kinondoni

Kinondoni District is a district in north west of Dar es Salaam's central business district, Tanzania, others being Temeke (to the far Southeast) and Ilala (downtown Dar es Salaam). To the east is the Indian Ocean, to the north and west the Pwani Region of Tanzania. The area of Kinondoni is 531 km2 (205 sq mi).
The 2002 Tanzanian National Census showed that the population of Kinondoni was 1,083,913. The census of 2012 showed that the population of Kinondoni was 1,775,049: 914,247 female and 860,802 male. There are 446,504 households in Kinondoni with an average of 4 people per household.The original inhabitants of Kinondoni were the Zaramo and Ndengereko, but due to urbanization the district has become multi-ethnic.

View More On Wikipedia.org
  1. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwanini Tarimba Abbas Tarimba wa (CCM) ana Uchungu na Urais wa TFF kuliko Jimbo lake la Kinondoni?

    Hivi hizi Hasira zake na haya Machungu yake dhidi ya Kuutaka kwa udi na uvumba huku akiwa ameshapoteza sifa na matumaini angezihamishia katika Kuyazungumzia Matatizo Sugu ya Wakazi wa Jimbo lake la Kinondoni leo hii asingeshukuriwa na Kupendwa zaidi na Wapiga Kura wake? Kwa jinsi Mbunge Tarimba...
  2. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Kinondoni Abbas Tarimba achukua fomu ya kugombea Urais wa TFF

    Hii ndio taarifa ya leo hii kutoka kwa watoa fomu
  3. Bess

    JamiiForums Tanzania Mabwepande bomba zipo maji hamna miaka miwili imepita sasa

    Mkoa wa Dsm mfano Mabwepande kuna sehemu bomba zimepita miaka miwili sasa maji hayajaruhusiwa, huku sio kupoteza tu mapato kwa msambazaji ambaye ni Serikali lakini pia haki ya kupata maji kwa mwananchi imedhulumiwa.
  4. L

    JamiiForums Tanzania Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni haijalipa nauli za likizo Desemba 2020

    Halmashauri ya tatu kwa ukusanyaji mapato Tanzania. Halmashauri inayomiliki timu ya mpira ligi kuu Tanzania. Sasa ni mwezi wa sita watumishi wengine wanaanza likizo wakati huo huo kuna watumishi walioenda likizo mwaka Jana bado hawajaipwa nauli zao. Nauli ya likizo sio hisani ni lazima kila...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Bwana Tarimba sisi wana Kinondoni hatujakutuma hayo

    Kwenye kampeni suala la mchezo ulisema utaisimamia ilani CCM kuhusu mambo ya viwanja vya wazi visiporwe, maeneo ya kucheza watoto na kadhalika! Ajabu sasa umesikika mjengoni unaongelea mambo ya TFF na jinsi inavyo deal mizozo ya 'mitimu' ya wilaya nyingine ya Ilala. Linapokuja suala la mchezo...
  6. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mbunge Tarimba Abbas (CCM) je, wana Kinondoni tulikutuma Bungeni kuzungumza matatizo yetu au kuizungumzia Yanga SC yako tu?

    Leo ni mara ya Pili (kama siyo ya Tatu) nakuona kila ukipewa muda wa Kuongea Bungeni Wewe Kazi yako ni Kuisemea tu Yanga SC yako na Kuonyesha pia chuki zako za wazi wazi kwa Rais wa TFF Wallace Karia na Klabu Hasimu Kwako ya Simba SC. Hivi Wewe Mbunge wa Kinondoni Tarimba Abbas (CCM) ulipigiwa...
  7. beth

    JamiiForums Tanzania IGP Sirro: Kinondoni inaongoza kwa uhalifu hapa nchini

    Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro, ameutaja mkoa wa Kipolisi wa kinondoni kama kinara wa uhalifu nchini ambapo matukio ya uporaji, uvunjaji wa kutumia nguvu na uporaji kwa kutumia pikipiki yakiwa yameongezeka huku uhalifu mwingine mkubwa wa kutumia silaha za moto ukiwa umeshuka...
  8. The Sheriff

    JamiiForums Tanzania RC Amos Makalla amaliza mgogoro wa Meya na Mkurugenzi Kinondoni

    Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Mhe. Amos Makalla amemaliza sintofahamu ya uongozi wa manispaa ilijitokeza Kati ya meya manispaa ya kinondoni Ndg Songoro Mnyonge na mkurugenzi wa manispaa Spora Liana. Utatuzi wa mgogoro huo umefanyika leo katika kikao Cha pamoja kilichoitishwa leo na mkuu wa...
  9. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Walimu 1333 Kinondoni kupandishwa cheo

    Tume ya Utumishi wa Walimu (TSC) Wilaya ya Kinondoni ipo katika hatua za mwisho za kukamilisha zoezi la kupandisha vyeo/madaraja walimu 1,333 wa shule za msingi na sekondari wa Manispaa ya Kinondoni ambao wana sifa za kupanda vyeo kwa mujibu wa miongozo na taratibu za Serikali. Hayo...
  10. Ngamanya Kitangalala

    JamiiForums Tanzania Wilaya ya Kinondoni, tanuri la kupika viongozi

    Wilaya ya Kinondoni kwa miaka ya karibuni imekuwa ni kama tanuri la kupika viongozi kwenye ngazi za juu zaidi Kumbukumbu zangu za karibuni zinanikumbusha wafuatao 1. Mama Ritta Mlaki, alikuwa mkuu wa wilaya ya Kinondoni na baadaye kuwa mbunge wa Kawe na kuteuliwa na hayati Benjamin Mkapa...
  11. MPUNGA MMOJA

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Mtumishi wa NSSF alilipwa milioni 26 za uhamisho akitokea HQ Posta kwenda ofisi za NSSF Kinondoni Dar

    Wakati wa uongozi wa aliyekua DG wa NSSF William ERIO NSSF ilijaa matumizi mabaya ya fedha za shirika mpaka kufikia kumlipa mfanyakazi sh milioni 26 za UHAMISHO akitoka makao makuu Posta akihamia ofisi ya Kinondoni DSM. Maajabu kama haya unayapata nchi zenye mfumo wa hovyo katika Taasisi.
  12. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania CAG Kicheree: Nimegundua ufisadi wa kutisha Manispaa ya Kinondoni

    Kinondoni ilikusanya ushuru Bilioni 5.9 hawakupeleka benki zikaliwa na wajanja wachache. Wizi wa fedha za Malipo ya Vibarua yasiyostahili Sh. 284,850,00 Halmashauri ya Manispaa ilifanya malipo ya Sh. 284,850,000 kwa ajili ya kuwalipa vibarua wa usafi wa barabara na kuzoa taka. Hata hivyo...
  13. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Dar: Mtangazaji wa ITV, Blandina Sembu atupwa barabarani kituo cha Mwenge ITV akiwa ameuawa

    Mtangazaji wa kituo cha ITV cha jijini DAR ES SALAAM Bi Blandina Sembu amekutwa akiwa ameuawa maeneo ya ITV Mwenge usiku saa sita. Mwili huo ulitambuliwa na Henry Mabumo aliyekuwa mtangazaji mwenzake kabla Mabumo hajahamia TBC. Mwili ulichukuliwa na Polisi usiku huohuo. Taarifa rasmi...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli atengua uteuzi wa Mkurugenzi wa Manispaa ya Kinondoni

    Rais Magufuli ametengua uteuzi wa Mkurugenzi wa Manispaa ya Kinondoni, ndugu Aron Titus Kagurumjuli Mkurugenzi mpya atateuliwa baadaye. Maendeleo hayana vyama!
  15. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Askofu Emaus Mwamakula akamatwa na Polisi kwa kuhamasisha Maandamano ya kudai Katiba Mpya

    ==== TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUKAMATWA KWA ASKOFU EMMAUS BANDEKILE MWAMAKULA KWA KOSA LA KUHAMASISHA MAANDAMANO HARAMU Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Polisi Dar es Salaam leo tarehe 15.02.2021 limefanikiwa kumkamata anayejiita Askofu EMMAUS BANDEKILE MWAMAKULA wa kanisa la Uamsho la...
  16. U

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa Hospitali ya kisasa ya Wilaya ya Kinondoni unaendelea Kwa kasi Mabwepande

    Picha inajieleza vema kabisa Ujenzi wa hospitali ya Wilaya ya Kinondoni umeshika kasi sana na upo mbioni kukamilika. Matumizi sahihi ya rasilimali zetu huleta matokea chanya. Hongera Rais Dkt John Magufuli kwa kutimiza ahadi.
  17. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania TANESCO: Uwepo wa Kunguru ndiyo chanzo kikubwa cha umeme kukatika mara kwa mara katika wilaya ya Kinondoni

    Meneja Uhusiano wa TANESCO Johari Kachwamba, amesema kuwa uwepo wa Kunguru ndiyo chanzo kikubwa cha umeme kukatika mara kwa mara katika wilaya ya Kinondoni jijini Dar es Salaam, kwani Kunguru hao wanachangia kuharibu miundombinu hususani nyaya za umeme. Kauli hiyo ameitoa hii leo Januari 5...
  18. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Dar: Jeshi la Polisi limewaua waliowahi kuwa Askari wake katika tukio la Ujambazi

  19. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Juu wa CHADEMA kuongea na Wanahabari Novemba 25, 2020 Makao Makuu ya Chama, Kinondoni

    Kesho Jumatano, Novemba 25, 2020, CHADEMA kupitia uongozi wa juu wa Chama, kitazungumza na Umma wa Watanzania kupitia waandishi wa vyombo mbalimbali vya habari, katika mkutano utakaofanyika Ofisi za Makao Makuu ya Chama, kuanzia saa 5 asubuhi. Asanteni. Wote Mnakaribishwa.
  20. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mgombea Ubunge Kinondoni kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, Saed Kubenea amesema anatarajia kushinda uchaguzi wa jimbo

    MGOMBEA Ubunge Kinondoni kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, Saed Kubenea amesema anataraijia kushinda uchaguzi wa jimbo hilo kwa wastani wa asilimia 52.8 hadi 58.2. Kubenea ametoa kauli hiyo leo tarehe 26 Oktoba 2020 wakati anazungumza na wanahabarii jijini Dar es Salaam, kuhusu mwenendo wa...
Back
Top Bottom