Michael Christopher Kijana Wamalwa (25 November 1944 – 23 August 2003) was a Kenyan politician and, at the time of his death, served as the eighth Vice-President of Kenya.
Wadau habarini za muda huu nimeleta hii mada mbele zenu tujadili. Nimekua nikiona maada mbali mbali humu watu wenye uwezo mkubwa kufikiri wakizileta huku na watu wamekuwa wanazipondea mfano mtuu anaweza kuuliza kwa mtaji wa 10m nifanye biashara gani watu wanaishia kumuambia oo sijui anunue...
Inawezekana Nina pasaka chache na eid chache humu JF lakini kwa uchunguzi wangu mke bora hayupo JF, wanawake wengi wapo JF kwa ajili ya stress zao za mahusiano au ndoa.
Embu niambie Kuna member gani waliwahi kukutana JF mpaka wakaoana, na kuwa na familia kabisa, mtakaonijibu mje na ushaidi...
Huwa nasema na leo narudia kusema tena
"Kwa sisi ambao leo hii ni vijana tuna watoto ama tunatarajia kuwa na watoto, hakikisha unatengeneza misingi bora ya kiuchumi, kwa faida yako na wanao, usijenge fikra za kuja kuwa tegemezi kwa watoto wako hapo baadaye, watoto wako waje wakununulie new Van...
Wana jamvi habari za usiku huu,
Leo nimeona nilete hii habari kwenu, najua fika kwa wengi wenu sio habari mpya na kwa wengine na habari mpya kabisa.
Na kuna wengine habari hii sio mpya ila wamejisahau kiasi kwamba wanabana na kuvunja sheria na taratibu zilizowekwa na serikali kuhusu kima cha...
Ingekuwa poa sana kama mngefuatilia mwenendo wake. Maana katika michezo 19 ya Ligi yao pale Kenya mpaka sasa, tayari ameshatupia goli 19!! What a striker katika umri wake huo wa miaka 21 tu!!
Dogo ana nguvu, anafunga kwa miguu yote!! Imagine ameanza kucheza ligi kuu akiwa bado ni mwanafunzi wa...
Habari rafiki!
Je, wewe ni kijana mwenye kipaji cha kuimba, kupiga piano, au kupiga gitaa? Ikiwa ndiyo, tuna furaha kukualika ujiunge nasi katika safari ya kuendeleza kipaji chako!
Tunayo akaunti ya TikTok inayoitwa B&G Entertainment ambayo inakusudia kuwawezesha vijana wenye vipaji mbalimbali...
Kijana Elpidius Edward (22), mkazi wa Mtaa wa Katundu Wilaya ya Geita anayedaiwa kuvamia na kufanya uharibifu katika Kanisa Kuu la Kiaskofu Jimbo Katoliki la Geita amefikishwa mahakamani akikabiliwa na makosa mawili ya kuharibu mali.
Mshtakiwa huyo aliyefikishwa mahakamani jana Jumatatu Machi...
Kwa leo sitaandika mengi.
Najua tambo zako za sasa kuwa katika Serikali hii ya sasa mnaweza fanya lolote na hakuna wa kuwafanya kitu.
Najua ulivyojigeuza Serikali na kutaifisha mali na pesa za kijana huyo na ukaahidi utapiga nae hesabu na kumrejeshea kinachozidi na hujafanya hivyo toka June...
Anatakiwa kijana mwenye wazo la Biashara linaloendana na taaluma yake ambapo ana hakika litaleta faida, anitafute ni muunganishe afanye hiyo Biashara mwenyewe; (faida watagawana kwa makubaliano)
Biashara iwe halali na isiwe ya Kilevi na pia isiwe mikopo umiza
Kijana Godson Mbwambo (30) mkazi wa Pasua Matindigani Mjini Moshi amefariki dunia kwa kujinyonga na kuacha ujumbe unaosemekana aliuandika ukutani akieleza sababu za kifo chake wakuulizwa ni mama yake. Mwenyekiti wa Mtaa wa Matindigani, Amosi Chibago ameeleza tukio hilo.
Habari kijana under 25.
Kama bado upo Chuoni jitahidi usome kwa bidii uwe nondo kwenye proffessional unayosomea.
Ila pia uwe na extra callicular ya kukufanya ujulikane na kukujengea jina kubwa . Hakikisha mpaka unafika 30. Uwe maarufu kwa ujuzi fulani.
Mimi nakushauri kama unatoka ukoo ambao...
Heri ya siku njema ya leo.
Mimi ni kijana wa miaka 24 naelekea kutimizia 25 hivi karibuni. Ninasoma chuo kikuu mwaka wa nne(wa mwisho).
Nimewaona wengi ambao wangeweza kunishauri vitu vya msingi vya kuwa navyo umri huu kabla muda haujaniacha, ila kwa heshima ya madini yatokayo JF nimeamua kuja...
MAVUNDE AFANIKISHA HUDUMA YA BURE YA WENYE MATATIZO YA MACHO, KIJANA ALIYEACHA MASOMO KWA TATIZO LA KUTOONA APONA. AAHIDI KUMSOMESHA.
Mbunge wa Jimbo la Dodoma Mjini Mhe. Anthony Mavunde kwa kushirikiana na Lion Club tarehe 24 na 25 waliendesha huduma ya kambi ya macho katika Kituo cha afya...
Habari JF member,
Nisiwe mwingi wa maandishi niingie moja kwa moja katika mada lengwa kwaajili ya kuwekana sawa au kujuzana baadhi ya mambo.
Siku za karibuni kumekuwa na wimbi kubwa la vijana kuanzisha mada mbalimbazi za kuhamasishana au kupinga kuoa, hizi mada ukizisoma kwa undani unabaini...
1. Ni vijana wadogo hawajafikisha 35 years old, infact majority wako 30 and under.
2.Financially insecured,ama washawahi kuwa na experience iliyowafanya wafeel vulnerable financially.
3.Wachoyo hata kwa mambo madogo kama sukari, LOL.
4. Most ni introverts wanao struggle ku form relationships...
Karibu.....
........
UTOFAUTI WA HULKA NA MIFUMO YA MAISHA, ISIWAFANYE MKAISHI KWA KUTETEA MIFUMO KWA "KILA MMOJA NI TOFAUTI NA MWENZAKE "
TUMEKUWA MANABII NA TUNAOISHI KWA NGUVU ZA MISEMO NA USHUHUDA PAMOJA NA TAFSRI ZA NDOTO "SI KWA UHALISIA WA MAISHA TENA"
TUNAHITAJI ZAIDI YA CHAKULA NA...
Wakuu kwema!
Napenda kuwashukuru nyote Kwa namna ya pekee. Mmekuwa sehemu muhimu katika kazi zangu na Maisha yangu. Mungu awabariki Mno.
Katika Kampuni yangu ya Taikon Publisher ambayo inahusika na mambo ya Uandishi katika program yetu ya WritingLife Coaching Programs ambayo imesaidia Vijana...
Wazee mtajiongeza wenyewe kuna hot cake moja nimerushiwa hapa ya mke wa mheshimiwa kijana yule wa Arusha anayependa kumpost sana mke wake amepigiwa mke wake aisee kwa ninavyomjua yule mheshimiwa atazimia muda si mrefu.
Hawa mademu ukiwapenda ni shida usipowapenda ni shida yaani cha msingi demu...
Form four results DIV 3 YA 25 Ponts
CIV =C
HIST =D
GEOG =D
KISW =C
ENG = D
ELIMU/D/KIISLAM =C
ARABIC = D
BIO = D
B/MATH= F
Ajiandae kwa wapi? Ualimu anaweza kuchaguliwa?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.