MKATA KIU
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 2,870
- 6,275
Habari wadau.
Ukweli nampongeza sana mkurugenzi wa manispaa ya kinondoni kwa kuamua kubadili shule za msingi zilizokuwa swahili medium na kwenda english medium.
Hii inawaokoa wazazi kwa kuwapunguzia gharama za ada kubwa kulipa private schools wakati elimu ni hiyo hiyo.
Na pia shule za olimpio na Diamond zitapumua sasa. Maana watoto walikuwa wanatoka mbali sana kuzifata hizo shule kati kati ya mji.
Manispaa zingine zinapaswa kuiga hili. Shule za english medium ziwe nyingi.
Hizi ni shule za msingi za serikali zilizogeuzwa kuwa english medium. Hivyo mzazi unaeishi maeneo hayo peleka mwanao hapo. Achana na kumsumbua mtoto kwenda mbali olimpio na Bunge.
1. Ali Hassan Mwinyi primary school
2. Mapambano primary school
3. Mwenge primary school
4. Mirambo primary school
5. Bunju Mkoani primary school
Wamiliki wa shule za private msilete fitna za kibiashara ili shule hizi za msingi za serikali english medium zizidi kuwa nyingi.