kijana

Michael Christopher Kijana Wamalwa (25 November 1944 – 23 August 2003) was a Kenyan politician and, at the time of his death, served as the eighth Vice-President of Kenya.

View More On Wikipedia.org
  1. Shadow7

    JamiiForums Tanzania Video ya Polisi akimshambulia kwa risasi kijana wa miaka 13 yatolewa Chicago

    Polisi wa Chicago wametoa picha za afisa aliyempiga risasi mtoto wa miaka 13 kwenye uchochoro wa giza. Video hiyo inaonesha polisi huyo akipiga kelele “dondosha” kabla ya kumpiga risasi Adam Toledo mara moja kifuani tarehe 29 mwezi Machi. Mvulana haonekani kuwa ameshika silaha katika sekunde ya...
  2. luangalila

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania We kijana ulishawahi kuombwa uroda na mdada?

    Katika hali ya kawaida inaonekana ni vigumu girl kuomba mapigo toka kwa kijana barobaro, lakini hutokea kwa trick flani hivi. Mfano mimi nakumbuka nilikuwaga na mahusiano na mdada mmoja Mwananyamala alikuwa ana style yake ya kuomba mapigo, ananipigia simu akidai anaumwa sanaa, basi kidume...
  3. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Ni mavazi gani ukimwona kijana amevaa yanakutambulisha kuwa ni shoga?

    Habari zenu? Mashoga wengi huku Temeke wanavaa pensi za jinzi . Mara nyingi hizi pensi zao zinakuwa na sifa zifuatazo; - Fupi (hazivuki magoti) - Zinabana mwili - Zimetoboka au kuchanika mapajani. Sasa Mimi nimeanza kuconclude kuwa kila kijana ninayekutana naye barabarani amevaa hivi najua ni...
  4. Showio

    JamiiForums Tanzania Mambo muhimu anayopaswa kuzingatia kijana katika maisha yake

    Naam! Nawaletea neno la siku; tupo likizo kidogo. 1. KUWA NA MARAFIKI AMBAO WANA FAIDA KATIKA MAISHA YAKO: Unaweza kuta mtu katika simu yake ana marafiki zaidi ya 200 lakini hawa wote anapopata tatizo au shida akianza kuomba msaada katika hao marafiki hata shilingi laki 5 haifiki, sasa kuna...
  5. W

    JamiiForums Tanzania Kijana jitambue: Fanya kitu sahihi kwa muda sahihi, ishi maisha yako

    Habari zenu wana JF, Niende kwenye mada moja kwa moja Mimi sio mgeni humu ila nimetumia ID mpya so niwatoe hofu ya hiyo username yangu. Mara nyingi vijana hawatambui ni vitu gani wanapaswa kufanya na kwa wakati gani. Kijana tambua kuwa muda unaoutumia sasa una matokeo mbeleni Ujana una...
Back
Top Bottom