Kinondoni Real Estate Workshop Namba 1

Aliko Musa

Senior Member
Aug 25, 2018
156
240
District Real Estate Workshop ni kozi maalumu kwa wanachama wa makundi yetu ya TZ REAL ESTATE TEAM (TRT) kwa ajili ya kuchambua taarifa na maarifa kuangazia fursa zipatikanazo katika wilaya husika.

Siri ya kukutana na bahati ya fursa kwenye uwekezaji wa ardhi na majengo inatokana na uelewa wa soka mahalia (local real estate market).

Jumapili ya Tarehe 17/12/2023 tutakuwa na mjadala wa moto sana kuhusu uwekezaji kwenye ardhi na majengo kuhusu wilaya ya Kinondoni, Jiji Dar Es Salaam Tanzania.

Rafiki yangu, nitafungua mjadala kwa somo ambalo litachambua mambo ya msingi kwenye mji huu. Baada ya somo, utajifunza yafuatayo:

✓ Jinsi ya kuchagua maeneo mazuri sana ya uwekezaji huko uliko, sio lazima tuhamie Kinondoni.

✓ Utajifunza jinsi ya kuchambua taarifa zinazoweza kukusaidia kufikia hitimisho ya wapi ni pazuri kwa uwekezaji na wapi hapafai.

✓ Tutajadili kwa pamoja fursa za uwekezaji kwenye ardhi na majengo katika wilaya ya Kinondoni.

✓ Tutafokasi kwenye njia moja ya kutengeneza fedha kwenye ardhi na majengo.

✓ Wilaya za aina hii zinafaa kwa ajili ya kutunza utajiri wako (zingatia sababu za nguvu ya sera za serikali hapo juu).

✓ Workshop zote zilizopita tulitumia ripoti za sensa ya mwaka 2012 na sensa ya mwaka 2022. Workshop hii imejikita kwenye nguvu nyingine tatu. Njoo ushiriki wewe mwenyewe, usisubiri kuambiwa.

✓ Je wajua vibali vya ujenzi vinatumika kupata tathmini ya hali ya soko la ardhi na majengo kwa miaka ijayo?. Jiunge na mafunzo rafiki yangu, huna sababu ya kuendelea kusubiri.

✓ Mafunzo ni bure. Wewe na bando lako na nidhamu ya kufuata sheria za makundi yetu.

Njoo ushiriki mjadala kwenye makundi ya TZ REAL ESTATE TEAM..

MUHIMU; Jiunge na kundi la whatsapp liitwalo TZ REAL ESTATE TEAM. Ukiwa hapa utapata masomo na mijadala kuhusu uwekezaji kwenye ardhi na majengo (real estate investment).

Rafiki yako,

Aliko Musa.

Mbobezi majengo.

Kujiunga nitumie ujumbe usemao "WORKSHOP"....

Whatsapp; +255 752 413 711
 
Back
Top Bottom