Tuwalipe vizuri Wafanyakazi wa majumbani mwetu

Richard mtao

Senior Member
May 13, 2018
198
229
Wana jamvi habari za usiku huu,

Leo nimeona nilete hii habari kwenu, najua fika kwa wengi wenu sio habari mpya na kwa wengine na habari mpya kabisa.

Na kuna wengine habari hii sio mpya ila wamejisahau kiasi kwamba wanabana na kuvunja sheria na taratibu zilizowekwa na serikali kuhusu kima cha chini cha mshahara cha wafanyakazi sekta binafsi.

Msisitizo wangu mkubwa upo kwa wafanyakazi wa ndani ambao wamekuwa msaada mkubwa sana kwetu katika kuangalia familia zetu, mali zetu na vingine vya thamani.

Hivyo basi ni muhimu kuwalipa vizuri ili wafanye kazi zao kwa uaminifu mkubwa na kuendelea kutuhudumia vizuri.

Tusiwadhulumu kwakua wengi wanafanya kazi hizi kwasababu mbalimbali za kimasha.

Naomba kuwasilisha.🙏

1672387690-TANGAZO KUHUSU KIMA CHA CHINI CHA MSHAHARA KATIKA SEKTA BINAFSI_page-0001.jpg
1672387672-TANGAZO KUHUSU KIMA CHA CHINI CHA MSHAHARA KATIKA SEKTA BINAFSI_page-0002.jpg
1672387659-TANGAZO KUHUSU KIMA CHA CHINI CHA MSHAHARA KATIKA SEKTA BINAFSI_page-0003.jpg
1672387625-TANGAZO KUHUSU KIMA CHA CHINI CHA MSHAHARA KATIKA SEKTA BINAFSI_page-0004.jpg
1672387615-TANGAZO KUHUSU KIMA CHA CHINI CHA MSHAHARA KATIKA SEKTA BINAFSI_page-0005.jpg
1672387566-TANGAZO KUHUSU KIMA CHA CHINI CHA MSHAHARA KATIKA SEKTA BINAFSI_page-0006.jpg
1672387536-TANGAZO KUHUSU KIMA CHA CHINI CHA MSHAHARA KATIKA SEKTA BINAFSI_page-0007.jpg
1672387413-TANGAZO KUHUSU KIMA CHA CHINI CHA MSHAHARA KATIKA SEKTA BINAFSI_page-0008.jpg
1672387388-TANGAZO KUHUSU KIMA CHA CHINI CHA MSHAHARA KATIKA SEKTA BINAFSI_page-0009.jpg
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom