Wanawake ni hatari anayebisha nipo Kinondoni

Selemani Sele

Senior Member
Feb 25, 2023
148
410
Kupita pita mitandaoni nikaiona hii story imeniuma sana,ogopa sana wanawake ukipata muda kaa chini na kuogopa Mwanamke. Mwanamke ni Andazi.

Kuna Tukio limetokea kitaa hapa almost 2 weeks Kuna demu alikua anadate na men wawili mmoja ni broke and thug man almost kama 24yrs alafu Kuna men mwingine ambaye ni wakishua 25yrs flani ambaye alikuwa anampa Demu Kila kitu but demu anapeleka Kwa Thug man wake,

Thug man knew everything but decided to stay calm since he got nothing to feed the girl as matter of fact demu ndo alikuwa anatoa vitu Kwa menikafikia stage demu akawa anaona miamala ya rich men wake.one day demu akacheki messages na kukuta salio la msela wake ni 3M+ akaenda kumpa code thug nigga wake kuwa wanatoka na jamaa na afanye kama amewafuma and amlazimishe jamaa atoe password ya simu na aweke pin ya Mpesa ili watoe muamala wasepe.

Kweli Thug man did as they planned akatokea hadi magetoni Kwa msela akawakuta na demu wake and scene continue as planned As Thug man anamlazimisha jamaa atoe password ukazuka ugomvi and rich man so kinyonge akampiga Thug nigga and Thug nigga kuona hafui dafu akachomoa kisu akamchoma jamaa Cha moyo and he was rushed to the hospital and the thug nigga taken mpaka polisi.

Then after three days rich man died and Thug man Taken jail akisubiri hukumu ya mauwaji but the girl stand as a witness na akikana kumjua thug man wake Aisee Tuendelee kujiepusha na wanawake ambao sio potential kwetu and as youth tuache Tamaa na Mikumbo, Things will get better if we will priotize our goals and improving our families rather than being dick driven "MUNGU ATUSIMAMIE"
 
Back
Top Bottom