Kijana hakikisha unatengeneza misingi bora ya kiuchumi usije kuwa tegemezi kwa wanao uzeeni

TheForgotten Genious

JF-Expert Member
Jan 18, 2014
995
1,508
Huwa nasema na leo narudia kusema tena

"Kwa sisi ambao leo hii ni vijana tuna watoto ama tunatarajia kuwa na watoto, hakikisha unatengeneza misingi bora ya kiuchumi, kwa faida yako na wanao, usijenge fikra za kuja kuwa tegemezi kwa watoto wako hapo baadaye, watoto wako waje wakununulie new Van si sababu huwezi kununua no, bali kwa sababu they feel proud to reward you, wakulipie bili za matibabu si kwa sababu huwezi no bali kwa kuwa wanaiona fahari ya uwepo wako na wewe kuwa baba bora kwao, usijeanza kulaumu baadae watoto hawakujali wakati nao maisha ungaunga".
 
Kuna formula moja watu weusi hawaijui. IPO HIVI mzazi ni jukumu lake kumhudumia mtoto ila mtoto ni option yake kumtunza mzazi hana Deni kwa mzazi wake.
Bongo ni Tofauti na usiombe uwe mwenyewe ndio umefanikiwa kuanzia familia ukoo wote jicho kwako
 
Back
Top Bottom