Anita Kajembe
JF-Expert Member
- Jun 29, 2021
- 215
- 485
Mtoto wa kike tamaa yake kubwa itakuwa ni kupendeza na kuwakoga wenzake. Kama atachomoa hela za kampuni itakuwa ni kwa ajili ya nguo, vikuku vya dhahabu na handbags. Mtoto wa kike kama ni mpenzi atakuwa nae mmoja na ni mara chache sana atamshirikisha katika mambo ya pesa.
Mtoto wa kiume anataka ajulikane kwa mabinti. Binti atakaemringia atampandishia dau. Yuko tayari kumnunulia gari. Hizi ni pesa baada ya yeye kupendeza.
Wazazi wengine huwapa mitaji watoto wao na kuwaasa wasitegemee mali yake. Simu za mwisho wengine huwacha usia mali ipelekwe kwa watoto yatima na wanaishi katika mazingila magumu. Wengine hutoa mali Kanisani au Msikitini.