Rafiki yangu wa kike ameniletea zawadi ya shati na tai hii ina maana gani?

Hashimu lwenje

JF-Expert Member
Oct 2, 2017
415
359
Ndugu zangu nimebaki nimedua sielewi kwanini hili limetokea kipindi hiki. Rafiki yangu wa kike wa muda mrefu sana ameniletea zawadi ya shati na tai hii ina maana gani?

Wajuvi wa mambo naomba mkuje hapa mweleze nini maana yake.
 
Apo unawaza ngono tu wakati rafikio kakuona kwenye kwaya unafit. Ila kwakuwa tushazoea zawadi n mpaka zihusiane na hisia za kimapenz waza tu hivyo
 
Muulize utavaa shati bila suruali?
Maana kaona huna haja ya kujisitiri huko chini.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom