Hivi kijana unakaaje mjini halafu unakosa vitu hivi?

Robert Heriel Mtibeli

JF-Expert Member
Mar 24, 2018
21,341
51,907
HIVI KIJANA UNAKAAJE MJINI ALAFU UNAKOSA VITU HIVI?

Anaandika, Robert Heriel

Huwaga nashangaaga Sana. Kijana unakaaje mjini alafu unapiga kelele na kulalamika kuwa hakuna connection na Maisha magumu ilhali unakosa vitu hivi?
Ni kwamba haujui umuhimu wake?

Haya sitaki kukuchosha;

1. Huna kitambulisho cha taifa(namba za NIDA) wala kitambulisho cha Kura.
Hivyo vitambulisho vyote ni muhimu. Usiwe mjinga. Hivyo ni vitambulisho muhimu ambayo vinatakiwa Wakati wowote wa kuomba kazi.

2. Reference
Sijui wanaitwa wadhamini au tuseme Watu wanaokujua.
Kijana ni lazima uishi na watu vizuri. Uaminifu ni kitu kikubwa katika Maisha.
Jenga uaminifu kwa Watu. Kama umesoma chuoni tafuta Jenga urafiki na wakufunzi wako ambao baadaye unaweza kuwatumia kama reference kwako.
Usijesema huna reference sasa nani atakuamini na kukuajiri.

3. Akaunti kwenye mitandao ya kijamii yenye majina yako Halisi na shughuli zako.
Hii nazungumzia nikiwa na uzoefu nalo, yaani Mimi ni Shahidi Kwa hili. Unafanya Biashara au Kampuni wanakuja wateja iwe Kwa kukupigia simu au live.
Hawakujui Ila unatakiwa kuwaaminisha ili wakuamini.
Wape copy ya vitambulisho vyako, wape copy ya leseni ya biashara yako, kisha waambie wanaweza kukufuatilia kwenye akaunti yako mtandaoni.
Huko lazima wakuamini.
Wengine Hii mitandao ya kijamii imetukutanisha na watu tofauti na tunafanya ujasiriamali kupitia uaminifu wa mtandaoni.

Unaweza ukawa na akaunti nyingi mtandaoni lakini hakikisha Ipo akaunti zenye majina yako Halisi kuanzia Facebook, JF, Twitter (X) na Huko Instagram.

Onyesha kazi zako, iwe ni uandishi, Maigizo, biashara au Huduma, au shughuli yoyote Ile mtandaoni.
Kupitia akaunti yako pia ni vizuri kuonyesha uhalisia wako. Yapo mambo ya faragha lakini hayo ni yachumbani Huko.
Asije kukudanganya mtu ati ooh! Usiweke mambo yako mtandaoni huyo anakudanganya, huo ni Ulimwengu uliopita labda kama ni mambo ya faragha, au Siri na mipango yako.

Unafanya shughuli za useremala, fungus akaunti mtandaoni fanya kazi, tangaza kazi yako Kwa ubunifu. Ifanye ndio Maisha yako.
Unapoenda kuchukua tenda sehemu tumia page au akaunti yako kama sehemu ya CV yako kuonyesha ulivyo na ujuzi wako. Usizubae.

Ni rahisi MTU asiyekujua kukuamini ukiwa mtandaoni akiwa anaona shughuli zako na mambo yako ili mfanye wote kazi kuliko mtu kuliko mtu ambaye hakujui na hajawahi kukuona mtandaoni kabisa. Yaani unakuwa Mpya kabisa.

Ushauri huu unawafaa wale Vijana ambao hawana Ajira na hakuna matumaini ya Kupata Ajira hivi karibuni.
Mtandao ni muhimu Sana.

Wapo Watu nimejuana nao kupitia Jamii Forum, Facebook, Instagram n.k. na Tunafanya kazi.
Mara nyingi ninaandikaga mambo ambayo nimeyafanyia uchunguzi na ninataka wale wote wanaotaka msaada wapate chochote hata kama sina Pesa za kuwapa.

4.. Leseni za udereva
Jifunze kuendesha Gari kisha pata Leseni. Usikubali kuishi mjini bila hivyo vitu.

5. Tafuta Hati ya Kusafiria.
Unafikishaje miaka 40 hujafika hata hapo South Africa. Haya tuseme Huko mbali. Basi Hapo Nairobi au Kigali.
Unaweza kwenda Kwa marafiki au Kwa shughuli zako za kikazi(kiuchumi) au kutalii tuu.
Marafiki wa nje ya nchi watakupa uzoefu Mpya ambao ungeupata kinadharia kwenye mitandao ya kijamii au kwenye vitabu.
Hati ya Kusafiria ni muhimu Sana kwako kijana.

Marafiki wanapatikana Kwa Njia nyingi lakini siku hizi Njia kuu ni Mitandao ya kijamii na shughuli unazozifanya.

Maisha hayana kanuni moja lakini kama kijana yapo mambo machache ya kuyazingatia.
Jenga uaminifu. Uaminifu na kazi yako itajenga jina lako. Jina lako litakupatia Pesa na msaada Kwa urahisi.

Kila ukipewa kazi, Jambo la Kwanza ni kuhakikisha kazi yako inakuwa nzuri na unaifanya Kwa uaminifu. Sema ukweli kabisa kuwa Hii kazi itakuwa ABC. Kisha mteja akikubali ifanye Kwa uwezo wako wote. Kazi moja ilete kazi nyingine.

Nimeona nizungumzie Jambo hili Kwa sababu Vijana wengi Hawana Watu wa kuwaamini na kuwapa kazi au mitaji.
Jitahidi ufanye niliyokuambia, unaweza kuanzisha biashara Kwa Mali kauli. Wapo Watu Wana Pesa au mitaji mikubwa wanahitaji Vijana WA kuwapa hizo Pesa ili wagawane faida.

Usijesema ninayeandika au kusema haya nina Maisha gani, utakuwa miongoni mwa Watu wajinga. Mimi sio motivation Speaker, bali ni Yule ambaye nawapa msaada wenye uhitaji wa msaada wa mawazo.

Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Dar es salaam
 
Ata mwenye ajira, issue kama hati ya kusafiri na account official kwenye social networks ni muhimu sana....tunaona watu wengi wanavyoaidika na udalali & marketing kupitia page zao sina haja ya kuwataja hapatatosha

Pia tujitahidi sana kujilazimisha kupenda technology in case hatuipendi dunia ya sasa haina room kwa technophobians kabisaa

Binafsi wanangu baada ya Qur' an and its package basi lazima waipende na kuishi technologia kwa lazima au kwa kupenda kwao..
 
HIVI KIJANA UNAKAAJE MJINI ALAFU UNAKOSA VITU HIVI?

Anaandika, Robert Heriel

Huwaga nashangaaga Sana. Kijana unakaaje mjini alafu unapiga kelele na kulalamika kuwa hakuna connection na Maisha magumu ilhali unakosa vitu hivi?
Ni kwamba haujui umuhimu wake?

Haya sitaki kukuchosha;

1. Huna kitambulisho cha taifa(namba za NIDA) wala kitambulisho cha Kura.
Hivyo vitambulisho vyote ni muhimu. Usiwe mjinga. Hivyo ni vitambulisho muhimu ambayo vinatakiwa Wakati wowote wa kuomba kazi.

2. Reference
Sijui wanaitwa wadhamini au tuseme Watu wanaokujua.
Kijana ni lazima uishi na watu vizuri. Uaminifu ni kitu kikubwa katika Maisha.
Jenga uaminifu kwa Watu. Kama umesoma chuoni tafuta Jenga urafiki na wakufunzi wako ambao baadaye unaweza kuwatumia kama reference kwako.
Usijesema huna reference sasa nani atakuamini na kukuajiri.

3. Akaunti kwenye mitandao ya kijamii yenye majina yako Halisi na shughuli zako.
Hii nazungumzia nikiwa na uzoefu nalo, yaani Mimi ni Shahidi Kwa hili. Unafanya Biashara au Kampuni wanakuja wateja iwe Kwa kukupigia simu au live.
Hawakujui Ila unatakiwa kuwaaminisha ili wakuamini.
Wape copy ya vitambulisho vyako, wape copy ya leseni ya biashara yako, kisha waambie wanaweza kukufuatilia kwenye akaunti yako mtandaoni.
Huko lazima wakuamini.
Wengine Hii mitandao ya kijamii imetukutanisha na watu tofauti na tunafanya ujasiriamali kupitia uaminifu wa mtandaoni.

Unaweza ukawa na akaunti nyingi mtandaoni lakini hakikisha Ipo akaunti zenye majina yako Halisi kuanzia Facebook, JF, Twitter (X) na Huko Instagram.

Onyesha kazi zako, iwe ni uandishi, Maigizo, biashara au Huduma, au shughuli yoyote Ile mtandaoni.
Kupitia akaunti yako pia ni vizuri kuonyesha uhalisia wako. Yapo mambo ya faragha lakini hayo ni yachumbani Huko.
Asije kukudanganya mtu ati ooh! Usiweke mambo yako mtandaoni huyo anakudanganya, huo ni Ulimwengu uliopita labda kama ni mambo ya faragha, au Siri na mipango yako.

Unafanya shughuli za useremala, fungus akaunti mtandaoni fanya kazi, tangaza kazi yako Kwa ubunifu. Ifanye ndio Maisha yako.
Unapoenda kuchukua tenda sehemu tumia page au akaunti yako kama sehemu ya CV yako kuonyesha ulivyo na ujuzi wako. Usizubae.

Ni rahisi MTU asiyekujua kukuamini ukiwa mtandaoni akiwa anaona shughuli zako na mambo yako ili mfanye wote kazi kuliko mtu kuliko mtu ambaye hakujui na hajawahi kukuona mtandaoni kabisa. Yaani unakuwa Mpya kabisa.

Ushauri huu unawafaa wale Vijana ambao hawana Ajira na hakuna matumaini ya Kupata Ajira hivi karibuni.
Mtandao ni muhimu Sana.

Wapo Watu nimejuana nao kupitia Jamii Forum, Facebook, Instagram n.k. na Tunafanya kazi.
Mara nyingi ninaandikaga mambo ambayo nimeyafanyia uchunguzi na ninataka wale wote wanaotaka msaada wapate chochote hata kama sina Pesa za kuwapa.

4.. Leseni za udereva
Jifunze kuendesha Gari kisha pata Leseni. Usikubali kuishi mjini bila hivyo vitu.

5. Tafuta Hati ya Kusafiria.
Unafikishaje miaka 40 hujafika hata hapo South Africa. Haya tuseme Huko mbali. Basi Hapo Nairobi au Kigali.
Unaweza kwenda Kwa marafiki au Kwa shughuli zako za kikazi(kiuchumi) au kutalii tuu.
Marafiki wa nje ya nchi watakupa uzoefu Mpya ambao ungeupata kinadharia kwenye mitandao ya kijamii au kwenye vitabu.
Hati ya Kusafiria ni muhimu Sana kwako kijana.

Marafiki wanapatikana Kwa Njia nyingi lakini siku hizi Njia kuu ni Mitandao ya kijamii na shughuli unazozifanya.

Maisha hayana kanuni moja lakini kama kijana yapo mambo machache ya kuyazingatia.
Jenga uaminifu. Uaminifu na kazi yako itajenga jina lako. Jina lako litakupatia Pesa na msaada Kwa urahisi.

Kila ukipewa kazi, Jambo la Kwanza ni kuhakikisha kazi yako inakuwa nzuri na unaifanya Kwa uaminifu. Sema ukweli kabisa kuwa Hii kazi itakuwa ABC. Kisha mteja akikubali ifanye Kwa uwezo wako wote. Kazi moja ilete kazi nyingine.

Nimeona nizungumzie Jambo hili Kwa sababu Vijana wengi Hawana Watu wa kuwaamini na kuwapa kazi au mitaji.
Jitahidi ufanye niliyokuambia, unaweza kuanzisha biashara Kwa Mali kauli. Wapo Watu Wana Pesa au mitaji mikubwa wanahitaji Vijana WA kuwapa hizo Pesa ili wagawane faida.

Usijesema ninayeandika au kusema haya nina Maisha gani, utakuwa miongoni mwa Watu wajinga. Mimi sio motivation Speaker, bali ni Yule ambaye nawapa msaada wenye uhitaji wa msaada wa mawazo.

Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Dar es salaam
Genius Mtibeli
 
Hili bandiko lako limejirudia
 
Umesahau TIN NUMBER.

Namba ya simu iliyosajiliwa kwa majina yako. Usitumie namba nyingi nyingi, ukiwa nazo 2 zinatosha sana. Unakuta mtu ana namba kwa kila mtandao, leo kakupigia kwa tigo, kesho kapiga kwa voda, mara airtel , halotel na zote anakwambia save ni yangu hiyo.

Email yako, sio mtu una email zaidi ya 10 na kila pahala unabadilisha email, haifai hiyo.
 
Ukiwa na leseni ya udereva TIN utakuwa nayo pia. Ila haya maisha dah, kuna kiwanda nilienda kuomba kibarua tuu nashangaa naulizwa TIN duh.
 
Hapo kwenye Social Network kuwa na majina halisi siungi hoja mkono..Wengine tunapenda Anonymity kuwa "Hujulikani" utakuwa huru kushare mambo mengi mtandaoni na Hii mitandao ukijianika kidogo tu mtu akakujua ni rahisi kukufatilia na kujua madhaifu yako..Wakishajua madhaifu kinachofata ni Bullying
 
Umesahau TIN NUMBER.

Namba ya simu iliyosajiliwa kwa majina yako. Usitumie namba nyingi nyingi, ukiwa nazo 2 zinatosha sana. Unakuta mtu ana namba kwa kila mtandao, leo kakupigia kwa tigo, kesho kapiga kwa voda, mara airtel , halotel na zote anakwambia save ni yangu hiyo.

Email yako, sio mtu una email zaidi ya 10 na kila pahala unabadilisha email, haifai hiyo.
Usisahau uwezi pata leseni ya udeleva bila tin namba.
 
Umesahau TIN NUMBER.

Namba ya simu iliyosajiliwa kwa majina yako. Usitumie namba nyingi nyingi, ukiwa nazo 2 zinatosha sana. Unakuta mtu ana namba kwa kila mtandao, leo kakupigia kwa tigo, kesho kapiga kwa voda, mara airtel , halotel na zote anakwambia save ni yangu hiyo.

Email yako, sio mtu una email zaidi ya 10 na kila pahala unabadilisha email, haifai hiyo.

Ni kweli Kabisa Mkuu
 
Hapo kwenye Social Network kuwa na majina halisi siungi hoja mkono..Wengine tunapenda Anonymity kuwa "Hujulikani" utakuwa huru kushare mambo mengi mtandaoni na Hii mitandao ukijianika kidogo tu mtu akakujua ni rahisi kukufatilia na kujua madhaifu yako..Wakishajua madhaifu kinachofata ni Bullying

Haukatazwi Kutumia majina yasiyo halisi lakini linapokuja suala la kazi na taaluma majina yako Halisi hayaepukiki.

Naamini hata humu wanaotumia majin halisi pia Wana mafekeo
 
Back
Top Bottom