kijana

Michael Christopher Kijana Wamalwa (25 November 1944 – 23 August 2003) was a Kenyan politician and, at the time of his death, served as the eighth Vice-President of Kenya.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Mapenzi ya mwanasiasa kijana yalivyompa uchizi mwanaharakati wa Twitter

    Hakuna anaemtumia huyu dada Maria zaidi ya Maria na tabia zake na ushangingi wake mwenyewe na tumbo lake. Maria alikuwa hawara kwa mwanasiasa fulani akahaidiwa ndoa halafu dakika ya mwisho akatoswa na kuolewa Mwanamke mwingine. Kichaa kilianza hapo. Wazee wa Slip way mnakumbuka enzi zile...
  2. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Leo nakupa chimbo wewe kijana uliyechapwa na maisha. Nenda sehemu hii utakuja kufanikiwa

    Habari ndugu zangu! Lengo la Uzi huu si kujisifu, na wala hauna maudhui ya kukashifu harakati za vijana. Usiangalie lugha iliyotumika. Umeomba kazi mara nyingi umekosa? Umezunguka mahali pengi nchini kufanya ujasiriamali bila mafanikio? Umekosa elimu ya kukuwezesha kuingia kwenye soko la ajira...
  3. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Chupaya aliuawa na kijana wake wa pekee kisa ni mapenzi

    Chupaya alisoma masomo ya biashara pasi kujua huko mbele kutakuwaje. Aliajiriwa serikalini kwa muda mrefu akiwa Afisa biashara wa Wilaya. Siku moja katika kutoa leseni za biashara alikutana na Mhindi aliyemuomba wawe washirika katika biashara ya kupeleka matunda na mboga Arabuni. Mchakato wa...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Kijana wa Marekani atafuta ndoto ya Kung Fu katika Mlima Wudang

    Juni 22, katika Mlima wa Wudang, mjini Shiyan, China, "kocha wa kigeni" Jack alichukua wanafunzi wake kufanya mazoezi ya Tai Chi. Jack anatoka Marekani na amejifunza Kung Fu katika Mlima Wudang kwa miaka 12. Hivi sasa, anawajibika kufundisha Kung Fu kwa wanafunzi wa kigeni.
  5. nashukuru mzima

    JamiiForums Tanzania Kijana aliyemaliza chuo afanye nini awe Tajiri

    Habari.. Mimi ni kijana ninafanya kazi kwa shirika Mkataba wangu unatarajia kuisha mwaka huu mwezi wa 12. Naombeni Wanajf tuambizane biashara ipi kwa kijana anaweza kufanya na kuingiza Faida kubwa na akasahau issue za kuajiriwa...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Hakikisha unasoma ushauri huu kijana

    Maisha yanakwenda kasi mno, speed ambayo hata wewe inafika mahala unakosa utambuzi. Maisha mazuri na bora ndio lengo la kila mmoja hapa kwanzia tukiwa wadogo ndio wiimbo tumesikia mpaka sasa tumeshakua tunapata na nguvu ya kujituma kuyatengeneza. Muhimu kama kijana; 1. Hakikisha umeweka pesa...
  7. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Kijana wa miaka 24 jela maisha kwa kumbaka mtoto wa miaka 9

    Juwai Magoda, mwenye umri wa miaka 24 Mkoani Iringa amehukumiwa kifungo cha maisha gerezani na faini ya Tsh milioni moja baada ya kupatikana na hatia ya ubakaji kwa binti wa miaka 9 aliyekuwa akisoma darasa la pili. Hukumu hiyo imetolewa na Mahakama ya Wilaya ya Iringa, inadaiwa Magoda...
  8. Donnie Charlie

    JamiiForums Tanzania Mkazi wa kijiji cha Bwira Juu kata ya Selembara wilaya ya Morogoro anadaiwa kuuawa kwa kupigwa risasi na polisi wa kituo cha polisi Dala

    Kijana ambaye jina lake halijatambulika mkazi wa kijiji cha Bwira Juu kata ya Selembara wilaya ya Morogoro anadaiwa kuuawa kwa kupigwa risasi na polisi wa kituo cha polisi Dala. Inaelezwa kuwa askari huyo alikuwa amekwenda kumkamata kijana huyo nyumbani kwake baada ya mkewe kumshtaki polisi...
  9. TheChoji

    JamiiForums Tanzania Kama wewe ni kijana na una sifa zifuatazo njoo hapa tujipongeze!

    hujatokea kwenye familia ya kitajiri (hujarithi mali) huna jina wala umaarufu wowote mjini hujawahi kupigiwa chapuo sehemu yoyote huna kipaji (sio msanii, mchezaji nk) hujawahi kufanya biashara haramu hutumii ndumba humtegemei mtu yoyote (sio marioo) hujawahi kudhulumu mali ya mtu Lakini...
  10. P

    JamiiForums Tanzania Sarakasi za Mbunge kijana na somo kwa vyama vya siasa wakati wa uteuzi majina ya wabunge

    Nimeiangalia video ya Mheshimiwa mbunge wa Arumeru namna alivyopanda juu ya meza yake na kusimama miguu kichwa chini. Siwezi kusema sikushangazwa sana kama wengi walioiona video hiyo kwa mara ya kwanza. Wanaonekana wabunge waliokaa jirani yake wanashangaa wakicheka kwa kustaajabishwa. Hata sauti...
  11. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Marekani: Kijana aua watoto 19 wa shule ya msingi kwa kuwafyatulia risasi darasani

    Kijana mwenye umri wa miaka 18 ameua Wanafunzi 19 kwa kuwafyatua risasi katika Shule ya Msingi ya Robb Elementary iliyopo Texas, akifanya tukio hilo kwa kuhama darasa hadi darasa, kabla ya vyombo vya usalama kumthibiti na kufanikiwa kumuua na yeye pia. Seneta wa Jimbo hilo, Roland Gutierrez...
  12. aise

    JamiiForums Tanzania Huu hapa mchongo wa kufanya kwa kijana apate hela ya kula

    Huu mchongo ni kwayule kijana ambaye amepinda na maisha ya mtaani. Kuna michongo mingi ya kufanya ili "kusogeza siku" huku ukisubiri inshu ya maana. Huu ni mmoja wapo. KUGONGA KOKOTO. KUGONGA KOKOTO ndoo moja ni 200, kwahiyo ukikomaa kwa siku wastani unaweza kugonga ndoo 30. 200 ×...
  13. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Muda Mwingine Ni Bora kudeti na demu wa Kawaida sura ya Baba ili upate Muda mzuri wa kujenga Future Kama kijana

    Kiufupi mapenzi hayana Fomula Ni Bora kudeti na demu wa kawaida sura ya Baba kipindi ukiwa katika hard moment ili kusoma upepo wa. Maisha na kuitafuta Kesho iliyo Bora . Sura ya Baba hawana gharama Wako deep . katika mapenzi Hata akikupiga chini hakuna kuumia Hi itakusaidia kufocus vizuri...
  14. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Zipi sifa za kijana wa hovyo?

    Mpaka kuitwa kijana wa hovyo unabidi kuwa na sifa zipi?
  15. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Kuibuka kwa bodaboda wazee, kijana unajifunza nini?

    Habari! Binafsi ninapomwona bodaboda mtu mzima mwenye miaka 50-60 napata mshituko kidogo na kuanza kuiogopa kesho yangu. Najiuliza maswali yafuatayo; 1. Kayumba ukumbwani mpaka kaamua kuingia kwenye kazi za vijana wanaoishi vijiweni kutwakutwa kwa utani na matusi? 2. Atafanya hiyo kazi mpaka...
  16. N

    JamiiForums Tanzania Akacha mechi kwasababu hataki kuunga mkono vitendo vya kishoga

    Kiungo wa Kimataifa wa Senegal anayecheza PSG ya Ufaransa Idrissa Gana Gueye (32) imebainika kuwa alikosa game ya PSG dhidi ya Montpellier Jumamosi iliyopita sababu hakutaka kuvaa jezi zenye namba zenye rangi za upinde (rainbow flag). Idrissa inaeleza kuwa hakutaka kucheza mechi hiyo sababu...
  17. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Jamii ya leo wakikuona kijana unajitambua sio mtu wa totozi wala mlevi wa pombe na sigara wanabaki kukuombea mabaya

    Wakuu mimi hapa nimekaa Mtaani Almost Two years lakin that time nilikuwa Chuo naongeza Maarifa ya kitu flan. Sasa Mimi hapa Kama kijana nimeamua kumtanguliza Mungu na kujituma katika Maisha yangu. Maaajabu nimeanza kuchukiwa na Familiya yangu . Lakini yote hayo Ni kwasababu nimeanza kumjali...
  18. Dr. Zaganza

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Kijana Wa Matangazo Kwa Television

    Habari Wakuu, Nahitaji kijana anayeweza kuzielezea vyema bidhaa zetu za ngozi kwenye vipindi vya television na radio ambavyo tunaalikwa. Akiwa Dar au Kibaha ni jirani na vituo vya television tunavyofanya navyo kazi. Piga 0713-039 875
  19. v0il0r

    JamiiForums Tanzania Kijana mchapakazi, mwanifu na mbunifu

    .
  20. R

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kijana mwenzangu mkoa wa Iringa muaminifu na muona fursa tuje tufanye jambo

    Habari. Mimi nina mpango wa kuhamia Iringa. Ni jinsi ya kiume. Natamani sana kufahamiana na wenyeji, mtu mchakarikaji na mwenye maono na mwenye hofu ya Mungu. Sijali jinsi wala dini. Yoyote karibu. Kwa mawasiliano zaidi pm iko wazi
Back
Top Bottom