Kijana wa kusimamia mradi wa ufugaji

MZAWA JF

JF-Expert Member
Apr 4, 2014
4,120
3,347
Habari wakuu, Nina plan ya kuanzisha mradi wa kufuga nguruwe, mbuzi na kuku wa kienyeji, Niko dodoma, nahitaji kijana mwamininfu mwenye taaluma ya mifugo at least certificate level, awe mvumilivu (not too demanding) mwamininfu ambaye atakuwa anaishi hapo hapo, gharama za chakula na matibabu ya kawaida ni juu yangu.

Waliosoma sana mimi siwataki manake wataanza kulinganisha maslahi na marupurupu ya serikalini wakt mm natumia hela zangu na sikusanyi Kodi. Anayeelewa atajua kwa nn nimeandika hvyo. Nakaribisha mawazo.
 
Habari wakuu, Nina plan ya kuanzisha mradi wa kufuga nguruwe, mbuzi na kuku wa kienyeji, Niko dodoma, nahitaji kijana mwamininfu mwenye taaluma ya mifugo at least certificate level, awe mvumilivu (not too demanding) mwamininfu ambaye atakuwa anaishi hapo hapo, gharama za chakula na matibabu ya kawaida ni juu yangu, aje inbox tuyajenge! Waliosoma sana mm siwataki manake wataanza kulinganisha maslahi na marupurupu ya serikalini wakt mm natumia Hela zangu na sikusanyi Kodi. Anayeelewa atajua kwa nn nimeandika hvyo. Nakaribisha mawazo
Jinsia
 
Habari wakuu, Nina plan ya kuanzisha mradi wa kufuga nguruwe, mbuzi na kuku wa kienyeji, Niko dodoma, nahitaji kijana mwamininfu mwenye taaluma ya mifugo at least certificate level, awe mvumilivu (not too demanding) mwamininfu ambaye atakuwa anaishi hapo hapo, gharama za chakula na matibabu ya kawaida ni juu yangu.

Waliosoma sana mimi siwataki manake wataanza kulinganisha maslahi na marupurupu ya serikalini wakt mm natumia hela zangu na sikusanyi Kodi. Anayeelewa atajua kwa nn nimeandika hvyo. Nakaribisha mawazo.
Haya mambo sitakagi kusikia, kama huna Muda wa kusimamia nakushauri acha kabisa hizo pesa wekeza hata kununua viwanja.

Projects inahitaji wewe uwepo si kwa sababu ya wizi hapana kwa sababu wewe ndio mwenye İdea unapaswa wewe kusimami wazo lako, huyo kijana hata awe mwaminifu kaisi gani bado haisaidii kitu mkuu, utakuja uniambie siku 1
 
Hongera sana mkuu, naomba ukifikia hatua ya kununua chakula cha mifugo tuwasiliane nikupe bei za kiwandani
 
Haya mambo sitakagi kusikia, kama huna Muda wa kusimamia nakushauri acha kabisa hizo pesa wekeza hata kununua viwanja.

Projects inahitaji wewe uwepo si kwa sababu ya wizi hapana kwa sababu wewe ndio mwenye İdea unapaswa wewe kusimami wazo lako, huyo kijana hata awe mwaminifu kaisi gani bado haisaidii kitu mkuu, utakuja uniambie siku 1
Nakubali sana hii
Kama unampa mtu mradi wako ausimamie, maana yake umemfungulia biashara yeye na sio yako tena
Hapo jamaa atakula kiulaini
Hakuna mtu wa kufanya kazi kwa mtu kwa uadilifu never
 
Hapa naunga mkono hoja kilimo na ww uwepo sako kwa bako kilimo cha kupokea taarifa na kutuma hela utaingia hasara tu
 
Haya mambo sitakagi kusikia, kama huna Muda wa kusimamia nakushauri acha kabisa hizo pesa wekeza hata kununua viwanja.

Projects inahitaji wewe uwepo si kwa sababu ya wizi hapana kwa sababu wewe ndio mwenye İdea unapaswa wewe kusimami wazo lako, huyo kijana hata awe mwaminifu kaisi gani bado haisaidii kitu mkuu, utakuja uniambie siku 1
Nijambo jema mtu kuwepo, Je mtu mwenye biashara tano tofauti ataweza zisimamia yeye mwenyewe?.
 
Nakubali sana hii
Kama unampa mtu mradi wako ausimamie, maana yake umemfungulia biashara yeye na sio yako tena
Hapo jamaa atakula kiulaini
Hakuna mtu wa kufanya kazi kwa mtu kwa uadilifu never
Unawezaje tengeneza vyazo tofauti vya mapato katika biashara, kama kila biashara itahitaji uwepo wako?. Ndio maana wafanyabiashara wengi wanaajili Wahindi kisa sie wabongo sio waaminifu.
 
Uaminifu ni kuzaliwa nao na malezi
Wengi wa waswahili hawana malezi mazuri, ndio maana nikasema hivyo

Acha wahindi hata wakenya wengi wanaweza kufanya kazi kwa uadilifu kuliko wabongo

Ila ukiajiri hao utasikia ooh kwani sisi hatuwezi?
Lakini ukweli wengi ni makanjanja yaani kabla hujamuajiri anawaza kukupiga
 
Nimekuelewa vzr sana mkuu
 
Back
Top Bottom