii natafuta chumba maeneo ya Kinondoni kiwe self contained 100k kwa mwezi Hit me up
  18. JamiiForums Tanzania SI KWELI Ofisi ya CCM Kinondoni yavunjwa na Wananchi kisa Mkataba wa DP World

    Mdau wa JamiiForums ameweka Chapisho lenye kichwa cha habari "CCM kimeanza kuumana" akimaanisha kuwa hali imeanza kubadilika kwenye Chama cha Mapinduzi baada ya Serikali inayoongozwa na Chama hicho kusaini Mkataba na kampuni ya DP World kuhusu uwekezaji kwenye Bandari ya Dar es Salaam. Hali hii...
  19. JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara Mwenge waliopisha ujenzi wa Stendi wadai wametupwa na Manispaa ya Kinondoni

    Baadhi ya Wafanyabiashara waliopisha mradi wa ujenzi wa Kituo cha Mabasi Mwenge (Mwenge Bus Terminal) na kudai kuwa waliahidiwa kupewa kipaumbele baada ya mradi kukamilika, mambo hayajaenda kama walivyotarajia. Wamedai kuwa ahadi hiyo ilitolewa Mwaka 2019 baada ya Mkandarasi Mshauri kukabidhi...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Dar: Wanafunzi wa kike sekondari za Kinondoni wanaanza ngono mapema sana

    Binafsi nazijua shule mbili ambazo karibu kila msichana wa kuanzia form two ana boyfriend ndani ya shule au nje ya shule wakiwemo na watu wazima pia ambao sio wanafunzi. Kuna idadi kubwa sana ya wasichana wa sekondari ambao wanadanga na kujiuza kwa wanaume. Ile sheria ya ubakaji ya mwaka 98...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…