kijana

Michael Christopher Kijana Wamalwa (25 November 1944 – 23 August 2003) was a Kenyan politician and, at the time of his death, served as the eighth Vice-President of Kenya.

View More On Wikipedia.org
  1. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Zamani kuoa Mzungu ilikuwa Dili lakini siku hizi kijana usije ukajichanganya.

    Hamjambo! Zamani kidogo nchi yetu ilikuwa maskini Sana. Yaani ninaposema Maskini namaanisha Maskini Mno, fukara, apeche Alolo. Kama huelewi nazungumzia nini nasi nikusaidie kuunda picha kichwani Mwako. Fikiria zamani kuwa na Luninga ikionekana ni Tajiri. Fikiria kuwa na baiskeli au Pikipiki...
  2. Kommando muuza madafu

    JamiiForums Tanzania KIJANA MDOGO AJENGA GHOROFA

    Hii itutie wivu vijana wote tunaopambana kwani kijana mwenzetu amefanikiwa, nasi tupambame huku tukimtanguliza Mungu ili tufanikiwe. https://youtu.be/GdOnFBCH0PY?si=KeHWVeJMSfvWW1J2
  3. Juma Wage

    JamiiForums Tanzania "Aliou Sawadogo" kijana wa Burkina Faso aliyeitungua "Drone" ya Ufaransa kwa manati

    Novemba 24, 2021 Kijana wa miaka 13 raia wa Burkina Faso, Aliou Sawadogo akiwa na manati yake porini akiwinda ndege, aliona kitu kikiambaa angani. Sawadogo akatoa jiwe kutoka katika kaptula yake kisha akaliweka katika kigozi cha manati na kuanza kutafuta shabaha. Akavuta pumzi na kuzishusha...
  4. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Ewe kijana Mpananaji Mpira na Mapenzi visikupotezee Mda wako

    Hii ni maalumu kwa hustlers yaani vijana wapambanajj wenye ndoto zao za kufika mbali kimaisha, Kuna vitu lazima ukate minyororo ili upate utulivu wa akili katika kufanya Mipango yako.... Miaka 25 mpaka 40 ni miaka ya kuvunja jasho la damu. Ni miaka ya kutafuta kwa namna yoyote ile. trial and...
  5. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Tabora: Mathias Maganga, adaiwa kufia mahabusu ya polisi

    Na Abdallah Amiri – Igunga Mathias Maganga (31) mkazi wa Kitongoji cha Kinambuga Kijiji cha Majengo, Kata ya Chabutwa, Tarafa ya Simbo Wilaya ya Igunga mkoani Tabora anadaiwa kufia Kituo kidogo cha Polisi Simbo. Baba wa marehemu, Maganga Hanga (67) akizungumzia kifo cha mwanawe juzi, alisema...
  6. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Kijana wa kikristo anatakiwa kukaa kwao hadi atakapooa hata kama ni miaka 50. Umasikini wa wazazi ndio unapelekea watu wakimbie kutafuta maisha

    Kwa Mujibu wa maandiko mtu huoa kutokea kwao sio magetoni au alipopanga au kujenga. Mzazi wa Kikristo anatakiwa kuwa na utajiri sio tu kuhudumia familia bali urithi kwa wajukuu wa watoto wake. Mithali 13:22 Mtu mwema huwaachia wana wa wanawe urithi; <br>Na mali ya mkosaji huwa akiba kwa...
  7. JGimbuya

    JamiiForums Tanzania Anahitajika kijana wa salon Dar, Tegeta

    Naitaji kijana wa Salon ya kiume, ipo Tegeta Azania. Kwa mazungumzo zaidi nicheki kwa namba 0768370986.
  8. kindikinyer leborosier

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wana MMU, kijana wenu yanataka kunishinda tena, nataka sasa kuwa 'senior bachelor'

    Hello bila shaka mu wazima, poleni kwa wale wenye changamoto za hapa na pale, Mola awape ujasiri wa kukabiliana nao na kuushinda! Niende moja kwa moja kwenye mada, nina mchumba wangu, nimemtambulisha mpaka nyumbani na kwa ndugu zangu, sijawahi kufanya hivi kwa mwanamke yeyote, hiki ni kiashiria...
  9. Gwili

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kijana ambaye bado hujaingia kwenye ndoa usithubutu kufanya makosa haya

    Naongea na vijana wenzangu wale ambao bado hawaja ingia kwenye ndoa bado. Kabla ya kumfuata binti hujamwambia kusudi lako, usisukumwe kumtongoza binti kwa kusukumwa na tamaa za mwilini, maana hisia zako zikikuongoza kumfuata binti utafanya maamuzi ambayo baadaye unaweza kujutia. Kuna kutokea...
  10. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Fanya haya mambo 5 ili uzeeke kijana

    Watu wengi ni wazee lakini vibogoyo, wamepinda, hawaoni, hawanusi, wanatembea na chupa za mikojo na vidonge vya rangi mbalimbali. Huu uzee unagharama sana. Kuna mambo ukianza kufanya leo yanaweza kukusaidia ukazeeka huku huku ukiwa unanguvu na kila kitu kiko vizuri. 1: Asilimia kubwa ya vyakula...
  11. JITU BANDIA

    JamiiForums Tanzania Doto Mashaka Biteko: Kutoka Ualimu, Ubunge atakuja kuwa Waziri Mkuu wa kwanza kijana

    Hizi ni tetesi/hisia zangu za ndani kabisa ,zimeniambia hivyo.... Unabii Huwa haupuuzwi... Unabii ukijidhihirsha... Ndio huitwa unabii... Mwalimu huyu Grade 111A kutoka katoke teacher's college 1999 na Mbunge huyu wa bukombe-Ushirombo 2015 to date. Amekuwa na upepo nzuri sana wa kisiasa na...
  12. M

    JamiiForums Tanzania TANZIA RIP Kijana Mpambanaji Oscar Mtweve. Poleni Wanafamilia na Ndugu jamaa wote wa JF

    Nimepokea kwa masikitiko Makubwa sana taarifa za Kifo cha Huyu Rafiki yangu na mwana JF mwenzetu. Dunia tunapitia ama kweli😭😭😭
  13. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Kijana Msomi asie na ajira kamteka kimapenzi mtoto wa kigogo, Anataka kumpa mimba ili apate ajira / mtaji , Ni njia sahihi ?

    Kijana ana degree na masters Kwa sasa bado yupo kitaa anauza duka la mahitaji ya nyumbani Kwa miezi kama nane hivi yupo kwenye mahusiano ya kimapenzi na binti mwenye miaka ambae kamaliza moja ya kozi undergraduate, hivi karibuni ndio kajua kwamba binti ni mtoto wa kigogo mzito tu serikalini...
  14. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Kucheza mpira kuna uhakika zaidi kuliko kuimba Bongo Flava. Ewe kijana ama mzazi mwenye kijana, Mpira Ruksa ila Bongo Flava iwe burudani tu

    Ni ushauri kwa vijana na wazazi wenye vijana ambao wanataka kuingia kwenye haya mambo, Kwa nchi yetu tuwaase zaidi vijana wanaotaka kucheza mpira kuna chance nzuri ya kufanikiwa ila hawa wanaotaka kuimba watafute shughuli zingine, mziki waufanye kwa burudani tu maana chance yake ni ndogo sana...
  15. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Lucas Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yake

    Kwa siku za hivi karibuni nimekuwa nikisoma nyuzi nyingi za huyu kijana mzalendo na kupata moyo kwamba nchi bado ina vijana wazalendo. Komredi Lucas mwashambwa bila kuchoka amekuwa akishusha nondo nzito nzito na kuwaacha wapinzani wa Dr Samia Suluhu Hassan wakitapatapa. Hii inaashiria nini...
  16. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Hivi kijana unakaaje mjini halafu unakosa vitu hivi?

    HIVI KIJANA UNAKAAJE MJINI ALAFU UNAKOSA VITU HIVI? Anaandika, Robert Heriel Huwaga nashangaaga Sana. Kijana unakaaje mjini alafu unapiga kelele na kulalamika kuwa hakuna connection na Maisha magumu ilhali unakosa vitu hivi? Ni kwamba haujui umuhimu wake? Haya sitaki kukuchosha; 1. Huna...
  17. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ewe kijana usikubali kuoa au kuwa katika mahusiano na binti anayeigiza kukupenda.

    Habari Kwa nchi za Afrika Tanzania ikiwemo kuna trend kubwa ya wanaume kufa mapema kuliko wake zao. Wakati naishi Uswahilini nyumba nyingi nilizopanga au nyumba za majirani nyingi hazina wanaume (baba mwenye nyumba). Hii yote sababu kuu ni wanaume kujiingiza katika mapenzi au ndoa na wanawake...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Kijana Mzalendo amtuhumu Chongolo kuwa chawa wa DP World

    Kijana Mzalendo Nkindikwa David amemvaa Katibu Mkuu wa CCM, Chongolo kushabikia Mkataba wa Bandari licha ya kupingwa kila kona ya nchi. Niwaombe watanzania tuendelee kushikamana kutetea rasilimali zetu na kamwe tusikubali kugawanyishwa na mtu au kikundi cha watu kwa misingi ya dini, itikadi za...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Kijana wa kiherero alivyowatembezea mkono Vasco Da Gama kwenye pwani ya Namibia karne ya 14

    Mzuka wanajamvi! Kati ya makabila yanayopenda na kuthamini Ng'ombe kupindukia ni Herero Namibia, Fulani (Nigeria, Niger, Guinea, Mali, CAR na western Sudan, Maasai, Sukuma na Tutsi. Vasco Da Gama aliandika walipokaribia pwani ya Namibia wakitokea Goa India baada ya kutafuta trade route ya...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Kijana mzalendo kuiburuza serikali mahakamani mkataba DP

    KUSUDIO LA KIJANA MZALENDO DAVID LEVI NKINDIKWA KUFUNGUA KESI MAHAKAMANI KUPINGA MKATABA WA BANDARI. Ndugu waandishi wa habari, leo tarehe 5/8/2023 nimewaita ili kuujulisha umma wa watanzania dhamira yangu ya kufungua kesi Mahakamani kupinga mkataba wa bandari kwenye baadhi ya vipengele na...
Back
Top Bottom