kike

The word kike () is an ethnic slur for a Jew.

View More On Wikipedia.org
  1. Miswaki hua inafanya nini kwenye mabafu ya kike?

    Nawasalim Moja kwa moja kwenye mada, nimejaribu kuchunguza kwa muda mrefu mabafu ya ke, unakuta miswaki mingi kweli, imewekwa. Mwanzo nilijua labda ya kuswakia, lakini nilikuja kukataa hoja hiyo baada ya kukuta bafu lingine kuna kopo hiv humo ndani ameweka na sabuni pamoja na dodoki! Nauliza...
  2. Mtoto wa kike kuitikia naam imekaaje

    Mfano unamwita Monica ye anaitikia naam hivi Ni sahihi wazee? mtoto wa kike SI inatakiwa aseme abee Mara zote. Thread tayari.
  3. S

    SoC01 Malezi bora kwa watoto hasa wa kike kwa Taifa bora la kesho na maendeleo

    Watoto wetu wa leo ndio taifa letu la kesho, Ikiwa tutawaandaa vyema tutatengeneza jamii na taifa bora pia lenye nguvu baadae na kufikia malengo kwa haraka zaidi . Tukitaka kufikia malengo na kuwa na taifa bora na lenye nguvu kwanza tunatakiwa kujenga misingi imara kwa watoto wa kike kwani: -...
  4. Ukraine: Wizara ya Ulinzi yatetea uamuzi wa Wanajeshi wa Kike kuvaa viatu vya mchuchumio

    Wizara ya Ulinzi ya Ukraine imetetea uamuzi wake wa kuwavalisha wanajeshi wa kike viatu vya mchuchumio (vyenye visigino virefu) katika gwaride la kusherehekea miaka 30 ya kujitenga na Umoja wa Kisovieti baada ya baadhi ya wabunge kulalamikia uamuzi huo. Picha za wanajeshi hao zilisambaa katika...
  5. A

    Ushauri: Kama una biashara na unataka kuwaachia watoto wako wasimamie, masuala ya fedha muachie mtoto wa kike

    Mtoto wa kike tamaa yake kubwa itakuwa ni kupendeza na kuwakoga wenzake. Kama atachomoa hela za kampuni itakuwa ni kwa ajili ya nguo, vikuku vya dhahabu na handbags. Mtoto wa kike kama ni mpenzi atakuwa nae mmoja na ni mara chache sana atamshirikisha katika mambo ya pesa. Mtoto wa kiume...
  6. Hatimaye Kolabo yangu na Wanamuziki wa kike wa MAREKANI Kama video queens imekamilika. Kazi ni mpya kabisa

  7. Muwaache wanafunzi waliorudi likizo, msiwarubuni kimapenzi

    Wakuu poleni na majukumu ya siku ya leo. Nimekuwa nikifatilia mienendo ya wanafunzi wetu pindi wanapokuwa likizo nikajiridhisha kuwa watoto wengi wanaingizwa kwenye mahusiano ya kimapenzi na wanaume wasio waadilifu. Kipindi hiki kuna wanafunzi waliomaliza Kidato cha Sita mtaani, wapo waliomaliza...
  8. Nashukuru ushauri wa JF nimepata mtoto wa kike

    Husika na kichwa cha habari hapo mnamo mwaka jana niliweza post humu kuwa nimempa mimba binti wa chuomwaka wa pili mimba. Wengi humu walitoa ushauri kwamba nisije jaribu kumwambia huyo binti atoe hio mimba wala nisikatae majukumu kwa sababu mwanakulitafuta mwana kulipata hivyo nikafuata...
  9. Wasanii wa kike wa Bongo Fleva ambao walitamba kisha wakatoweka

    Lady Jaydee ndiye gwiji wa Bongofleva kwa upande wa kinadada. Ana miaka 21 katika hii gemu tangu alipoachia wimbo wake wa Machozi mwaka 2000. Amewezaje kudumu katika gemu kwa miaka yote hiyo wakati kuna Wasanii wa kike kibao ambao walimkuta akiwa juu na wamefutika akiwa juu? Hili ni swali...
  10. Kilevi kipi kati ya hivi mtu akitumia huwa unamuona wa ajabu sana?

    Jamani embu tuambieni Kati ya vilevi hapo Chini ukimuona mtu anatumia huwa una muona wa ajabu sana yaani hajitambui(hopeless and useless man). 1. Ugolo 2. Gongo 3. Bhangi 4. Mirungi 5. Konyagi na Valeur bila kusahau K vant 6. Mataputapu mengine(ulanzi, kindi, viduchu, kimpumu, kimono n.k)...
  11. Kijana wa kike, mzalendo anayesimamia ukarabat wa reli kilomita 217

    Duh! Akina dada wamechoka kutumiwa na za kutolea, wameamua kuongoza shughuli kwa mbele Eng. Veronica Nyambura (right) with Rift Valley Commander George Natembeya (cemter) on Monday, March 21, 2021. TWITTER For years, the engineering industry was considered a preserve for the male gender but...
  12. Wapi nitapata soko la mashati ya kike

    Wakuu poleni na majukumu. Mimi ni mjasiriamali mdogo niliyejikita katika mradi wa ushonaji. Kimsingi huwa nauza mashati ya shule, nashona kwa oda kwenye shule zinazohitaji na kipindi cha msimu huwa nawauzia mawakala wa Kariakoo. Kwa sasa nimeanza kushona mashati ya kike ya color combo...
  13. Total Wampongeza Rais Samia, "Urais wa Samia, Waipaisha Tanzania Kimataifa", Yawahamashisha Watoto wa Kike Kusoma Kwa Bidii, Wawe Kama Samia!.

    Kampuni ya Mafuta ya Total Tanzania, na Taasisi ya Flaviana Matata Foundation, zimempongeza rais wa Tanzania, Rais Mama Samia Suluhu Hassan, sio tuu kwa kuwa rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania bali pia kwa kuwa rais wa kwanza wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye ni mwanamke...
  14. PARIS JACKSON: Mtoto wa MICHAEL JACKSON kwenye FILAMU yake ya YESU wa Kike

    Wasaalam wakuu Hivi tunakwenda wapi na DUNIA yetu Mwaka uliopita kulizuka habari juu Paris Jackson, binti wa Fundi wa pop marehemu Michael Jackson, anahusika katika filmu mpya ambayo yeye atacheza kama ,Yesu Kristo kama mwanamke msagaji katika filamu hiyo mpya ya Habit Habit, pia itachezwa...
  15. Mchungaji wa kike atamaniha wanaume

  16. INAUZWA Pata pochi za kike kwa bei nafuu

    Habari wakuu, Tumeleta mzigo wa pochi za kina dada nzuri. Tunauza kwa bei ya jumla na reja reja Bei yetu ya jumla ni sh. 13,000/=✓ kuanzia PC tano tu na rejareja sh. 15,000/= Tunapatikana Nyegezi Mwanza Karibu WhatsApp 0763772636 popote zitakufikia kwa bei ya tabasamu
  17. S

    Tunashona nguo za kike na za kiume za aina zote

    Habari Wadau, Sisi tunajihusisha na ushonaji wa nguo za aina zote kwanza, Nguo za Harusi ( Suti na Magauni) Uniform za Maoffisi na Mashuleni Mishono ya Vitenge Casual Wear etc Karibuni Ofisi zetu zipo kinondoni Manyanya opposite na American Chips. Mawasiliano 0737610682
  18. H

    Rafiki yangu wa kike ameniletea zawadi ya shati na tai hii ina maana gani?

    Ndugu zangu nimebaki nimedua sielewi kwanini hili limetokea kipindi hiki. Rafiki yangu wa kike wa muda mrefu sana ameniletea zawadi ya shati na tai hii ina maana gani? Wajuvi wa mambo naomba mkuje hapa mweleze nini maana yake.
  19. A

    I miss to love someone

    Habari zenu wanajamii forums, Miezi 6 iliyo pita mahusiano yangu yalivunjika sababu ambazo zilikua juu ya uwezo wangu. Niliamua kujipa mda kuzipumzisha hisia zangu katika swala zima la mahusiano ingawa kwa huu mda ambao nimejipumzisha na telationship nimekua very social na kuwa na rafiki mmoja...
  20. Kuna ubaya chumba cha watoto wa kike kuwa karibu na watoto wa kiume katika ujenzi?

    Ramani niliyonayo nimeipenda ila hii sehemu ya vyumba vya female na male ndio bado naomba ushauri kama hakuna shida au niongee na mchoraji abadilishe.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…