kinondoni

Kinondoni District is a district in north west of Dar es Salaam's central business district, Tanzania, others being Temeke (to the far Southeast) and Ilala (downtown Dar es Salaam). To the east is the Indian Ocean, to the north and west the Pwani Region of Tanzania. The area of Kinondoni is 531 km2 (205 sq mi).
The 2002 Tanzanian National Census showed that the population of Kinondoni was 1,083,913. The census of 2012 showed that the population of Kinondoni was 1,775,049: 914,247 female and 860,802 male. There are 446,504 households in Kinondoni with an average of 4 people per household.The original inhabitants of Kinondoni were the Zaramo and Ndengereko, but due to urbanization the district has become multi-ethnic.

View More On Wikipedia.org
  1. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Manispaa ya Kinondoni yalalamikiwa kuchelewesha Urasimishaji na kutoa Hati Miliki

    Manispaa ya Kinondoni yalalamikiwa kucheleswesha Urasimishaji na kutoa Hati Miliki
  2. J

    JamiiForums Tanzania Meya wa Kinondoni atangaza kupotea kwa Diwani wa Kawe ambaye inasemekana amefichwa

    Meya wa Manispaa ya Kinondoni mh Songoro ameliomba Jeshi la Polisi na vyombo vya habari kuwasaidia kumtafuta Diwani wa Kawe ambaye hajulikani alipo. Songoro amesema mheshimiwa Lwakatare hajahudhuria vikao kwa muda mrefu na hata chama hakijui alipo Fununu zinadai Lwakatare amefichwa mahali...
  3. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Dkt. Slaa: CHADEMA walimteka mtu wao, wakamtesa, wakamtupa, mimi nikajua watekaji ni Usalama wa Taifa

    Picha: Dkt. Willbrod Slaa Mwanasiasa Willbrod Peter Slaa amefanya mahojiano na kuzungumza mambo mengi kuhusu siasa, mahojiano haya ni mwendelezo ya interview aliyofanya wiki iliyopita. TAARIFA YA CAG INAPOTOSHWA “Kuna upotoshwaji kwenye taarifa ya CAG, nadhani Zito Kabwe angelisaidia sana...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Kinana aungana na wanaccm wenzake kufanya uchaguzi katika shina lao Kinondoni

    KINANA AUNGANA NA WANA CCM WENZAKE KUFANYA UCHAGUZI KATIKA SHINA LAO - KINONDONI Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara Kanali Mstaafu Abdulrahman Kinana leo Aprili 19 , 2022 ameungana na Wanachama wenzake wa Shina Namba 9, Tawi la Masaki, Kata ya Msasani wilaya ya...
  5. D

    JamiiForums Tanzania Manispaa ya Kinondoni Ondoeni au futeni kabisa minada ya Kunduchi na ule wa Boko-chama

    Mnada au gulio la Kunduchi unaofanyika mara moja kwa wiki ni kero kubwa sana kwa watumiaji wa barabara kuu ya Kunduchi na bahari beach! Kero hii pia inapatikana maeneo ya Boko katika mnada wa chama! Hivyo kwa wakazi wa Mbweni Ununio na maeneo ya Bunju wanakumbwa na dhahama ya foleni Mara mbili...
  6. N

    JamiiForums Tanzania DC Kinondoni: Fuatilia ujenzi huu holela!

    Kuna mtu anajenga jengo linaloelekea kama ni kanisa. Jengo hilo liko jirani na nyumbani ya marehemu Apson aliyekuwa mkurugenzi wa TISS huko Mbezi Beach.Mj enzi wa hili jengo ana asili ya Nigeria na anajenga bila kibari katikati ya makazi sehemu isiyo rasmi kwa kanisa! Sehemu yenyewe...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Rushwa na dhulma: Ukaguzi wa leseni za biashara Tegeta

    Naeleza niliyoyashuhudia, Nilipokea simu toka kwa Binti wa dukani kwangu, kwamba amekamatwa na anapelekwa Manispaa kwa kufanya biashara bila leseni. (Binti wa dukani alikuwa mgeni na Leseni ililipiwa,leseni inatolewa ndani ya siku tatu za kazi baada ya kulipiwa. Zoezi la ukaguzi wa leseni...
  8. GUSSIE

    JamiiForums Tanzania Je, mgao wa maji ni wilaya ya Kinondoni na Ubungo?

    Sikutegemea kuna mwana JF anaweza kulalamika kuwa kuna mgao wa maji Dar es Salaam. Sijawahi sikia wakazi wa Temeke, Mbagala au Kigamboni wakiongelea hadithi za mgao wa maji Kigamboni ni wilaya mpya watu wanaishi wao na visima vyao vya maji Mbagala na Temeke wao wanaishi na Maji yao ya kununua...
  9. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Ya Haji Manara na kisa cha Chanjadi, Mkristo wa Kinondoni

    Miaka ya tisini Na mwanzoni mwa miaka ya elfu 2 mitaa ya kino Kuna brother mmoja alijulikana Kwa Jina la Chanjadi. Chanjadi alizaliwa katika familia ya Kiislamu. Kama ilivyo ada kwa watoto wa Kino chanjadi ishu zake nyingi alikuwa anafanyia Dizonga. Siku moja Chanjadi from nowhere akawaambia...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini haya maeneo kwa Wilaya ya Kinondoni ni Kivutio cha Ajali mbaya na za Ajabu ambazo huwa hazijeruhi tu bali huua kabisa Wahusika?

    1. Kipande cha Mikocheni B kwa Warioba hadi njia panda ya Clouds au Coca Cola 2. Supa Lugalo 3. Bondeni Kawe 4. Makonde 5. Kona ya Goba ukimaliza lilipo Kanisa Katoliki 6. Afrikana 7. Mbuyuni njia panda kuelekea Kunduchi, Bahari Beach na Ununio Na kwa Taarifa tu haya maeneo yote tajwa...
  11. HUKU ABROAD

    JamiiForums Tanzania Kinondoni hapafai

    Mwana Flani wa facebook kanivutia Uzi ohhh mambo vp bro .. Nakubali kazi zako Nini ... Tuwe friends Moja na mbili nikasema fresh Mara kauliza ohhh unaish wap nikamwambia kino , akasema dahhhh kino Pana reputation mbaya .. wanawake sio wahaminifu , wanaume wengi wahuni .. Jaman ehhh wazee...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Anayejua Wasifu wa Ramadhan Kingai (ACP) atusaidie

    RPC Kinondoni leo ni shahidi aliyesimama Mahakamani kutoa ushahidi kwenye kesi ya Mbowe na wenzake ya Ugaidi. Katika kufuatilia cross examination kiongozi huyu wa Jeshi la Polisi amejichanganya sana na hivyo kushindwa kusimama kwa nafasi ya afisa mkubwa kwenye Jeshi na mchunguzi. Yawezekana...
  13. MWALLA

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Mbowe na Wenzake: Shahidi ACP Ramadhani Kingai afunguka upande wa Jamhuri

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe na wenzake watatu wamefikishwa katika Mahakama Kuu Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi. Mbowe na wenzake wamefikishwa mahakamani hapo leo Jumatano Septemba 15, 2021 kwa ajili ya kusikiliza kesi yao. Mahakama...
  14. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania INASIKITISHA: Makaburi Kinondoni yanavunjwa makusudi ili ipatikane nafasi ya kuzikia

    Makaburi Kinondoni yamekuwa yakihujumiwa makusudi ili iweze kupatikana nafasi ya kuzika tena. Leo nilitembelea makaburi hayo asubuhi kwa ajili ya kuangalia maendeleo ya ndugu yangu aliyelazwa kwenye makaburi hayo.
  15. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Ijue Jamhuri ya Watu wa SOGODO, Kinondoni

    Kwa wakongwe kama Mshana Jr, mitaa ya Dizonga anainyaka vyema, kwani kakaa huko hadi pale alipohahamishwa na jini lililo mnasa vibao akitaka kulinanilihiiii kwenye nyumba ya wageni, akaona isiwe taabu, akahamia Masaki. Sogodo ni eneo linalopatikana Mwananyamala Bwawani, nyuma ya mahakama ya...
  16. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Kulihusisha tukio la mauaji Kinondoni na vyama vya siasa ni kukosa busara za kisiasa

    Huku sio kuchafuana au kupakana matope bali ni kukosa busara za kisiasa. Maana huwezi kusema kuwa ni Chadema yetu au Ccm yao itachafuka kwa upuuzi wa kutunga mitandaoni. Hili ni tukio baya la kuterrorise maisha ya watu kama lingekuwa motivated na chama cha siasa asingekwenda mtuhumiwa mmoja...
  17. Prof Koboko

    JamiiForums Tanzania RPC Kinondoni aliyemwambia Mbowe hachomoki ndiye alimwambia Lema hashindi Arusha

    Kumbe huyu RPC ambaye alimtolea maneno mabaya Mbowe kuwa "this time huchomoki tutakupiga na kesi ya ugaidi(kwa maneno ya John Mrema) "vile vile aliwahi kumwambia Lema akiwa RCO Arusha kuwa hatashinda uchaguzi kwa sababu yeye ni Kada. Maneno haya aliyasema ndugu Godbless Lema mbunge mstaafu...
  18. Prof Koboko

    JamiiForums Tanzania John Mrema: Polisi alimwambia Mbowe "This time huchomoi tunakupa kesi ya Ugaidi"

    Mkurugenzi wa uenezi na mambo ya nje wa Chadema, John Mrema amesema baada ya Mbowe kufikishwa Dar kutokea Mwanza, Kamanda wa Polisi wa Kinondoni, ACP Ramadhani Kingai alimwambia: "This time huchomoki, tunakupa kesi ya ugaidi" Mrema ameyasema hayo katika bunge la wananchi linalofanyika kupitia...
  19. CUF-WILAYA YA KINONDONI

    JamiiForums Tanzania CUF: Abdul Kambaya azindua rasmi programu ya upandishaji wa bendera katika Wilaya ya Kinondoni

    MJUMBE WA BARAZA KUU LA TAIFA CUF, ABDUL KAMBAYA AZINDUA RASMI PROGRAMU YA UPANDISHAJI WA BENDERA KATIKA WILAYA YA KINONDONI Leo tarehe 4 Julai, 2021 Mjumbe wa Baraza Kuu la Taifa CUF, Abdul Kambaya amezindua rasmi programu ya upandishaji wa bendera katika wilaya ya kinondoni. Programu hiyo...
  20. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania DC Gondwe unazuiaje mkutano mkuu wa msikiti wakati Katiba yao imekiukwa mwaka wa pili sasa?

    Naelekeza hili swali kama nilivyotumiwa kwa Mkuu mpya wa wilaya ya Kinondoni, Ndg Godwin Gondwe. Waumini wa msikiti wa Kisumu, Magomeni mikumi wana mgogoro wa kikatiba kuwa Mkutano mkuu haujafanyika kwa miaka miwili sasa. Hivi karibuni kupitia michango na jitihada zao wamejenga jengo la ghorofa...
Back
Top Bottom