Wapi nitapata soko la mashati ya kike

Nov 14, 2013
67
42
Wakuu poleni na majukumu.

Mimi ni mjasiriamali mdogo niliyejikita katika mradi wa ushonaji. Kimsingi huwa nauza mashati ya shule, nashona kwa oda kwenye shule zinazohitaji na kipindi cha msimu huwa nawauzia mawakala wa Kariakoo.

Kwa sasa nimeanza kushona mashati ya kike ya color combo (mchanganyiko wa rangi) kinachonikwamisha ni soko. Cos nafanya mass production, nahitaji kuuza kuanzia dozen tano yaani PC's 60 na kuendelea.

Naomba msaada wa soko jamani either kwa anayehitaji ama anayefahamu mhitaji. Nakaribisha ushauri pia wa namba Bora ya kufanya marketing kwa bidhaa zangu hizi.

1620391959335.png

 
Pc moja unauza sh ngapi? zinaukubwa gan? na akitokea mtu wa jumla utamuuzia kiasi gan
Ninauza jumla hata hivyo Mkuu. Pc moja kwa small ni tsh. 6,000 na kubwa kwa maana ya large ni tsh 8,000 kwa pc.

Na ninauza kuanzia dozen 5, yaani pc 60.
 
Back
Top Bottom