I miss to love someone

Algedo

Member
Jul 24, 2020
98
163
Habari zenu wanajamii forums,

Miezi 6 iliyo pita mahusiano yangu yalivunjika sababu ambazo zilikua juu ya uwezo wangu. Niliamua kujipa mda kuzipumzisha hisia zangu katika swala zima la mahusiano ingawa kwa huu mda ambao nimejipumzisha na telationship nimekua very social na kuwa na rafiki mmoja wa kikr very cute😍😘.

Bad enough she is very lovely and social and mostly very frerly to me na she have a boyfrnd. Nimejikuta tu sasa naamza tna kutamani kuingia kwenye mahusiano nimpende mtoto wa mtu alaf aje anipe pigo moja matata.

Real tokea nijihusushe na mahusiano up side down zimrkua nyingi kiasi kwamba naona bora niendeleh kusubiri wenda mungu anajambo na mm.
 
Subiri kijana punguza nyeg.. huo u-cute wa huyo rafiki yako wa kike usisababishe kikojoleo kusimama na kutaka kuingia huko
 
Kabla ya kurudi kwenye mapenzi, jaribu kuupima moyo wako kwa "KUBET KWA PESA YA KODI" (mpe arsenal ushindi, mpe yanga afunge goli 3, mpe man u ushindi at home ground, bayern munich aongoze halafu achomilewe na afungwe kipindi cha pili, muuwe simba goli 4 hapo kwa mkapa)

Ukiweza hapa, ingia kwenye mapenzi mzima mzima..

Kila la kheri...
 
Hapana aiseh😂😂😂
 
-Kaveli
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom